Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Europe will not be able to survive next winter without Russian gas, Macron said.

In an interview with Ouest-France, the French president noted that the EU is not discussing an embargo on hydrocarbon supplies from Russia:

“Today there are no solutions that allow us to completely replace the gas that we import from Russia with other suppliers.”

At the same time, he is convinced of the need to “strengthen sanctions and continue to put pressure on Russia, but at the same time make sure not to succumb to any escalation.”

Macron also acknowledged that France is already supplying Kyiv with several types of weapons, including Milan missile systems and Caesar self-propelled artillery mounts.
20220421_083919.png
 
The Ministry of Defense told what three scenarios the United States plans to use to accuse Russia of using nuclear, chemical or biological weapons.

The most likely of them, according to the department, is a staged incident under a false flag in Kharkov and Kyiv.

These stagings are aimed at realizing the so-called "Syrian scenario", in which the country is isolated politically and economically, and also excluded from international organizations.

The DoD also explained how the States have retained legislation that allows for work in the biological field. And they recalled that today the United States is the only state that has used all three types of weapons of mass destruction.
20220421_083919.png
 
Hawa wengi walinyimwa visa za kwenda marekani kwahio wanatoa uchungu ila wanaipenda sana USA na EU. Mimi ndo maana sina kinyongo nao, wako JF inayofadhiliwa na EU, wamevaa mitumba ya marekani, Choo chao cha USAID, Bajeti ya nchi yao imejazwa na misaada ya hao hao. Kwa ufupi hawa sio haters ni fans in denial.

Na ukuta unashikishwa jina lenyewe coco wewe mvulana kweli?? Manake hilo jina ni la kike maaanniinnerrrr
 
Hiyo habari mbaya sana kwa waMarekani wa Tandahimba na waUkraine wa Kantalamba...Walikuwa wakitokwa na povu kali hapa JF kuwa ati EU wana ubavu wa kususia gesi ya Russia...

Sasa badala ya kususia, EU wamefyata mikia yao na kukubali hadi kulipia gesi kwa pesa ya Russia, Ruble...

Naona Ruble inazidi kupanda thamani tu, leo 1USD =77 Ruble, toka kwenye 1USD =139 Ruble ilipokuwa imeshuka zaidi mwezi uliopita.

View attachment 2197371View attachment 2197370
Okey, URUSI imeishinda NATO, Warusi uchumi wao unapaa na Ukraine imebaki magofu. Sasa wale tunaobishana humu nini kinafuata? Hahahaha.
 
Wanajeshi wa Urusi wameanzanza kupora matrekta na combine Harvesters vijijni Ukraine na kuvipeleka kwao Urusi walipoulizwa wanavijiji kuwa wamejuaje viko urusi ? wakasema vimefungwa GPS location vinaonyesha Viko Urusi baada ya kuporwa

Source :CNN ikiwahoji wanachi viiijini Ukraine
Chakula walipata tena
JamiiForums-364980499.jpg
 
Umu unafiki umejaa alfu siku CCM wakiwaibia kura mnaomba hao hao marekani wawasaidie.

Ivi mtu anaweza kunitajia kiongozi ata mmoja wa Russian mwenye hasiri ya Afrika au mweusi

Wafrika kwa unafiki ndio mana atuenderei.
ivi putin anatofauti gani na mwenda zake .
alfu ukiwakuta kwenye nyuzi Za Siasa wanavyo bwabwaja kujifanya wanaijua Demokrasia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Africa kujitambua bado Sana mkuu tumejaa unafikiii tuu
 
Sijapanik. Nimewaza tu what is Next, Warusi wameshinda, NATO imeshindwa, Ukraine majivu. Sasa kwangu mm na wewe nini kinafuata?[emoji3]
Kinachofuata[emoji23][emoji23][emoji23] ni shangwe tuu mkuu .....SUPER POWER RUSSIAN ....NATO is LOOSER...hivi NYAMIZI umempeleka wapi simuoni humu kabisaa [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Sijapanik. Nimewaza tu what is Next, Warusi wameshinda, NATO imeshindwa, Ukraine majivu. Sasa kwangu mm na wewe nini kinafuata?[emoji3]
Mwanzo hukuwaza hiki eeeeh
Ila kitakachofuata huu ukiritimba wawamagharibi utazidi kuendelea kudorora na kuporomoka
Balance of power itapatikana akikuzingua RUSSIA ukiona haeleweki unamfata US na shoga zake
akikuzingua US unakimbilia kwa RUSSIA na shost zake
Na hv ndivyo DUNIA inavyotakiwa kua sio mpuuzi mmoja aiamulie DUNIA namna yakuishi
Mimi kama Yericko Nyerere yaani naunga mkono hii OP kwa 100% yaani RUSSIA anatakiwa atanue OP yake apite na UKRAINE nzima
 
Na ukuta unashikishwa jina lenyewe coco wewe mvulana kweli?? Manake hilo jina ni la kike maaanniinnerrrr
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]....

Watu mna hasira humu .....muwe mnawaonea huruma hizi kondoo za pro nato jamani mtawaua kwa presha bure maana si kwa madongo haya

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujitoa akili , vipi hizo silaha za kujilinda anazo pewa Ukraine je angekuwa anapewa Iraq hali ingekuwaje kwenye uwanja wa vita Marekani angeweza kumaliza vita ndani ya muda huo ulio taja?

Si Marekani na vibaraka wake wangeishia kukimbia kama walivyo kimbia Uvitenam baada ya kutandikwa na silaha ambazo Vietnam alikuwa anapewa na Usoviet?

Kulinganisha vita ya Iraq na ya sasa Ukraine ni ukosefu wa akili maana havina mlinganyo wowote.

Iraq kipindi anavamiwa alikuwa dhaifu mno maana kwanza alikuwa ameshapigana vita nyingi nguvu ya jeshi lake ilikwa imepungua mno.

Pili alikuwa na vikwazo vya kiuchumi na silaha wakati Ukraine hana vikwazo vyovyote kati ya hivyo na alikuwa na uwezo wa kununua silaha yeyote anayo itaka.

Tatu Iraq kieneo ni ndogo ukilinganisha na Ukraine kitu kilicho toa faida kwa Marekani kupigana kwenye eneo dogo ,wakati Ukraine ina eneo kubwa kitu kinacho irazimisha Urusi ipigane kwenye eneo kubwa na kwa wakati mmoja.

Nne Iraq eneo lake kubwa ni jangwa kwa hiyo na ina miji mchache na midogo kwa maana hiyo mapigano mengi yalikuwa kwenye sehumu ya wazi jambo ambalo liliipa faida ya Marekani kuvishambulia kirahisi vikosi vya Iraq kutoka angani, wakati Ukraine ina utitiri wa miji kitu kinacho fanya vita ya ardhini kuwa ngumu kutokana na kwamba wanajeshi wa Ukraine wanaweza kujikinga kirahisi na mashambulizi kwa kujificha kwenye majengo na kufanya ambush za kudhutukiza.

Tano Irak alipigana na zaidi ya mataifa zaidi ya 20 tena yenye nguvu kubwa wakati yeye akiwa peke yake bila msaada wowote,wakati Ukraine anapigana vita na taifa moja huku yeye akipokea silaha kutoka mataifa 30.

Sasa unawezaje kulinganisha vita hii mbili kama sio upungufu wa akili?
SITA Ukraine Ina viwanda vingi vya silaha,Tena silaha Kali kuliko Iraq,
Wanatengeneza silaha na wanauza nje.
Iraq ilikua Ina kiwanda dhaifu Cha kumodify vikombora vya zamani vya USSR aina ya Scud b,
Pia walikua na vikombora vyao vidhaifu viwili El abbsa na El husein.
Lakini Ukraine wanunda silaha Kali kabisa aina nyingi TU.

Saba Ukraine Ina technolojia kubwa kijeshi kuliko iraq.
 
Kinachofuata[emoji23][emoji23][emoji23] ni shangwe tuu mkuu .....SUPER POWER RUSSIAN ....NATO is LOOSER...hivi NYAMIZI umempeleka wapi simuoni humu kabisaa [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Hahaha. Shangwe lingependeza kama pangekuwa na direct impact inayotuhusu moja kwa moja.

Mkuu siku imeanza vizuri kwa kikao kifupi cha ofisi, nikatoka nikasema niingie hapa kijiweni kabla ya kwenda kwenye vikao vyetu vya wazee vya whisky vya kuanza weekend nikakuta mmebaki warusi humu ndo swali likaja kama Urusi imeshinda nini kinafuata kwetu sisi? Ndo mwisho wa huu uzi au?
 
The US and NATO are preparing provocations to accuse the Russian military of using chemical, biological or nuclear weapons in Ukraine.

What else did the head of the Russian troops of the RKhBZ Igor Kirillov say:

- the first US scenario is a "staged incident under a false flag." A provocation is possible at the Zaporozhye NPP. So, on April 21, a convoy of 10 vehicles with dangerous goods was stopped at a checkpoint;

- Kyiv can strike at the storage of radioactive waste in Kamensky, Dnepropetrovsk region. The Ministry of Defense has a document confirming the critical state of the storages and the misappropriation of funds sent there by the EU;

- the second option - "the most covert use of weapons of mass destruction in small volumes." The scenario was considered at the Azovstal enterprise, but it was thwarted by the cancellation of the storming of the plant by the RF Armed Forces;

- the third - "open use of weapons of mass destruction on the battlefield." It is considered for Slavyansk and Kramatorsk, turned into fortress cities;

- The probability of staging is confirmed by the supply of poisonous antidotes to Ukraine. In 2022 alone, more than 220 thousand ampoules were brought from the USA;

— provocations are needed, among other things, to put pressure on India and China and force them to impose sanctions against Russia;

- On April 21, a container with ampoules was dropped from a drone on the position of Russian troops, which was supposed to cause an explosion, the contents are now being analyzed.View attachment 2197478
Counterintelligence wa Urusi wako makini sana,inawezekana wako ndani kabisa ya NATO,jeshi la Ukraine na Serikali ya Zelensky.
Haiwezekani Kila mipango wwnaijua mapema sana
 
Back
Top Bottom