Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inasikitisha sana
Umu unafiki umejaa alfu siku CCM wakiwaibia kura mnaomba hao hao marekani wawasaidie.

Ivi mtu anaweza kunitajia kiongozi ata mmoja wa Russian mwenye hasiri ya Afrika au mweusi

Wafrika kwa unafiki ndio mana atuenderei.
ivi putin anatofauti gani na mwenda zake .
alfu ukiwakuta kwenye nyuzi Za Siasa wanavyo bwabwaja kujifanya wanaijua Demokrasia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hatuachani nayo, hatutaki kuwa kama Taifa la Kiduku au la Putin la watu kuuwawa na kupotea kiholela kisa wana mawazo tofauti na watawala.
Kama demokrasia hamuiwezi si muachane nayo
Mnatakiwa musaidiane wenyewe AFRIKA na VIONGOZI wenu kutegemea misada ndio maana mnalia lia kila leo
Acheni kulia lia nakupenda misaada ya watu
 
IMG_20220423_211242.jpg
 
Na wengine wanaangalia kikapu cha NBA, wanwajua Michael Jordan, Kobe, LeBron James n.k kuliko hata wajomba wao!
Umu wengi wamejaa unafiki alfu ukiwakuta mabandani wanavyo tumbua macho kuangaria league za England ambazo waziponda utasema sio wao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
RAISI WENU KANENEPA KIPINDI CHA VITA

The Armed Forces of Ukraine are performing their tasks brilliantly. Intelligence, the National Guard, territorial defense, police, border guards - all of them work one hundred percent for the victory. But every citizen must also work for the victory - in what he does and where he is. If you are abroad - support Ukraine. If you are engaged in ordinary economic activities, do your best for the benefit of Ukraine as much as possible. If you found yourself in a temporarily occupied territory - try to cause the occupiers as much trouble as possible. The Armed Forces of Ukraine are our foundation. But a fortress of our national unity must always stand on this foundation.
View attachment 2197947
Linakula dray ration Beef na Biskuti
 
UONGO.

Taja silaha wanazotengeneza Ukraine.

Mwaka jana waliuza silaha zenye thamani ya kiasi gani na kwenye nchi zipi?
SITA Ukraine Ina viwanda vingi vya silaha,Tena silaha Kali kuliko Iraq,
Wanatengeneza silaha na wanauza nje.
Iraq ilikua Ina kiwanda dhaifu Cha kumodify vikombora vya zamani vya USSR aina ya Scud b,
Pia walikua na vikombora vyao vidhaifu viwili El abbsa na El husein.
Lakini Ukraine wanunda silaha Kali kabisa aina nyingi TU.

Saba Ukraine Ina technolojia kubwa kijeshi kuliko iraq.
 
Alafu ni vitu 2 tofauti kufananisha ukraine na Iraq.iraq ilikuwa inaongozwa kwa mkono wa chuma wenye ukabila na udini ndani yake.
Saddam watu kutoka kabila lake na dhehebu lake aliwapa sana kipaumbele kuliko mtu yoyote yule,kwa iyo mpaka vita inaanza Iraq ilikuwa imegawika.

Kuna baadhi ya maeneo majeshi ya Muungano ayakupigana kabisa kwa sababu ya kuweka makubaliano na wakuu wa maeneo na makamanda wa vikosi
Unapenda hesabu ila hujui namba,
Majeshi ya NATO yaliyoivamia Iraq maelfu ya Kilometa kutoka nchini mwao yalikwa na jumla ya wanajeshi 160,000, Majeshi ya Urusi yaliyoivamia Ukraine Km 0 kutoka nchini mwake yalikuwa na wanajeshi 150,000.
Q
 
Unafanya nini Uingereza?
Kuanzia leo supermarkets za [emoji636] wamesema tutanunua mafuta ya kupikia yasizidi madumu 3 kwa kila mteja hii ni kwa sababu mafuta ya Alizeti yanatoka Ukraine na vita imetuvuruga

Hivi hatuwezi kupata toka home badala ya Tour ikawa Mafuta aupige mwingi?
 
Kwa nini Russia anapendwa sana Duniani?
Hembu Thibitisha hilo.
Russian kawakosha mataifa mengi dunian sema tu .....woga wetu ukionekana unaisapoti russia unawekewa vikwazo na marekani au wanakutishia hiyo ndo shida .........

Ila ki ukweli MRUSSIA anapendwa sana tu

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Kama vita vya wazi tu na Ukaraine vimemtoa jasho hivyo mpaka akabaki kulipua miji na magazine ya raia unafikiri Guerillas wa DRC ambao msituni ndio nyumbani kwao atasogea hata hatua moja?!

Kwanza watapukutika na Malaria wote waokotwe kama kuku wenye kideri.
Yah nashangaa sana kongo wanajifanya awaoni kama warusi wapo kwa kazi izo.Wagner group wanatakiwa waje kongo kupiga kazi
 
Back
Top Bottom