Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakika....

Nendeni AL JAZEERA.....

Hatimaye Zelensky hoiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Propaganda tupu hizo za western countries kumpumbaza PUTIN ili wamfanyie tena ambush kama walimvyomuhadaa mazungumzo ya awali kisha walizamisha meli ya RUSSIA [emoji28]
 
We fala unataka kubishana na US wenyewe waliokiri kwamba hio project ilifeli ?? Akili za pro NATO mnazijuaga wenyewe mnabishaga vitu ambavyo hamjui undani na uhalisia wake.

Ndugu yangu Russia teknology yake ipo juu hasa kwenye millitary amempiga gap kubwa sana US kama tu hypersonic inamshinda kutengeneza wakati Russia anayo tayari airdefense system ya kuyadungua hayo makombora (S-550). Kujitapa kote inamshinda hypersonic serious?? Afu ndo mfananishe na Russia??

Mjadala wangu unaishia hapa
Jifunze kujibu maswali na si kutoa matusi.
 
Picha si hoja. Nikikuwekea hapa F-22. au F-35, (Russia hana kitu kama hiki) au aircraft carrier moja tu ya US ambayo mrusi hana?

Kwa hiyo hizo ni hisia zangu? Du!! Nimekupa link kama tatu hapo. Zipinge kwa hoja sio kuleta mapicha.
Jamaaa upo mwepesi sana inaonekana unaangalia sana ma movie ya kimarekani ila kichwani ni mwepesi kama pamba
 
Wewe nilikupa siku tatu achilia mbali siku moja kwamba Azov wala Denis hamtawakamata. Je mumewakamata? Kwa aibu hutajibu hii quote utajifanya hujaiona kwa aibu. Pole sana. Bado hamjawakamata? Neter tulia ujifunze vita inavyoenda.

Unakumbuka?

Mimi ni figganigga. Nyie mnafanya propaganda za kuwadanganya Watanzania. Eti Azov wamezungukwa Mariupol. Siku moja tu wanadakwa. Sasa wiki inaisha. Huo mzunguko wa ukutiukuti. Ngoja niwaache muendelee kujiliwaza kwamba hii Vita Urusi watashinda. Hawa Urusi wataondoka kama walivyo kuja.

Mwanzo mlisema mtaikamata Kyiv ndani ya Siku 3, sasa miezi miwili imeisha hata kuikaribia bado.

Mkadai atakayeisaidia Ukraine mtamlipua, nchi ndogo kama Poland inaisaidia Ukraine, hamjathubutu hata kufyatua risasi hewani. Acheni kudanganya watu. Urusi wana Vifaa vingi vya Jeshi lakini hawana mbinu wala maarifa ya kuvitumia.

Baada ya kuona Warusi wanakufa sana Ukraine, Urusi ikabidi ikodi wanajeshi wa Libya na Syria ili waende Frontline wafe. Sisi tunataka Wanajeshi wa Urusi ndo waje Frontline. Mnaogopa nini? Mnaogopa Ukraine nchi ndogo hivi?

Vita ni akili sio Maguvu. Ngoja niwaache muendelee kuliwazana na kudanganyana.
View attachment 2199485
View attachment 2199484
Wanajeshi wa Russia wamekaa kimchongomchongo
 
Kwa sababu Kuna Mataifa yenye nguvu kabisa duniani na maamuzi yao hayaingiliwi na Taifa linguine lolote(Total sovereignty)

Kama Marekani(USA), CHINA, RUSSIA , UINGEREZA.

Halafu Kuna vitaifa ambavyo ni Vassal state;

1)Mataifa yote yaliyopo kwenye muungano wa Nato, ambayo first command wao ni USA, second command wao ni Uingereza.

2)Mataifa yote yaliyopo kwenye kwenye Jumuiya ya Ulaya.
Wenye sauti ni Ujerumani na Ufaransa,
Bahati mbaya hapa Mataifa viongozi nayo yapo under influence ya USA, kutokana na NATO.

3)New emerging military cooperation AUKUS ambayo ni USA, UK, AUSTRALIA

4) Mataifa yenye Kambi za jeshi za kigeni hasa kutoka USA:
Japan, South Korea, Taiwan, Thailand, Kenya, Djibout, Senegal,Panama, Costa Ujerumani.

5)Mataifa yaliyopo kwenye Muungano wa CSTO unaongozwa na Urusi.
Kazakhstan, Armenia, Tajikistan, Uzbekistan, Belarus.

6)Non allignment Movement (NAM)
Mataifa yote yanayojifanya hayajachagua upande Tanzania tukiwemo, kiongozi wa hapa ni India, haya ndiyo Mataifa yanayoongozwa kwa unafiki duniani baada ya Mmarekani.

7)ASEAN COUNTRIES
Kuimarika kwa Uchina Kiuchumi na Kijeshi kunafanya kundi hili kuongozwa na Mchina na mwenyewe ndio mwenye sauti pamoja huyu anatumia zaidi mbinu ya kibiashara.

Hivyo ni kweli Kuna Taifa baba ,Mama, shangazi, mjomba,binamu, mpwa na jirani
Yote inaletwa na itikadi pamoja na masuala ya maslahi ya kitaifa iwe uchumi au ulinzi.
Asante kwa hii shule ya bure
 
Jamani kwa mtazamo wangu nikiwa Kama mchambuzi wa kujitegemea wa hii Vita toka Siku ya kwanza inaanza,toka malengo ya Siku tatu iwe imeisha na Sasa tunaelekea mwezi wa tatu,itoshe tu kusema Russia Mambo yamemwendea ndivyo sivyo,niwape pole wanarussia wote mliokuwa na mapenzi mema na Putin,mlijitolea kumsifu kwa mapambio Ila kawaangusha naona Sasa mmebaki kusifu missile na mabomu mengine ya mchongo....Poleni warusi wote wa nangurukuru
 
Unaizungumzia Russia ya humu jamii forum? Au ya western media? Au Russia iliopo barani asia huko? Watu wengi wanaijadili Russia ya jamii forum kuliko Russia halisi wakimix kidogo na Russia ya western media! Lakini vita lazima ilete hasara pande zote lazima zipate hasara na mpaka sasa kila nchi imepata hasara kubwa tu tokea vita ianze, lakini nani yupo kwenye winning side mpaka sasa? MOJA YA VITU WATANZANIA TUNASHIDA SANA TUNAENDEKEZA USHABIKI KILA KILA UCHAO IWE KWENYE SIASA MICHEZO MUSIC NA KADHALIKA TUNAUZA UHALISIA KWA MAHABA! Ngoja tuone hii vita itaishaje!
 
Ww jamaa mbona una hasira sana na watu wenye mtazamo tofauti na ww?
Kwani mm ndio nimetoa hiyo habari mpaka unikataze kufanya propaganda si chanzo kiko hapo nimekiweka au?

Maana nimekufatiria kwenye coment zako nyingi ni mtu unaonekana una uchungu na wamagharibi kuliko hata wao wenyewe kiasi kwamba ukisikia mtu yuko kinyume na wamagharibi unatamani kupasuka.

Huo uchungu unao uonesha kwa nchi za watu ambazo hata hazitambui kama kuna mlala hoi mmoja kutoka nchi masikini anatoa mapovu kwa ajii yetu, nadhani ungeulekeza kwa nchi yako iliyo jaa viongozi wa hovyo walio ifanya nchi yako kuwa masikini kwa miaka zaidi ya 60 ungeleta mabadiliko makubwa.

Marekani angekuwa anajitosheleza mafuta angekuwa hangaika kuvamia mataifa mengine na kupora mafuta yao?

Eti hakuna vikwazo vya mafuta?

Marekani na Uingeleza walipiga marufuku ya mafuta ya Urusi umesahau au unajitoa akili?
 
Unaizungumzia Russia ya humu jamii forum? Au ya western media? Au Russia iliopo barani asia huko? Watu wengi wanaijadili Russia ya jamii forum kuliko Russia halisi wakimix kidogo na Russia ya western media! Lakini vita lazima ilete hasara pande zote lazima zipate hasara na mpaka sasa kila nchi imepata hasara kubwa tu tokea vita ianze, lakini nani yupo kwenye winning side mpaka sasa? MOJA YA VITU WATANZANIA TUNASHIDA SANA TUNAENDEKEZA USHABIKI KILA KILA UCHAO IWE KWENYE SIASA MICHEZO MUSIC NA KADHALIKA TUNAUZA UHALISIA KWA MAHABA! Ngoja tuone hii vita itaishaje!
Naongelea Russia ya Europe mkuu.
 
UONGO MTUPU
Mahaba yako kwa Putin hadi unatengeneza takwimu za kubumba.
Ulipata wapai taarifa asilimia 90 ya silaha za Tanzania zinatoka Urusi??
Mkuu na ww punguza mihemko Urusi ana umuhimu mkubwa kwenye maisha yako ya kila siku.
Na ushahidi tosha ni namna ya maisha yalivyo panda na kuwa magumu duniani kote baada ya Urusi kuingia vitani.

Ww hapo ulipo na nchi yako mnalindwa na silaha za kirusi maana asilimia 90 ya silaha zinazo kulinda wewe na taifa lako zinatoka nchini Urusi.
Ngano asilimia 56 inayo tumika nchi kwako inatoka ndani ya Urusi.
Mbolea inayo tumika ndani ya nchi yako kwa kiasi kikubwa inatoka Urusi.
Na mengine mengi kwa hiyo usiibeze.
 
Jamani kwa mtazamo wangu nikiwa Kama mchambuzi wa kujitegemea wa hii Vita toka Siku ya kwanza inaanza,toka malengo ya Siku tatu iwe imeisha na Sasa tunaelekea mwezi wa tatu,itoshe tu kusema Russia Mambo yamemwendea ndivyo sivyo,niwape pole wanarussia wote mliokuwa na mapenzi mema na Putin,mlijitolea kumsifu kwa mapambio Ila kawaangusha naona Sasa mmebaki kusifu missile na mabomu mengine ya mchongo....Poleni warusi wote wa nangurukuru
Karibu sana mchambuzi.
 
Kwa hiyo hapo unajiona umeongea point ya maana sio?
Hao Azov wamejificha chini ya eneo la kiviwanda vya chuma ambalo ukubwa wake ni kirometa za mraba 13 nadhani ukubwa wake ni sawa na mji kama kahama, au ww unapo sikia kiwanda unadhani ni kama kiwanda cha kukamua juisi cha babharesa au Mo?

Kingine wameshikilia raia zaidi ya 1000 na walivyo waoga wamegoma kuwachilia maana wana jua ndio usalama wao.

Kingine hakuna operation yeyote ya kuwakamata maana Putin aliwaambia wana jeshi wake wasikishambulie hicho kiwanda bali wakizingire ili wakishiwa mahitaji watajisalimisha wenyewe.
Mashoga hawawezi kukuelewa

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Bora kukaa kimya kuliko wewe unayetengeneza takwimu kama Kalumanzila
Uku ulizwa maswali yanayo kubana huwe unayajibu sio kukaa kimia.

Ina kera sana mtu ana reply coment yako kwa kuchokoza hoja fulani ukilimuuliza maswali juu ya hoja aliye ileta mwenyewe anakimbia kujibu alafu ana subiri tena ucoment aje kureply tena.
Ndio maana nimekwambia kama una jiona huna uwezo wa kujibu maswali ili kutetea hoja zako usiwe unazileta.
 
Back
Top Bottom