Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Wewe umewahi kupigania nini maishani mwako hadi uweze kuwafundisha Ukraine nini cha kupigania?
Wasiojulikana wakiamua kukunyang'anya demu wako bar jioni ya leo unaweza hata kujitetea?
Wenzako wamekuwa wanapambana na Warusi tangu karne na karne. Dikteta mwingine wa Russia aitwaye Stalin amewahi kuwauwa milioni 3 na bado hawakusalimu amri.
Huwezi kuujua ujasiri ukiuona.

Issue sio kupigana, Issue ni Unapigana na nani