Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

SATAN II aka baba lao
IMG_2676.jpg
 
Kuna mtu Humu ndani nimeona anasema Finland imeshaghairi kujiunga na NATO wakati last week Bunge lao lilikaa kujadili hili jambo na Wanatarajia May 16 waanze hatua Rasmi za kujiunga na NATO...

Ila Hawa watu wa Putin wanamtia aibu Mzee wao.

Kuna siku walisema Western countries haitaweza kutuma tena Silaha Ukraine, Jana Waziri wao analalamika USA anapeleka Silaha nyingi sana Ukraine 😂😂😂
Aisee huko Ukraine kunawaka Moto saa hizi...Nchi 40 za NATO na EU zinakutana huko Uholanzi kujaribu kuokoa jahazi...fuatilieni manbo kwenye field..
 
Twitter will not become democratic and more fair after the purchase of the social network by Elon Musk, Dmitry Medvedev said.

“No network is able to ignore the mood in the state, which is the place of its registration. And therefore, no miraculous transformation with Twitter will happen. Unless, of course, he leaves American jurisdiction, ”said the deputy chairman of the Security Council of the Russian Federation.

20220426_072043.png
 
Nasema hivi,vita vya Ukraine chanzo chake ni US na USSR,ndio nasema hivi,ww unaonekana umezaliwa juzi,au Unaandika vitu usivyovijua kaa kimya.
Kaka ulijaribu kupinga hoja yangu kwamba mataifa ya Ulaya wana sababu zao kushikamana na Ukraine. Maana yana historia na Urusi inayotangulia kuundwa kwa NATO na Marekani kuonekana huko Ulaya. Kama historia yako inaanza kwenye vita baridi (au kwenye hatua za nchi za Ulaya Mashariki-Kati kujiunga na NATO), historia ya mataifa ya Ulaya na Urusi ni ndefu zaidi. Finland, Poland na nchi za Baltiki zinajua jinsi zilivyovamiwa na kufanywa kuwa koloni za moja kwa moja tangu karne ya 18 na 19.
Poland (1939, 1945) Chekoslovakia (1946, 1968) na wengine wanajua jinsi walivyolazimishwa kupokea ukomunisti wa Urusi na kuwa nusu koloni hadi 1990.
NATO yenyewe haikuundwa kama umoja wa kushambulia Urusi, iliundwa kama jibu la upanuzi wa himaya ya Urusi baada ya 1945 na uvamizi wa nchi za mashariki.
Wakati wa kuporomoka kwa himaya ya ukoloni ya Urusi (=Umoja wa Kisyoveti) mnamo 1990 hakuna aliyetaka kupanusha NATO.
Lakini mataifa yaliyoondoka katika ukoloni wake walipanga foleni kwa hiari yao kujiunga.
Ukipenda kujionyesha kama mtu anayejua historia na mandharinyume, si vibaya ukujaribu kunyosha elimu yako kidogo, sivyo?

Maarifa hayo yote yameingia katika maazimio na mabadiliko yaliyotokea sasa katika Ujerumani, Uswidi na Finland, ambazo zilikuwa imara sana dhidi ya madai ya Marekani hadi Machi 2022, walipoona Putin haaminiki .
 
Kupinga upanuzi wa imaya moja huku ukiunga upanuzi wa imaya nyingine ni dalili moja wapo ya upumbavu.

Yaani unapinga kupanuka kwa imaya ya Urusi wakati huo unaunga mkono kupanuka kwa imaya ya kimagharibi sasa unacho kataa nn na unacho kubali ni kipi maana hizo imaya zina jitanua kwa manufaa yao na si manufaa ya dunia.
 
Urusi maji shingoni Ukraine.

Russia's top diplomat said in a TV interview with state media late Monday that NATO "in essence, is engaged in a war with Russia through a proxy and is arming that proxy."

The big picture: Russian Foreign Minister Sergey Lavrov also warned against provoking a third world war and said the threat of a nuclear conflict "should not be underestimated," according to a transcript from Russia's Foreign Ministry.

  • Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba tweeted that Lavrov's comments showed that the Kremlin had lost its "last hope to scare the world off supporting Ukraine."
  • "Thus the talk of a 'real' danger of WWIII. This only means Moscow senses defeat in Ukraine," he added. "Therefore, the world must double down on supporting Ukraine so that we prevail and safeguard European and global security."
Of note: Lavrov's comments came hours after U.S. Secretary of State Antony Blinken said Russia was "failing" in its war aims and Ukraine was "succeeding" and Defense Secretary Lloyd Austin added that he believed Ukrainian troops could defeat the invading forces "if they have the right equipment, the right support."
 
Urusi na nuclear zake. Anakumbushia tu kuwa zipo.😀
 
Katika Paredi la kijeshi lililofanyika jana usiku nchini North Korea, Kim kamwahidi Biden kuwa North Korea wataendelea kuboresha zaidi mikwaju yao ya Nyuklia dhidi ya Marekani na Mashoga zake Marekani...

View attachment 2201178

Huyu babu watamuua kwa presha walahiii na hakuna kitu watafanya
 
Back
Top Bottom