Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee USA kwa Russia ni mchumba tu.
Mzee USA kwa Russia ni mchumba tu. Unapoteza muda wako kijana.
Mb
Unapoteza wako kkama

Ww nipe takwimu sahihi silaha tunanunua wapi?
Usipo nunua silaha Urusi ununue wapi?

Nchi masikini ndio waagizaji wakubwa wa silaha za Urusi maana zina gharama nafuu na ni rahisi kuzitunza na kuziendesha, china tuna nunua lakini ni mara chacha mno maana silaha zao hazina ubora na zinaharibika hovyo hovyo.

Silaha tunazo nunua kwenye nchi za magharibi ni zile ndogondogo ambazo haziitaji matengenezo ya mara kwa mara kama risasi, bunduki lakini silaha kubwa kubwa zina toka Urusi au china na kama kuna zingine za kimagharibi basi ni chache sana.
Hata kwenye sherehe za uhuru ambapo maonesho ya kijeshi huwa yana fanyika vifaru vyote na mifumo ya ulinzi yote , magari yote ni yale yaliyo tengenezwa nchi Urusi.

Silaha za kimagharibi ni gharama sana nchi kama Tz haina uwezo wa kuzinunua au kuzitunza, kenya yenyewe inayo jifanya wakala wa mabeberu E.Afrika bado silaha zake nyingi inanua Urusi.
Taja silaha ndogo au bunduki tunazonunua ulaya mzee,maana ww unajifanya mjuaji kumbe ni mweupe kichwani.
Kwa kuanza,tunajua AKA 47 inatumika na wanajeshi wa JWTZ na polisi wa Tanzania,zinatoka Russia.
Silaha inayotumika kwenye gwaride na makomando wanaokimbia mchaka mchaka ni UZI GUN kutoka Israel.
 
⚡️Ukraine’s airforce destroys 17 Russian aerial targets.

Yuriy Ignat, a Ukrainian air force spokesman, said Ukraine shot down three Russian planes (according to preliminary estimates those are Su-25, Su-34 and Su-35 aircraft), five missiles and 9 UAVs over the past 24 hours.
 
Wewe nilikupa siku tatu achilia mbali siku moja kwamba Azov wala Denis hamtawakamata. Je mumewakamata? Kwa aibu hutajibu hii quote utajifanya hujaiona kwa aibu. Pole sana. Bado hamjawakamata? Neter tulia ujifunze vita inavyoenda.

Unakumbuka?

Mimi ni figganigga. Nyie mnafanya propaganda za kuwadanganya Watanzania. Eti Azov wamezungukwa Mariupol. Siku moja tu wanadakwa. Sasa wiki inaisha. Huo mzunguko wa ukutiukuti. Ngoja niwaache muendelee kujiliwaza kwamba hii Vita Urusi watashinda. Hawa Urusi wataondoka kama walivyo kuja.

Mwanzo mlisema mtaikamata Kyiv ndani ya Siku 3, sasa miezi miwili imeisha hata kuikaribia bado.

Mkadai atakayeisaidia Ukraine mtamlipua, nchi ndogo kama Poland inaisaidia Ukraine, hamjathubutu hata kufyatua risasi hewani. Acheni kudanganya watu. Urusi wana Vifaa vingi vya Jeshi lakini hawana mbinu wala maarifa ya kuvitumia.

Baada ya kuona Warusi wanakufa sana Ukraine, Urusi ikabidi ikodi wanajeshi wa Libya na Syria ili waende Frontline wafe. Sisi tunataka Wanajeshi wa Urusi ndo waje Frontline. Mnaogopa nini? Mnaogopa Ukraine nchi ndogo hivi?

Vita ni akili sio Maguvu. Ngoja niwaache muendelee kuliwazana na kudanganyana.
View attachment 2199485
View attachment 2199484
Aisee kumbe? Sasa mkuu kwa kawaida hata urusi akiwakamata askari mamluki huwa anawapost na kuwahoji kabisa na nadhani hata wewe umeliona hilo sasa vipi kuhusu hao wa syria na sijui wapi je hakuna hata maiti au mateka tuione humu kama ushahidi wa kauli yako?
 
Tunaambiwa na hawa jihadist wa JF kwamba Ukraine ni nchi ya Nazis lakini cha kushangaza wanajeshi wa Israel wamewasili Ukraine kupigana na Urussi..
 
Jamani kwa mtazamo wangu nikiwa Kama mchambuzi wa kujitegemea wa hii Vita toka Siku ya kwanza inaanza,toka malengo ya Siku tatu iwe imeisha na Sasa tunaelekea mwezi wa tatu,itoshe tu kusema Russia Mambo yamemwendea ndivyo sivyo,niwape pole wanarussia wote mliokuwa na mapenzi mema na Putin,mlijitolea kumsifu kwa mapambio Ila kawaangusha naona Sasa mmebaki kusifu missile na mabomu mengine ya mchongo....Poleni warusi wote wa nangurukuru
kituo chake cha mafuta kimelipuliwa hii Vita inaweza kuchukua zaid ya miaka kumi hiii
 
1. Bucha 3rd April
2. Bucha 24th April

Ukraine sio Syria.
IMG_20220425_101738.jpg
IMG_20220425_101741.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa airforce gani iliyokuwepo kwa sasa
[emoji298]️Ukraine’s airforce destroys 17 Russian aerial targets.

Yuriy Ignat, a Ukrainian air force spokesman, said Ukraine shot down three Russian planes (according to preliminary estimates those are Su-25, Su-34 and Su-35 aircraft), five missiles and 9 UAVs over the past 24 hours.
 
Jamani kwa mtazamo wangu nikiwa Kama mchambuzi wa kujitegemea wa hii Vita toka Siku ya kwanza inaanza,toka malengo ya Siku tatu iwe imeisha na Sasa tunaelekea mwezi wa tatu,itoshe tu kusema Russia Mambo yamemwendea ndivyo sivyo,niwape pole wanarussia wote mliokuwa na mapenzi mema na Putin,mlijitolea kumsifu kwa mapambio Ila kawaangusha naona Sasa mmebaki kusifu missile na mabomu mengine ya mchongo....Poleni warusi wote wa nangurukuru
Mkwawa akiwa na gobore na mishale alipigana kwa miaka 7 na mjerumani. Iweje Ukraine aliyekuwa powerhouse ya masiraha ya USSR apIgwe kwa siku tatu tena vita iliyokuwa dhahiri for more than 10 years.?
Kuna Muisrael mfaransa mmarekani wqpo na muyukraini. Kifupi hii ni two years kwa uchache.
 
Aisee Mimi nikajua uzi unachangamka sababu ya mlipuko huko urusi kumbe holla.
Nyie gays njooni au mnafanya maupuuzi yenu ya kishoga ili mpate stimu ndio mje
 
Mkwawa akiwa na gobore na mishale alipigana kwa miaka 7 na mjerumani. Iweje Ukraine aliyekuwa powerhouse ya masiraha ya USSR apIgwe kwa siku tatu tena vita iliyokuwa dhahiri for more than 10 years.?
Kuna Muisrael mfaransa mmarekani wqpo na muyukraini. Kifupi hii ni two years kwa uchache.
We msemakweli mpenzi wa Mungu.
 

BREAKING NEWS: RUSSIA TEST LAUNCHES NEW INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILE: "SARMAT"​


BREAKING NEWS: RUSSIA TEST LAUNCHES NEW INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILE SARMAT

The Russian Federation has launched a "SARMAT" intercontinental ballistic missile (ICBM) in what is thought to be a test.
The RS-28 Sarmat, colloquially known to the West as the "Satan II", is a Russian liquid-fueled, MIRV-equipped super-heavy intercontinental ballistic missile (ICBM) under development by the Makeyev Rocket Design Bureau since 2009. It is intended to replace the R-36M ICBM (SS-18 'Satan') in Russia's arsenal.
The Sarmat is one of the six new Russian strategic weapons unveiled by Russian President Vladimir Putin on 1 March 2018. The RS-28 Sarmat was expected to make its first test flight in 2022, and enter service later this year.
The RS-28 Sarmat is capable of carrying about 10 tons of payload for either up to 10 heavy, or 15 light, MIRV warheads, as well as an unspecified number of Avangard hypersonic glide vehicles (HGVs) or a combination of warheads. It also carries several countermeasures against anti-ballistic missile systems. The Russian ministry of Defense said that the missile is Russia's response to the U.S. Prompt Global Strike system.
Sarmat has a short boost phase, which shortens the interval when it can be tracked by satellites with infrared sensors, such as the U.S. Space-Based Infrared System, making it more difficult to intercept. It is speculated that the Sarmat could fly a trajectory over the South Pole, completely immune to any current missile defense system, and that it has the Fractional Orbital Bombardment (FOBS) capability.
According to various sources, RS-28's launch sites are to be equipped with the "Mozyr" active protection system, designed to negate potential adversary's first strike advantage by kinetically destroying incoming bombs, cruise missiles and ICBM warheads at altitudes of up to 6 km.
Russian President Vladimir Putin remarked today "The missile will provide food for thought for those who try to threaten Russia."
UPDATE:
Russia SAYS THE TEST WAS SUCCESSFUL.

"All calculated characteristics are confirmed. Training warheads arrived in a given area in Kamchatka" according to the Ministry of Defense.

The agency recalls that the Sarmat is the most powerful missile in the world with the longest range of targets. It will greatly enhance the military power of the country.
Nasikia hii kitu ni mara 1000 zaidi ya yale madude US iliangusha Hiroshima na speed yake ni 16,000KPH
 
Back
Top Bottom