Huyo Putin itakuwa mda wa kifo chake umekaribia.Hapa Tanzania ilikuwa kama nongwa anapoonekana hayati Rais Magufuli akizungumza na watanzania kupitia mimbari ya Kanisa la Mungu wa mbinguni.
Lakini watu wenye akili kubwa huko duniani wameuchukua utaratibu huu wenye baraka na kuanza kuutumia.
Rais Putin amefanya hivyo katika Kanisa analoabudu la Orthodox.
Maaskofu wa Kanisa hilo wameibariki operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine na wamemtaka Rais Putin aikamirishe haraka.
Dominica njema!
Pia Watanzania tumetawaliwa kimabavu mabavu na chama tawala, concept ya liberty /freedom/democracy /sovereignity bado ngeni kwa watanzania wengi. Usishangae watanzania kushabikia dikteta Putin kuvamia nchi huru.
Yaani we mwanaume mwingine aje nyumbani kwako,alale na mke wako. Abake watoto wako. Mbele ya macho yako. Ukimbilie nje kupiga kelele majirani waje kukusaidia. Majirani waje wengi tuu na wote watembezewe kichapo. Ubaki nje ukilia kwa sauti huku ukisikilizia kilio cha mke wako akifurahia show. Halafu atokee mtu akusifie kwamba we ni kidume kweli kweli. Sababu umelia sana kutetea familia yako japo hujafanikiwa. Atakuwa anakusifu au anakukejeli!!?Ukraine ni mwanaume, amepambana
Unapambana na Russia?Hamna historia ya kupambana ndio maana unafikiri liberty na dignity vinapatikana bwerere tu kwenye sahani mezani.
Poor you.
Rais putini yuko sasa ni muhimu kwa kiongozi wa nchi kulinda maslahi ya nchi hasa kwa vizazi vijavyoHapa Tanzania ilikuwa kama nongwa anapoonekana hayati Rais Magufuli akizungumza na watanzania kupitia mimbari ya Kanisa la Mungu wa mbinguni.
Lakini watu wenye akili kubwa huko duniani wameuchukua utaratibu huu wenye baraka na kuanza kuutumia.
Rais Putin amefanya hivyo katika Kanisa analoabudu la Orthodox.
Maaskofu wa Kanisa hilo wameibariki operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine na wamemtaka Rais Putin aikamirishe haraka.
Dominica njema!
THERE IS A THIN LINE BTN BE A STUPID OR BE A BRAVE.Inasikitisha sana
Kaka huwa wana miscalculate hao, nanj kasema hawakosei kisa MI6 or CIA??Bodi yenye Mkuu mstaafu wa M16 haiwezi kukurupuka. Russia wamesitisha kutoa takwimu za uchumi ikiwemo taarifa za kiasi cha uzalishaji mafuta kama walivyokuwa wanafanya kabla ya sanctions.
Huyo kenge usimmbembeleze mshushie nondo za kichwa .....bila hivo atakusumbua sanaUnapambana na Russia?
Sasa hayo mazungumzo anayo omba na Putin ya nini?
Kwa nini asingechukua hizi hatua mwanzo kuokoa roho za raia wake na miundombinu ya nchi yake. Yy kachagua vita so aendelee na msimamo wake.
Tatizo moja hakufanya maamuzi kwa kutumia kichwa chako, kiwiliwili kipo Ukraine kichwa anacho US.
Halafu jifunzeni kutoa hoja bila lugha mbovu, sisi wengine hili jukwaa tunaliheshimu,umenisikia ww kima.
Anaishi Kama digidigiRais mhuni. Ni funzo kwenye nchi, haitakiwi kuwa na rais msanii.
Alafu kuna mbwa zinakwambia RUSSIA ipo kwenye vita kamili......vita gani ya huruma kama hii us amewahi pigana ....dahhRussia refuses any dialogue on the evacuation or exchange of Nazis from Azovstal
The Kremlin is ready to release only women and children from the factory
(if they are there)
Mbona Magufuli alikwenda msikiti wa Bakwata Kinondoni!Na mama akipeleka vitu msikitini musije kulalamika bure.
Ukraine alitakiwa kuchagua upande tuPia Watanzania tumetawaliwa kimabavu mabavu na chama tawala, concept ya liberty /freedom/democracy /sovereignity bado ngeni kwa watanzania wengi. Usishangae watanzania kushabikia dikteta Putin kuvamia nchi huru.
Kwani kuna tatizo kuvoluntia wacha ale matunda ya upande aliouchagua.View attachment 2198946
The Canadian lieutenant general is now in Ukraine as a "volunteer", writes the Ottawa Citizen.
According to the Ministry of National Defense, Trevor Kadier resigned from the Canadian Armed Forces on April 5, after which he went to Ukraine with the intention of becoming a "volunteer" in the army of that country, the newspaper writes.
According to the sources of the publication, the top military leadership of Canada was informed about Kadia's decision to go to Ukraine.
It is also possible that the Canadian general may be in Mariupol.
Kauli hizi tutazitegemea sana sana huku tunapoenda kukamilisha jambo letu warusi wa toangoma,....huraaaaaaaaaaahUkraine ni mwanaume, amepambana