Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee USA kwa Russia ni mchumba tu. Unapoteza muda wako kijana.
Hoja hizi za vijiweni kwenye gahwa hazina mashiko. Lete data. Nchi masikini kama Russia ndio mchumba wa US? Kwanza waombe Russia wawawekee vikwazo vya uchumi US basi, tuone. Russia anakuwa kama kiduku tu, akikosa attention, anarusha missile hakafu anasema angalieni nimerusha kitu🙂
 
Hoja hizi za vijiweni kwenye gahwa hazina mashiko. Lete data. Nchi masikini kama Russia ndio mchumba wa US? Kwanza waombe Russia wawawekee vikwazo vya uchumi US basi, tuone.
Mzee mimi nakuletea taarifa kwa Evidences. Ungekuwa kidogo umesoma tungejadiliana.
1. Tuanze kwenye fighi jet Russia ipo mbele

2. Air diffence system, Russia ipo mbele

3. ICBM Russia ipo mbele

4. Hypersonic missiles Russia ipo mbele.

5. Nuclear weapons Russia ipo mbele.

Hebu niambie sasa mwenzangu Huyo USA na NATO combine wanaweza kunusa pua Russia!?
 
Kuweka list kama hiyo ndio evidence? Really? Hata mimi naweza kuweka dakika sifuri. Jitahidi ili nami nikujibu ipasavyo. Putin mwenyewe anasema US is the only superpower🙂
 
Kuweka list kama hiyo ndio evidence? Really? Hata mimi naweza kuweka dakika sifuri. Jitahidi ili nami nikujibu ioasavyo.
Mzee nianze kama ifuatanvyo
Screenshot_20220424-211552.png
 
Mzee nianze kama ifuatanvyo
View attachment 2199293
Don't pick and choose!! Angalia overall capabilities. Ebu nenda hapa.

S-400 air difence System. Russia kama Russia
View attachment 2199307
Picha si hoja. Nikikuwekea hapa F-22. au F-35, (Russia hana kitu kama hiki) au aircraft carrier moja tu ya US ambayo mrusi hana?
Overall yanini? Mwanangu unaleta budget. Mzee Wewe leta unachohisi USA anaizidi Russia kwenye military.

Nimekwambia USA nichumba mbele ya Russia. USA anadindiwa na North Korea na hafanyi chochote.

Wakeup kijana.
Kwa hiyo hizo ni hisia zangu? Du!! Nimekupa link kama tatu hapo. Zipinge kwa hoja sio kuleta mapicha.
 
Hoja hizi za vijiweni kwenye gahwa hazina mashiko. Lete data. Nchi masikini kama Russia ndio mchumba wa US? Kwanza waombe Russia wawawekee vikwazo vya uchumi US basi, tuone. Russia anakuwa kama kiduku tu, akikosa attention, anarusha missile hakafu anasema angalieni nimerusha kitu🙂
hakafu - halafu
gahwa !!!?
 
Utakuwa unaota, angalia lakini usije ukaharibu vilalio🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom