Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
Screenshot_20220424-102032.jpg
Screenshot_20220424-102052.jpg
 
Anayeifundisha Tanzania kuvua ni US, Russia haina mchango wowote kukuendeleza.
Jeshi la Tanzania huwa linafanya mafunzo ya pamoja na majeshi ya USA na China.
Mbwa wa kukamata dawa za kulevya ili msiwe mateja wanafundishwa na USA.
US anatoa hadi misaada ya kutahiri magovi ili kupunguza maambukizi ya Ukimwi.
Mafunzo ya kupambana na majangili hutolewa na US na UK.
Scholarships nyingi zaidi nchi ni kutoka nchi za NATO.
Lakini bado Tiizii hamfungamani na upande wowote
 
Yani mtu mmoja anasababisha matatizo nchi mzima.watu walitakiwa wawepo kazin ili maisha yaende ila sasa ivi wengine wapo ardhini na wengine wapo nchi za watu kama wakimbizi.
Hii iwe fundisho hata kwa majeshi yetu,kiongozi mkiona anaongea maneno ya kuwaletea vita wananchi wake basi mmalizeni huko huko kabla ajaleta matatizo kwa wananchi

Rais mhuni. Ni funzo kwenye nchi, haitakiwi kuwa na rais msanii.
 
Ukraine yalalamika kuwa Russia imepeleka zile mashine za kunya 'silaha za ajabu' a.k.a 'Iskandar-M' kwa wingi zaidi karibu na mpaka wa Ukraine (ndani ya km 60).

Makombora hayo ya balistiki ya Iskandar-M ni version mpya ya makombora maarufu ya kisoviet ya Skud, version hii imeboreshwa zaidi na kuongezewa kachumbali ngeni ambayo iliwachanganya hadi Marekani na Washirika wake mara Russia alipoyatumia nchini Ukraine katika phase ya mwanzo ya operesheni yake ya kijeshi...Makombora hayo yanawezashambulia tageti zilizo umbali hadi kilomita 500 na hayadunguliki na mifumo ya ulinzi wa anga.

SmartSelect_20220424-103347_Chrome.jpg
Screenshot_20220424-103418_Chrome.jpg
Screenshot_20220424-103316_Chrome.jpg

Screenshot_20220424-103540_Chrome.jpg
 
Katika hali inayoonyesha kuwa kipigo kumemuingia na adabu imekaa mahali pake, Rais wa Ukraine ameomba wakutane na Rais Putin na wayamalize ili vita iishe. Msimamo wa Putin ni mmoja tu, aache kuwakaribisha NATO nchini mwake.

Na katika hali inayoonyesha kuwa nchi za magharibi zimeisaliti Ukraine, mauzo ya mafuta ya kutoka Urusi kuelekea nchi hizo, ambazo nyingi Kati ya hizo ni nchi za NATO, yameongezeka. Japo mwanzo waliiwekea vikwazo Urusi na kususia kununua mafuta yake, lakin sasa hivi wamekuwa wakinunua kwa sirisiri. Mauzo ya mafuta yalishuka kutoka 2.2 million barrel kwa siku mpaka 1.3 million barrel kwa siku, na sasa yamepanda tena mpaka 1.6 million barrel kwa siku na hata zaidi. Meli zinazoenda kuchukua kuchukua mafuta hayo zimekuwa hazionyeshi zinaenda wapi ( unknown destination) zinapokuwa zikitokea Urusi, hii ni kukwepa aibu ya kujulikana wamewasaliti Ukraine. Kuongezeka kwa manunuzi hayo imetokana na kuadimika na kupanda kwa bidhaa hiyo nchini mwao, huku gharama za maisha za watu wao kupanda. Wameona kwanini waendelee kuumiza uchumi wao kwa kushadadia vita isiyokuwa na manufaa kwao na ambayo wanajua hawawezi kuishinda?

Nachukua nafasi hii kuwapa pole wale wote walikuwa wanaota kuwa vita hii Ukraine itashinda ikisaidiana na marekani. Mbaya zaidi inaonekana walikuwa hawajui kuwa urusi ni Super Power na wapo mbele sana kwenye kutengeneza silaha za kisasa na jeshi imara. Ni muda sasa waache kuota na waamke..

Screenshot_20220424-104925_2.jpg
 
Shell loses about $ 5 billion due to the exit from the Russian market, writes the Financial Times.

The company is trying to return at least some of this money in negotiations to sell its 27.5% stake in the Sakhalin-2 oil and gas project, the newspaper writes. However, negotiations with potential buyers from China have become "nightmarish."

An FT source says the deal with Chinese companies is likely to come at a deep discount.
Shell wamekurupuka lazima itawacost sana hii move
 
Hapa Tanzania ilikuwa kama nongwa anapoonekana hayati Rais Magufuli akizungumza na watanzania kupitia mimbari ya Kanisa la Mungu wa mbinguni.

Lakini watu wenye akili kubwa huko duniani wameuchukua utaratibu huu wenye baraka na kuanza kuutumia.

Rais Putin amefanya hivyo katika Kanisa analoabudu la Orthodox.

Maaskofu wa Kanisa hilo wameibariki operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine na wamemtaka Rais Putin aikamirishe haraka.

Dominica njema!
 
Anayeifundisha Tanzania kuvua ni US, Russia haina mchango wowote kukuendeleza.
Jeshi la Tanzania huwa linafanya mafunzo ya pamoja na majeshi ya USA na China.
Mbwa wa kukamata dawa za kulevya ili msiwe mateja wanafundishwa na USA.
US anatoa hadi misaada ya kutahiri magovi ili kupunguza maambukizi ya Ukimwi.
Mafunzo ya kupambana na majangili hutolewa na US na UK.
Scholarships nyingi zaidi nchi ni kutoka nchi za NATO.
Kaa kimya ufiche ujinga wako
 
Hapa Tanzania ilikuwa kama nongwa anapoonekana hayati Rais Magufuli akizungumza na watanzania kupitia mimbari ya Kanisa la Mungu wa mbinguni.

Lakini watu wenye akili kubwa huko duniani wameuchukua utaratibu huu wenye baraka na kuanza kuutumia.

Rais Putin amefanya hivyo katika Kanisa analoabudu la Orthodox.

Maaskofu wa Kanisa hilo wameibariki operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine na wamemtaka Rais Putin aikamirishe haraka.

Dominica njema!
Ndoto za mchana
 
Kilichompata si umekiona.
Iga ufe na wewe!
Tukuzike fasta!
 
Back
Top Bottom