Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?



The Russian flag is raised over the administration of the city of Primorsk, Zaporozhye region.

These videos are posted by local residents.

Also, the military removed the flags of Ukraine in Dniprorudny, located in the same region.
 
Kama mpaka sasa hivi nyie wafuasi wake hamjui anachokitaka Putin kwenye huu uvamizi wake basi hamuwezi kujua kama ameshinda au ameshindwa vita vitakopoisha.
Chochote atakachowaambia itabidi mkubali tu ndio uhalisia wenyewe.
Jomba swali lako gumu hatari...

Chochote kinachoendelea pale nadhani tunaki-judge kwa jinsi tunavyoona hali ilivo. Lengo haswa au nini kitafanyika baadae ni juu yao wenyewe nikisema kua ni hivi ama vile nitakuwa nakufunga kamba tu...

Kwa mfano mpaka sasa sehem zilizokamatwa na sehem ambazo mapambano yanaendelea ni hizi hapa chini kwenye hizo zone zenye uwekundu... View attachment 2197742Mie ama wewe tunaweza kubashiri tu kwa mwonekano kua huenda sehem zinazofatwa ikawa hizo ambazo zina alama ya kujumlisha ++++ but uhalisia kabisa anaujua Putin na team yake.
 
Endelea kuota ndoto za majinamizi.
Angekuwa na uwezo wa kuwasambaratisha angeshafanya hivyo wiki iliyopita.
Russia kuingiza makombora yake ya Sarmat kwenye matumizi mwezi wa 9 mwaka huu kwa ajili ya kuisambaratisha US/Europe zikileta fyokofyoko muda wowote...

Kombora hilo lawezabeba vichwa zaidi ya 10 vya nyuklia, na hakuna mfumo wowote wa kuweza kulidungua. Pia katika Ulimwengu wote, hakuna kombora mfano wa hilo.

View attachment 2197718
View attachment 2197719View attachment 2197720
 
Putin haondoki madarakani, atafia kwenye hicho kiti na ndio maana anabadilishabadilisha katiba kila siku aendelee kutawala.
Medvedev ni zao la Putin...japo anamzidi Umri.... Alipopewa nchi na Boris Yeltsin ..alikataa karibu mara tatu.... Mara ya mwisho anaitwa ..Boris alimpisha Kiti akakataaa ...Baraza likamkubalia kuwa Interim President... Na mtu wa kwanza kumchagua alikuwa Medvedev... Hivyo VICHWA ni noma ... Lavrove Shoigu wakasome ...ingawa ndio wanaandaa kichwa ingine Hawa wamezeeeka.. ..hamkijui tu ...kaeni Kwa utulivu...Baada ya 2025 kufika 2030 mwaka wa mwisho wa Putin mtamjua.
 
Ukilinganisha na vyombo vipi vya habari?
Vyombo vya habari vya magharibi vimeporomoka mno heshima na hadhi yake duniani kote...yaani Vita hivi vya Ukraine na Russia vimetoa funzo kubwa kuhusu weledi wa vyombo vya habari vya magharibi....HAKUNA KABISA WELEDI
 
Jikite kwenye jambo moja uliloliibua, usirukeruke huku na kule.
Ila umesikia habari ya ivi punde.baada ya Urusi kushambulia maficho ya silaha mpya zilizoingia kwenye mji wa Odessa. Zelensk aomba akutanishwe na Putin kwa ajili ya Amani
 
Ripoti zinaonyesha mzee mfupi Putin alipatwa na stroke. Cheki alivyokamatia meza na mgongo ameumkwamisha kwa kiti.View attachment 2197560
Hivi wewe huoni kama hiyo picha ni edited chuma kipo imara hiko alafu jamaa zako washaunga urafiki na mapanya buku mana mpaka leo wamejificha mashimoni huko na aibu juu
 
Mh! kaka ebu tushushe kwenye gari lako.mji ni mji tu hakuna mji wa kwenye vita na mji wa kawaida.mji ni sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu na majengo na biashara.yani uwasukume maadui nyuma kilometer 3 alafu useme umechukua mji si utani uwo kaka.mji una sifa yake
Baba hiyo Ni kivita so Kama unavyofikiria we'we.
 
IMG_2633.jpg

IMG_2634.jpg
 
Pro nato hawawezi kuja hapa watatumia alfabeti gani wakati RUSSIA wanatumia zote wameamua kutumia ishara...😂😂😂🙌🙌🙌 Na huo mfumo marekani wanaufanyia kazi ili uku mtandaoni tuweze kuwasiliana.
Sasa ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ wamezichukua unategemea nn🤣🤣🤣🤣....
tunaunda alphabet mpyaa tuko mbioni kukamilisha hili
 
Kwa nini Russia anapendwa sana Duniani?
Hembu Thibitisha hilo.
Mambo mengine sio mpaka jtafuniwe na kumezeshwa .........

Basi wacha nikutafunie ila utameza mwenyewe

.....hapa TZ tumetawaliwa na chama kimoja cha SIASA miaka mingi toka tupate UHURU na tulio wengi tunahitaji tubadilishe ladha

chama kiingie kingine .......

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
IMG_20220424_001312_916.jpg

☦️🇷🇺 Russian President Vladimir Putin has arrived at the Cathedral of Christ the Saviour, located a few hundred meters from the Kremlin, for the Orthodox Easter service, a Sputnik correspondent reports.

Moscow Mayor Sergey Sobyanin (on the right) is attending the midnight mass along with the Russian President.
 
Back
Top Bottom