Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni kweli kwamba hata maeneo hayatarudi Ukraine mkuu?
Jomba swali lako gumu hatari...

Chochote kinachoendelea pale nadhani tunaki-judge kwa jinsi tunavyoona hali ilivo. Lengo haswa au nini kitafanyika baadae ni juu yao wenyewe nikisema kua ni hivi ama vile nitakuwa nakufunga kamba tu...

Kwa mfano mpaka sasa sehem zilizokamatwa na sehem ambazo mapambano yanaendelea ni hizi hapa chini kwenye hizo zone zenye uwekundu...
IMG_20220423_152926_181.jpg
Mie ama wewe tunaweza kubashiri tu kwa mwonekano kua huenda sehem zinazofatwa ikawa hizo ambazo zina alama ya kujumlisha ++++ but uhalisia kabisa anaujua Putin na team yake.
 
Kuanzia leo supermarkets za [emoji636] wamesema tutanunua mafuta ya kupikia yasizidi madumu 3 kwa kila mteja hii ni kwa sababu mafuta ya Alizeti yanatoka Ukraine na vita imetuvuruga

Hivi hatuwezi kupata toka home badala ya Tour ikawa Mafuta aupige mwingi?
Hehe poleni MKUU
Ila UKRAINE wanashinda hii OP mambo yataenda sawa !!!!!
 
The European Commission allowed payment for Russian gas in rubles, said Deputy Chairman of the Security Council Dmitry Medvedev.

"We appreciate the consistency and integrity of our European partners. Especially considering that, according to the latest data from the International Monetary Fund, Europe will be able to do without our gas for no more than 6 months. But seriously, it won't even last a week," Medvedev said.
Screenshot_20220422-191231.jpg

Nilipost juzi ... PRONATOAMERICA wakashambulia natoa habari za kuokoteza ...nipo magroup ya tele yanaoyotoa nyepesi za mapema mnooo.... Nikituma kitu kutoka tele ... Amini nimekichuja pia... Asante Kwa kupigia mstari.
 
😂😂😁😁😂😁 Nyie ma-ant Ameicans na ant-NATO mna maneno Sana..Mambo yanaweza kubadilika kwa comedian kugeuza kibao😂😂
We mzeee kibao hakigeuki kinabadilishwa rangi tu.... Wamevunja Monument ya Great Khan.. wamevunja Monuments za Majenerali waliookoa nchi yao pale Poland na wanaendelea...tutalinda urithi na historia Kwa nguvu zote .... Kwa Ukraine haya ni makofi ya kawaida... Maldova, Swedish, Finish na polish tutawapiga kelbu za maaan wakijichanganya.... Sasa tofautissha Kofi na kelbu... Kelbu inakuwamba kulia linapoishia linarudi upya Kwa upande wa pili wa mkono ambao ni mgumu zaidi.... acha waNeng'eneke tu.
 
Hehe poleni MKUU
Ila UKRAINE wanashinda hii OP mambo yataenda sawa !!!!!

Asante sana
Yaani wanaliana timing tu
Na bidhaa zinakosekana na zikija kutoka mataifa mengine bei zinapanda sana ila tunamudu hatulali njaa
Watu wanaongeza kipato kwa kufanya kazi sehemu tofauti tofauti ili hela ziongezeke
Uzuri kazi nyingi sana hilo ndio la kujivunia huku
 
Sema medvedev anakauli zakishujaa sana huyu mwamba
Ukimfatilia huyu hata PUT IN anangojea mbali sanaa
Kwasasa RUSSIA yenye vikwazo zaidi ya 7000+ RAIA wake wanaishi kwausalama na amani zaidi ya US na EU wote
Medvedev ni zao la Putin...japo anamzidi Umri.... Alipopewa nchi na Boris Yeltsin ..alikataa karibu mara tatu.... Mara ya mwisho anaitwa ..Boris alimpisha Kiti akakataaa ...Baraza likamkubalia kuwa Interim President... Na mtu wa kwanza kumchagua alikuwa Medvedev... Hivyo VICHWA ni noma ... Lavrove Shoigu wakasome ...ingawa ndio wanaandaa kichwa ingine Hawa wamezeeeka.. ..hamkijui tu ...kaeni Kwa utulivu...Baada ya 2025 kufika 2030 mwaka wa mwisho wa Putin mtamjua.
 

Attachments

  • VID_20220312_083323_585.mp4
    2.5 MB
  • VID_20220306_124951_751.mp4
    669.7 KB
  • VID_20220312_180352_690.mp4
    1.6 MB
  • VID_20220312_171043_516.mp4
    3.5 MB


Russia sign military deal with Cameroon



Russia atauza sana silaha hii vita imempa sana credit,
 
Back
Top Bottom