President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
💬DPR head Denis Pushilin says the neo-Nazis at the Azovstal plant won't last long due to "various circumstances".
Kuchunguza jambo nikupata uwakika baada ya hofu (wasiwasi ) kukujaa nafsiniWapi umeambiwa Russia analalamika kichwa cha habari kinasema urussi achunguza kweli waswahili wape kichwa cha habari tu maneno wanayoo asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother naona kama unaongea kitu usichokijua.mzigo unaorushwa kwenye Silo ni balaa japo zote ni launch facilities.Marekani yeye anatumia underground silo na submarine kurusha ICBM, Urusi yeye anatumia silo,submarine,Mobile launch na train spesho kwa kurushia ICBM.Hiyo missile inarushwa kutoka kwenye silo ni kiasi cha kuwahiwa tu wanaipiga mabomu kabla ya kurushwa. Wamarekani mabomu yao mengi ya nuclear ni submarine based na submarine moja inachukua ballistic missile 24 na kila moja ina maximum ya nuclear warheads 15 na range ya km 7,000. Hiyo sarmart ni cha mtoto.
Mkuu mambo vipi?Aisee......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so unasubiria hili jiwe ulilorusha litampata nani........alafu baada ya hapo unakufa na mtu ......
zinapatikana wapi hizi simu tuone ubunifu wao najua itakuwa jembe sana hii.
Ngoja niipitie gsm arena
phonedady.com
Australia warns China of ‘red line’
Scott Morrison declared that a Chinese military base on the Solomon Islands would be a step too far for Australia and the US
Daaah wa Ukreine wa MsunguaNawasalimu... Nilikuwa porini nikitekeleza majukumu yangu ...ya utumishi wa umma.... Mbarikiwe sana ... Page ni nyingi.... Ila sijaona taarifa nzuri za Wayukraine wa Namvua.... Imebidi nije mwisho.... Kuwasalimu.... nawasalimu Kwa jina la Urusi....
Niko Poah mkuu .......naona unarusha jiwe gizani .....unasubir nani nani atatoa mlio....Mkuu mambo vipi?
😀.Niko Poah mkuu .......naona unarusha jiwe gizani .....unasubir nani nani atatoa mlio....
We ndo zero kapuku. Tunaongelea sarmat hapa, zaidi ya kuwa na range kubwa, hamna tofauti yoyote na SLBM za Ohio class submarines ambazo zipo kitambo. Unafikiri anti missile ni fool proof? Jidanganye na hizo Sarmat hizo anti missile zako zitashambuliwa na ECM na kuwa useless. Then sarmat inabutuliwa hapo chini.Yaani ipigwe kabla haijarushwa?!! Nisije kuwa najadiliana na form four failure,yaani urusi haina anti-missile system?
Hivi unajua ballistic unayozungumzia ni ipi ww,amabyo urusi Hana?
Hivi unajua hypersonic missile na traditional missile zina utafauti Sana we,au unaweka. Ujinga wako humu!🚮
sawa injinia kutoka uyoleeWe ndo zero kapuku. Tunaongelea sarmat hapa, zaidi ya kuwa na range kubwa, hamna tofauti yoyote na SLBM za Ohio class submarines ambazo zipo kitambo. Unafikiri anti missile ni fool proof? Jidanganye na hizo Sarmat hizo anti missile zako zitashambuliwa na ECM na kuwa useless. Then sarmat inabutuliwa hapo chini.
Range ya elfu Saba na 35 elf ipi Kali mkuuHiyo missile inarushwa kutoka kwenye silo ni kiasi cha kuwahiwa tu wanaipiga mabomu kabla ya kurushwa. Wamarekani mabomu yao mengi ya nuclear ni submarine based na submarine moja inachukua ballistic missile 24 na kila moja ina maximum ya nuclear warheads 15 na range ya km 7,000. Hiyo sarmart ni cha mtoto.
It all depends target yako ipo wapi. Juwa kuwa hizi ni SLBM haziwi launched from the silo kama hizo sarmat. US submarines zinaweza kuwa chini ya maji kwenye mediterannean sea na ingine bahari ya Japan zikaachia makombora yake toka chini ya maji na range ina cover virually all of Russia. Wamarekani nuclear missile zao nyingi ni submarine launched. "Today, the United States deploys most of its nuclear weapons—some 900—on highly accurate SLBMs. By contrast, less than half of those—400—are on siloed ICBMs." Kutoka https://www.ucsusa.org/sites/default/files/2020-06/rethinking-land-based-nuclear-missiles.pdfRange ya elfu Saba na 35 elf ipi Kali mkuu
It all depends target yako ipo wapi. Juwa kuwa hizi ni SLBM haziwi launched from the silo kama hizo sarmat. US submarines zinaweza kuwa chini ya maji kwenye mediterannean sea na ingine bahari ya Japan zikaachia makombora yake toka chini ya maji na range ina cover virually all of Russia.
It all depends target yako ipo wapi. Juwa kuwa hizi ni SLBM haziwi launched from the silo kama hizo sarmat. US submarines zinaweza kuwa chini ya maji kwenye mediterannean sea na ingine bahari ya Japan zikaachia makombora yake toka chini ya maji na range ina cover virually all of Russia.