Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
Screenshot_20220424-091759.jpg
Screenshot_20220424-091808.jpg
 
Acha uongo hakuna mtumba wa USA wa ulaya bongo hii wote mnavaa mtumba wa mchina. Halafu mambo ya Visa sijui vyoo ni upuuzi mtupu hii mikopo inayotolewa kwa masharti ya kujenga vyoo nayo utajisifia ni misaada? Heri anaekufundisha kuvua kuliko anaekupa samaki msiwe mapherller
Anayeifundisha Tanzania kuvua ni US, Russia haina mchango wowote kukuendeleza.
Jeshi la Tanzania huwa linafanya mafunzo ya pamoja na majeshi ya USA na China.
Mbwa wa kukamata dawa za kulevya ili msiwe mateja wanafundishwa na USA.
US anatoa hadi misaada ya kutahiri magovi ili kupunguza maambukizi ya Ukimwi.
Mafunzo ya kupambana na majangili hutolewa na US na UK.
Scholarships nyingi zaidi nchi ni kutoka nchi za NATO.
 
Polish general accuses Boris Johnson of disclosing military secrets

UK Prime Minister Boris Johnson is “tempting evil” with his statements about the training of Ukrainian troops abroad amid the conflict with Russia, Polish General Waldemar Skrzypczak, who advises the defense minister, said on Friday.

During a visit to India earlier this week, Johnson told journalists that “we are currently training Ukrainians in Poland in the use of anti-aircraft defense, and actually in the UK in the use of armored vehicles.”
 
Anayeifundisha Tanzania kuvua ni US, Russia haina mchango wowote kukuendeleza.
Jeshi la Tanzania huwa linafanya mafunzo ya pamoja na majeshi ya USA na China.
Mbwa wa kukamata dawa za kulevya ili msiwe mateja wanafundishwa na USA.
US anatoa hadi misaada ya kutahiri magovi ili kupunguza maambukizi ya Ukimwi.
Mafunzo ya kupambana na majangili hutolewa na US na UK.
Scholarships nyingi zaidi nchi ni kutoka nchi za NATO.
Nilichokiona wewe jamaa ni mjuaji tu ila kiuhalisia wala haujui kitu, unajudge kitu kwa picha ya nje bila kufanya reasoning ns critical thinking. Kwa akili yako wewe iwe marekani au china au ulaya anapokuja kukufundisha kuvua, au kufanya mazoezi na jeshi lako, kutahiri magovi au kuwaletea vyandarua au msaads wowote inakua ni bure ??
 
Anayeifundisha Tanzania kuvua ni US, Russia haina mchango wowote kukuendeleza.
Jeshi la Tanzania huwa linafanya mafunzo ya pamoja na majeshi ya USA na China.
Mbwa wa kukamata dawa za kulevya ili msiwe mateja wanafundishwa na USA.
US anatoa hadi misaada ya kutahiri magovi ili kupunguza maambukizi ya Ukimwi.
Mafunzo ya kupambana na majangili hutolewa na US na UK.
Scholarships nyingi zaidi nchi ni kutoka nchi za NATO.
Puuz la dunia
 
The Ministry of Defense continues to talk about the heroism of the Russian military.

Senior sailor Maxim Leukhin, moving as part of a motorcade, was carrying ammunition to Russian soldiers fighting with superior forces of Ukrainian nationalists. The column was subjected to mortar fire, but Maxim brought the car out of the fire.

During the day, the artillery battalion, which included Corporal Vadim Yalalov, repelled several enemy attacks. Vadim received a shrapnel wound, but continued to defend the settlement, which he eventually managed to defend.

Senior Lieutenant Anton Kalinchenko, together with the unit of engineering troops entrusted to him, was included in the Airborne Forces group to build a pontoon crossing. Moving along the route, the group discovered Ukrainian radicals, and the Russian military, despite the superior forces of the enemy, entered the battle. Anton was wounded, but, having given himself first aid, he continued to fight until the nationalists were completely destroyed.

View attachment 2198396
Da safi sana hii.
Usichezee Red army bana.
 
Ukraine's export-oriented arms industry had reached the status of world's 4th largest arms exporter in 2012.[1]

Wazalishaji na exporters wakubwa wa silaha duniani ni US, China na Russia

Sasa wewe unaweza kuamini upumbavu kama huo wa Ukraine kuwa exporter number 4??
Yani Ukraine izizidi Ufaransa, Ujerumani, Uingereza, India kuuza silaha!
Nyie vijana wa Wikipedia mmesusha sana kiwango cha elimu nchini.
Tupikie data zako tukuamini wewe mmarekani.
 
Wangekua na msimamo wa west wasingekuwa wakosoaji wakubwa wa Israel, Fuatilia makala za Aljazeera kuhusu mgogoro wa mashariki ya kati utaona hili.

Kumbuka Aljazeera iliwahi kupigwa marufuku huko Misri na waandishi wake kukamatwa na kufungwa na utawala wa Alsisi, hata Saudia waliwahi kulipiga marufuku hili shirika huko kufanya shughuli kwenye nchi yao.

Hili shirika linafanya kazi ya kueneza ushawishi wa Qatar.
Hiyo sio sababu maana hata CNN ukiangalia makala yake nyingi huwa ina egemea upande wa parestina lakini ni chombo cha kimagharibi.
 
Shell loses about $ 5 billion due to the exit from the Russian market, writes the Financial Times.

The company is trying to return at least some of this money in negotiations to sell its 27.5% stake in the Sakhalin-2 oil and gas project, the newspaper writes. However, negotiations with potential buyers from China have become "nightmarish."

An FT source says the deal with Chinese companies is likely to come at a deep discount.
 
Russia cannot be isolated in the long run: Germany needs Russian resources.

This was stated by former German Chancellor Gerhard Schroeder in an interview with The New York Times:

“A country like Russia cannot be isolated in the long term, either politically or economically. German industry needs raw materials that Russia has. This is not only oil and gas, but also rare earth elements.”

After the end of the special operation with the Russian Federation, they will have to interact again, Schroeder added: “This is how it always happens.”View attachment 2198406
Ha ha haa,😂🤣
NATO kupigana na Urusi ni sawa nakujitoa mhanga TU,
EU kuiwekea vikwazo Urusi au kuitenga ni sawa na kujinyonga wenyewe TU.
Urusi kwao ni kama maji,usipoyaoga utayanywa TU.

Sasa Dunia imeelewa umuhimu wa Urusi.

Hata wakiiweza kwenye vikwazo vya kiuchumi na kuitenga kwa Kila kitu bado wataihitaji kwa usalama wa Dunia.
 
Anayeifundisha Tanzania kuvua ni US, Russia haina mchango wowote kukuendeleza.
Jeshi la Tanzania huwa linafanya mafunzo ya pamoja na majeshi ya USA na China.
Mbwa wa kukamata dawa za kulevya ili msiwe mateja wanafundishwa na USA.
US anatoa hadi misaada ya kutahiri magovi ili kupunguza maambukizi ya Ukimwi.
Mafunzo ya kupambana na majangili hutolewa na US na UK.
Scholarships nyingi zaidi nchi ni kutoka nchi za NATO.
Wakati huo silaha wanazo tumia hao wanajeshi wako wanao pewa mafunzo na Marekani zime tengenezwa na Urusi.
 
Back
Top Bottom