Hii koment imemaliza kila kitu
Ila bado watakuja watu watakwambia UCHUMI wa RUSSIA sawa na jimbo moja pale US
Kuna baadhi ya mambo ukiyasikia kutoka kwa watu unajiuliza hawa wazima kweli ama wamekurupuka kuongea
Yaani wanaiita RUSSIA iliotolewa G7 Kisiasa baada ya kupita na CRIMEA kwamba ni maskini
Ukija tena huku unajiuliza kama RUSSIA angekaa akaamua kupiga ban energy zake zinazoelekea huko EU walau kwa miezi kama walomuekea yeye EU itakua katika hali gani kuanzia KISIASA KIUCHUMI na KIJAMII
Kuna watu hapa kina
T14 Armata tulikua tukiwaambia kwamba RUSSIA ndio kaushikilia UUCHUMI wa EU wanakataa ila nashangaa mtu kama huyo anakataaje jambo lawazi kama hilo
Kuna watu walikua wanasema kwamba RUSSIA akatae kuwauzia nishati hao EU wanasahau kwamba yeye si aloanza VIKWAZO ila akiamua kueka EU haitakaa iwe sawa tena na taasisi nyingi kubwa kama EU na NATO lazima zitavunjika yani nilazima
Mwisho:-wale wanaodhania kwamba FINI na SWED watajiunga na NATO nawapa pole sana!!!!