Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2198946

The Canadian lieutenant general is now in Ukraine as a "volunteer", writes the Ottawa Citizen.

According to the Ministry of National Defense, Trevor Kadier resigned from the Canadian Armed Forces on April 5, after which he went to Ukraine with the intention of becoming a "volunteer" in the army of that country, the newspaper writes.

According to the sources of the publication, the top military leadership of Canada was informed about Kadia's decision to go to Ukraine.

It is also possible that the Canadian general may be in Mariupol.
Safi siounapanda vyeo mpaka major jeneral halafu mchaka mchaka wa vitani huujui hiloni bure tu kuitwa mwanajeshi.mwanajeshi heshima ni kwenda vitani.
 
SAS.jpg
Urusi inafanya uchunguzi kujua kama ni kweli Jeshi la Anga la Uingereza (SAS) lipo Nchini Ukraine na linashiriki katika vita baina ya nchi hiyo na Urusi.

Inaelezwa kuwa kuna wanajeshi 20 wa SAS waliopelekwa Ukraine kwa ajili ya kazi maalum ambao Urusi imesema wapelelezi wake kujua ukweli.

Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Uingereza alipoulizwa alisema: "Hatuwezi kuzungumzia kuhusu SAS."

Inadaiwa kuwa SAS walienda Ukraine mwanzoni mwa mwaka huu kutoa mafunzo kwa majeshi ya taifa hilo kuhusu matumizi ya silaha za kisasa.

Source: Aljazeera.
 
View attachment 2198946

The Canadian lieutenant general is now in Ukraine as a "volunteer", writes the Ottawa Citizen.

According to the Ministry of National Defense, Trevor Kadier resigned from the Canadian Armed Forces on April 5, after which he went to Ukraine with the intention of becoming a "volunteer" in the army of that country, the newspaper writes.

According to the sources of the publication, the top military leadership of Canada was informed about Kadia's decision to go to Ukraine.

It is also possible that the Canadian general may be in Mariupol.
Huyu inabidi akamatwe akiwa hai kabisa kabisa.
 
Watu wamewahi kupambana na USSR ya Stalin itakuwa Russia.
Unapambana na Russia?

Sasa hayo mazungumzo anayo omba na Putin ya nini?

Kwa nini asingechukua hizi hatua mwanzo kuokoa roho za raia wake na miundombinu ya nchi yake. Yy kachagua vita so aendelee na msimamo wake.

Tatizo moja hakufanya maamuzi kwa kutumia kichwa chako, kiwiliwili kipo Ukraine kichwa anacho US.

Halafu jifunzeni kutoa hoja bila lugha mbovu, sisi wengine hili jukwaa tunaliheshimu,umenisikia ww kima.
 
Huu ujinga wa kwamba kuna taifa baba, mama, mtoto, mjomba na shangazi huwa mnajifunza wapi ??
Hata Sudan ya Kaskazini sio baba wa Sudan Kusini.
THERE IS A THIN LINE BTN BE A STUPID OR BE A BRAVE.

UNATAKA KUPIGANA NA BABA YAKO AKIKUPIGA UNAENDA LALAMIKA KWA MAJIRANI WAKUSAIDIE NNI.
 
Mara ya mwisho nimeingia hapa kijiweni Urusi ilikuwa imeshashinda, Rubble inatumika Ulaya kununua gesi, Ukraine ni majivu.
 
Back
Top Bottom