Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Baada ya wamagharibi kuisingizia china kuwa Ina ipa msaada wa kijeshi Urusi lakini watu wakashutukia kuwa ni propaganda, sasa hivi wameanza kuisingizia Iran eti inaipa Urusi msaada wa makombora ya kuharibu vifaru na mifumo ya ulinzi.
Waache wahangaike MKUU ila wasije wakanitaja namimi tuu[emoji3][emoji4][emoji16]
 
Ajabu ni kwamba kanisa hilo hilo LA Orthodox ndilo liko Ukraine.

Askari Wa Orthodox Wa Ukraine wanaua Askari Wa Orthodox Wa Urusi.

Askofu Wa Orthodox Urusi anabariki uvamizi Wa Urusi, na askofu Wa Orthodox Wa Ukraine anabariki askari Wa Orthodox Wa Ukraine waue askari Wa Orthodox Wa Urusi.

!!!!!!!!!?????

Does it make any sense?

Until you use common sense!!!!!!
 

OPERATION AZOVSTAL
Putin’s VERY “Special Military
Operation” to Protect Russia and
Expose the Global Biowar
Against Humanity
​


fn-2022-04-19-17-30-41-0.jpg

Azovstal Iron and Steel Works in Mariupol, Ukraine under attack by the Russian military

Russia was forced to launch its “special military operation” in Ukraine to terminate the raging
biowar waged by the US-UK-NATO-UKRAINE
bioterrorist group — from its secret underground operational headquarters located at the Azovstal
Iron and Steel Works in Mariupol, Ukraine —
against the people of Donbass and western Russia.
​

~~~ END OF STORY ~~~​


State of the Nation

The epic battle for Mariupol really concerned the Russian war on the Pentagon-sponsored bioweapon labs hidden in the bowels of the Azovstal Steel Plant.​

To date, the Russian military has shut down 30 plus bioweapon laboratories across the Ukraine. However, the main bioweapon lab being systematically used to carry out bioterrorist operations in Donbass and western Russia is strategically located in Mariupol at the massive Azovstal complex.


KEY POINT: The city of Mariupol is situated less than 40 miles from the Russian border, which is why Azovstal was selected to house one of the largest bioweapon labs in the world. Not only was it based right in Donbass, but Azovstal was the closest biolab from which to launch bio-attacks against Russia. See: Massive Bioweapon Lab at Azovstal Steel Works in Mariupol Exposed by Russian Military (Video)


This is why Russia is so determined not to blow up Avozstal or neutralize the 1000 plus Azov Nazis holed up there behind human shields—innocent Ukrainian citizens. The women and children, in particular, were likely forced into the sprawling Azovstal plant as a defensive stratagem against an all-out Russian attack.

Putin knows exactly what the Azovstal biolabs were up to. He also needs to preserve the evidence so he can show the whole world what the US-UK-UA-NATO bioterror group was planning to unleash in both Donbass and Russia.

This is precisely why the Azov Nazis were given such free rein to terrorize the citizens of Mariupol. They were acting on orders from their NATO command, Pentagon masters and CIA overlords to exert absolute control over the Azovstal bioterror crime scene. Isn’t that why these hardcore Neo-Nazis are called the Azov Regiment and Azov Battalion? These battle-hardened mercenaries were put there to provide brutal defensive and protective services for the Zio-Anglo-American bioterrorist operations.

What was the Kremlin to do?

Permit this bioterror group to continue their slow-motion genocide of the Donbass citizenry?! See: HARD PROOF that Zelensky’s Azov Neo-Nazis are committing genocide against the Ukraine citizenry (Video)

Not only did Putin strike first and hard to terminate the ongoing genocide and future biowar, he also has repeatedly told the world community of nations the purpose of Russia’s “special military operation”.


Any president or prime minster would be fully justified in taking the
same military measures to shut down a genocide-in-progress.​


The courageous decision made by Putin et al. to invade was most certainly the result of a broad collective agreement across the entire Kremlin leadership. After all, Moscow is only 280 miles from the Ukrainian border as the crow flies, so they knew they were facing dire existential threats of the highest order from NATO and the more dangerous bioterror group.

Extremely aggressive moves and maneuvers by NATO only confirmed Putin’s worst fears, as did the several overtures to expand NATO membership in order to further surround Russia.

However, it was the expeditious uncovering of the Ukraine bioweapon labs that really proved Putin right in his mission to shut the whole genocidal enterprise down—FOR GOOD!

FQkpkGDWQAUjhxg-1.png

Vast tunnel system and bioweapon lab complex built underneath the Azovstal steel manufacturing complex.

BOTTOM LINE: Russia had no choice but to invade Ukraine to carry out multiple “special military operations” to protect its sovereignty and safeguard it citizenry.​


State of the Nation
April 21, 2022
 
Acha kujitoa akili , vipi hizo silaha za kujilinda anazo pewa Ukraine je angekuwa anapewa Iraq hali ingekuwaje kwenye uwanja wa vita Marekani angeweza kumaliza vita ndani ya muda huo ulio taja?

Si Marekani na vibaraka wake wangeishia kukimbia kama walivyo kimbia Uvitenam baada ya kutandikwa na silaha ambazo Vietnam alikuwa anapewa na Usoviet?

Kulinganisha vita ya Iraq na ya sasa Ukraine ni ukosefu wa akili maana havina mlinganyo wowote.

Iraq kipindi anavamiwa alikuwa dhaifu mno maana kwanza alikuwa ameshapigana vita nyingi nguvu ya jeshi lake ilikwa imepungua mno.

Pili alikuwa na vikwazo vya kiuchumi na silaha wakati Ukraine hana vikwazo vyovyote kati ya hivyo na alikuwa na uwezo wa kununua silaha yeyote anayo itaka.

Tatu Iraq kieneo ni ndogo ukilinganisha na Ukraine kitu kilicho toa faida kwa Marekani kupigana kwenye eneo dogo ,wakati Ukraine ina eneo kubwa kitu kinacho irazimisha Urusi ipigane kwenye eneo kubwa na kwa wakati mmoja.

Nne Iraq eneo lake kubwa ni jangwa kwa hiyo na ina miji mchache na midogo kwa maana hiyo mapigano mengi yalikuwa kwenye sehumu ya wazi jambo ambalo liliipa faida ya Marekani kuvishambulia kirahisi vikosi vya Iraq kutoka angani, wakati Ukraine ina utitiri wa miji kitu kinacho fanya vita ya ardhini kuwa ngumu kutokana na kwamba wanajeshi wa Ukraine wanaweza kujikinga kirahisi na mashambulizi kwa kujificha kwenye majengo na kufanya ambush za kudhutukiza.

Tano Irak alipigana na zaidi ya mataifa zaidi ya 20 tena yenye nguvu kubwa wakati yeye akiwa peke yake bila msaada wowote,wakati Ukraine anapigana vita na taifa moja huku yeye akipokea silaha kutoka mataifa 30.

Sasa unawezaje kulinganisha vita hii mbili kama sio upungufu wa akili?
Sita. Miezi michache kabla ya Vita Marekani na washirika wake kupitia kibaraka UN, waliilazimisha na kusimamia Iraq iharibu silaha zake za masafa marefu kwa hoja ya kwamba haziruhusiwi wakati wao wanazimiliki.
 


Is Zelensky a Cocaine addict?

A few days ago a video of Zelensky surfaced online which seems like he was pretty much disoriented, some people who analysed
the video as claimed he was on drugs during this video



Is it Cocaine on the table in Zelensky's office?

Notice the credit card near the powder on the video. Addicts often makes drug stripes using a credit card
 
Kwa ufupi hakuna vita nchi anaepigana peke yake lazima nchi rafiki wa saidie kimya kimya Kosa la Putin washauri wake walimshauri Vibaya kwamba hii vita itakuwa rahisi inawezekana pia na hata wale makamanda vibaraka wake kutoka jeshi la ukrein ambao mwanzoni mwa vita jesh la urusi walikuwa wanasonga mbele wale nao wameshitukiwa kwamba ni vibaraka wa urusi hivyo wote wametolewa inawezekana jeshi lote la ukrain liko chini ya NATO na marekani ndio maana sasa raisi wa ukrain alilii kama mwanzo anatamba hivyo tusishangae urusi kulialia kwa sababu wale vibaraka wake wa wakumpa taharifa wapi tupige na wapi tusipige hawapo hivyo hii vita ni ngumu kwa nchi zote mbili .mungu ibariki ukrain 🇺🇦 mungu ibariki urusi🇷🇺 Mungu ibariki dunia🌏
 
Baada ya wamagharibi kuisingizia china kuwa Ina ipa msaada wa kijeshi Urusi lakini watu wakashutukia kuwa ni propaganda, sasa hivi wameanza kuisingizia Iran eti inaipa Urusi msaada wa makombora ya kuharibu vifaru na mifumo ya ulinzi.
Kwakupagawa huku sitashangaa siku wakiituhumu Tanzania kuwapa mbinu za kivita Russia

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
The Sarmat missile can be equipped with several Avangard hypersonic warheads, said Sergey Karakaev, Commander of the Strategic Missile Forces
Hii missile ni Noma mkuu
-linasafiri 35,000km.
-linabeba nuclear warheads 15.
-Halidunguliwi
-Linapiga sehemu paisipotarajiwa.
-Halionekani kwenye radar.
Inshort,hakuna kombora kama Hilo duniani.
 
Pro nato hawawezi kuja hapa watatumia alfabeti gani wakati RUSSIA wanatumia zote wameamua kutumia ishara...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Na huo mfumo marekani wanaufanyia kazi ili uku mtandaoni tuweze kuwasiliana.
Sasa ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ wamezichukua unategemea nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....
Watatumia small letters. Putin akizichukua watatumia za Kichina, zikichukuliwa watatumia za Kiarabu, zikichuliwa watatumia za Kihindi,...Kimalay, Kihabrew,.....
 
Kwa ufupi hakuna vita nchi anaepigana peke yake lazima nchi rafiki wa saidie kimya kimya Kosa la Putin washauri wake walimshauri Vibaya kwamba hii vita itakuwa rahisi inawezekana pia na hata wale makamanda vibaraka wake kutoka jeshi la ukrein ambao mwanzoni mwa vita jesh la urusi walikuwa wanasonga mbele wale nao wameshitukiwa kwamba ni vibaraka wa urusi hivyo wote wametolewa inawezekana jeshi lote la ukrain liko chini ya NATO na marekani ndio maana sasa raisi wa ukrain alilii kama mwanzo anatamba hivyo tusishangae urusi kulialia kwa sababu wale vibaraka wake wa wakumpa taharifa wapi tupige na wapi tusipige hawapo hivyo hii vita ni ngumu kwa nchi zote mbili .mungu ibariki ukrain [emoji1255] mungu ibariki urusi[emoji635] Mungu ibariki dunia[emoji290]
Hahahahaaa,hahahaaa,anaelialia ni urussi au Ukraine?,wajinga ni wengi sana hapa duniani,
 
Back
Top Bottom