mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Leo marafiki wa Putin tupo peke yetu kwenye hili jukwaa.sijui wenzetu nini kimewasibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamekatishwa tamaa hali teteLeo marafiki wa Putin tupo peke yetu kwenye hili jukwaa.sijui wenzetu nini kimewasibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binafs tangu niione hii symbol ikiwa combined hivi kule kwenye channel ya MoD RussiaMrusi bwana Kanifanya Nicheke
Wao walifungia Herufi Z na V
Sasa Jamaa wamekuja na Herufi zote Wafungie Tuone
Mambo magum Mzee [emoji23][emoji23][emoji23]Leo marafiki wa Putin tupo peke yetu kwenye hili jukwaa.sijui wenzetu nini kimewasibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamekatishwa tamaa hali tete
Mambo magum Mzee [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2196841
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpunguze kuwaletea update kwenye uwanja wa vita maana kwa siku ya leo naona watakuwa wamepata na homa kabisa,maana kila baada ya saa wanasikia mji fulani warusi washachukua sasa kwa stahili iyo mnategemea watawasha data kweliMambo magum Mzee [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2196841
Tukiwaambia watu kwamba hawa MBWA wa EU bila nishati za RUSSO watakufa kama majani yakiangazi yakipukutika hawaelewi
EU’s sanctions against Russia won't do anything but devastate European economy: Irish MEP
Nimechelewa kufahamu yakwamba JAPAN wanaviongozi wa hovyo kiasi hiki kama wale UMBWA wa EUHuku ni kujitekenya kisha wacheka mwenyewe View attachment 2196362[emoji95]The Japanese minister of industry warned on Friday that quitting the Sakhalin energy projects in Russia’s Far East would undermine Western sanctions and benefit Moscow.
“We are concerned that if Japan withdraws from the project and the concessions are acquired by Russia or a third country, it could further boost resource prices and benefit Russia, which will not result in effective sanctions,” Japan’s Economy, Industry and Trade Minister Koichi Hagiuda told a news conference.
Although Tokyo has joined Western sanctions against Moscow, it said last week that it intends to continue to hold its concessions in Sakhalin.
Duh ni atari, ni kweli Zele anaweza akawa anatumika ila sio na Russia bali na Western, Katika kupigana na Russia...Nilikua nasoma BBC eti Zelensky anasema "mafanikio waliyoyapata urusi mashariki mwa Ukraine ni ya muda tu, watavirudisha nyuma vikosi vya adui hadi mpakani". Nimebaki nashangaa..
Kuna mtu humu alisema duniani hapa kuna vitu vingi tunavyoona lakini havipo kama tunavyoviona. Inawezekana kabisa Zelensky ni rais halali wa Ukraine, lakini akawa ana kazi nyingine nyeti pale Russia, inawezekana....
Maamuzi anayofanya Zelensky hata mtu aliyewahi kuugua uwendawazimu hawezi kufanya. Huwezi kuweka raia rehani kwa vitu vya mazungumzo, huwezi kukubali nchi igawanyike kwa ishu ambayo ilikua inaishia kwenye mazungumzo, tena ipo kikatiba.
Zelensky anaweza kua anatumiwa na Russia ili Russia izidi kujitanua, itakumbukwa kua Nato wanazidi kujitanua eneo la mashariki mwa ulaya na kuikaribia kabisa Russia. Katika kuona haya nadhani Russia aliona haja ya kutaka kujilinda, alianza na cremea ili kuchukua control ya black sea.
Sema hii dunia ina mambo sana, Mungu atupe uhai, tutaona mengi sana.
The irreplaceable
Sijawahi ona taifa linaloendesha mambo yake kwa Interest za Washington kisha Kiongozi wake akawa na akili timamu...Nimechelewa kufahamu yakwamba JAPAN wanaviongozi wa hovyo kiasi hiki kama wale UMBWA wa EU
Biashara imekwisha.
Daah ni kweli mkuu, inafikirisha sana. Bila ubishi wa kijinga, Ukraine haina hata robo ya uwezo wa kupambana na Russia. Huo ni ukweli utake usitake... sasa unajiuliza kiburi hiki huyu bwana mdogo anatoa wapi? Raia wanakufa, wanajeshi wanapotea.... anapoteza majimbo, ardhi ya Ukraine inagawanyika, ina maana haoni? Kweli rais mwenye akili timamu utaruhusu nchi iharibike kwa ishu ambayo inaweza kua solved kwa negotiations??Duh ni atari, ni kweli Zele anaweza akawa anatumika ila sio na Russia bali na Western, Katika kupigana na Russia...
Western don't care kuhusu Ukrainians that's why humanitarian Aid kwao sio kipaumbele bali silaha za kuendeleza mzigo kwenda mbele...
Lau ka Zele angekuwa anatumika na Russia, basi Russia asinge-risk maisha ya wanajeshi wake ilhali uwezo wa kuchukua hayo maeneo kwa maneno tu ungekuepo...
Ukitaka kuona wanaomtumia ni akina nani angalia wanaokwamisha mazungumzo ni akina nani, angalia walio msitari wa mbele kumpa back up, angalia pia na aina za taasisi zilizopo nyuma yake...
Zele ni Clown tu kama wengineo, kawaida ya Clown hu'act na script accordingly, unaeza hoji maamuzi ya Zele kua hata chizi angeshtuka ila unajiuliza vipi kwa wale viongozi wa EU wanaotaka kuuponda uchumi wao to Zero katika kupigana na Putin kwenye ugonvi ambao wangeweza kuwaweka wawili hao chini wakayasuluhisha kwa diplomasia...
Jiulize tena kama Zele anatumika upande wa Russia kwanini Russia atumie diplomasia kwa wingi af wale wa pembeni watake hitimisho wa lipatikane kwa mapambano [emoji25]
Nitaipitia ile nyuzi asee iliona mbali sana sana sanaaa...!!thread bora ya muda wote jukwaa la international: kwa nini russia iliosambaratika na dhaifu bado ni hatari kwa NATO?...Kongole kwake MALCOM LUMUMBA
78 ruble kwa euro Moja na 72 kwa dollar na hiyo ni rekodi.Biashara imekwisha.
Huu ndio mwanzo wa mwisho wa usd