Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rais wa UKrane ameomba vita iishe na kuomba kuonana na Rais Putin ,,amekiri kushindwa na kuleta soluishi la kudumu kwa watu w alande zote, Source,BBC ,Star Tv
Sasa angekuwa na akili hii tokea mwanzo si angeepusha vifo vya raia wake na kunusuru miundombinu ya nchi yake.Tatizo kichwa aliwapa US na NATO yy akabaki na kiwiliwili, Russia mwanzo walimpa option akajifanya kukaza.
 
IMG-20220224-WA0016.jpg
 
Overall yanini? Mwanangu unaleta budget. Mzee Wewe leta unachohisi USA anaizidi Russia kwenye military.

Nimekwambia USA nichumba mbele ya Russia. USA anadindiwa na North Korea na hafanyi chochote.

Wakeup kijana.
Mmh hizi taarifa za kijiweni kabisa na aliyewapa taarifa anawaweza kwelikweli!
 
Kwenye silaha za masafa Russia wapo vizuri kuliko US.
Kuhakiki hili hata US huwa wananunua rocket engines toka Russia.

Kwenye mifumo ya kujilinda kama S300, S400 n.k Russia wapo vizuri kuliko USA.

Kumbuka silaha za Russia zinasifika ulimwenguni kote kwa uimara wake na urahisi wa kimuundo ,(simple design and reliability)

Kingine ni hypersonic missiles, Hypersonic missiles ni silaha hatari sana, kwanza zina kasi ya ajabu, na huwezi kuzizuia kwa ABM, ipo wazi ngao za US sio imara kama za Russia, hapo itakua hatari na ukizingatia US hawana hypersonic missiles.
 
Picha si hoja. Nikikuwekea hapa F-22. au F-35, (Russia hana kitu kama hiki) au aircraft carrier moja tu ya US ambayo mrusi hana?

Kwa hiyo hizo ni hisia zangu? Du!! Nimekupa link kama tatu hapo. Zipinge kwa hoja sio kuleta mapicha.

Hiyo F-22 ilifeli pamoja na hio F-35 walitumia pesa mingi afu maajabu haina. Hio F-35 hainusi kwa Su-35
 
Wafaransa wengi wana vichwa vyenye akili
Wakienda hivi kwenye round ya pili sizan kama Macron atatoboa, Naziona hizo kura zote za wengine zikienda kwa huyo mama.

Tukumbuke alitoa ahadi akifanikiwa kushinda ataitoa France NATO na EU.
 
Back
Top Bottom