Wewe nilikupa siku tatu achilia mbali siku moja kwamba Azov wala Denis hamtawakamata. Je mumewakamata? Kwa aibu hutajibu hii quote utajifanya hujaiona kwa aibu. Pole sana. Bado hamjawakamata?
Neter tulia ujifunze vita inavyoenda.
Unakumbuka?
Mimi ni
figganigga. Nyie mnafanya propaganda za kuwadanganya Watanzania. Eti Azov wamezungukwa Mariupol. Siku moja tu wanadakwa. Sasa wiki inaisha. Huo mzunguko wa ukutiukuti. Ngoja niwaache muendelee kujiliwaza kwamba hii Vita Urusi watashinda. Hawa Urusi wataondoka kama walivyo kuja.
Mwanzo mlisema mtaikamata Kyiv ndani ya Siku 3, sasa miezi miwili imeisha hata kuikaribia bado.
Mkadai atakayeisaidia Ukraine mtamlipua, nchi ndogo kama Poland inaisaidia Ukraine, hamjathubutu hata kufyatua risasi hewani. Acheni kudanganya watu. Urusi wana Vifaa vingi vya Jeshi lakini hawana mbinu wala maarifa ya kuvitumia.
Baada ya kuona Warusi wanakufa sana Ukraine, Urusi ikabidi ikodi wanajeshi wa Libya na Syria ili waende Frontline wafe. Sisi tunataka Wanajeshi wa Urusi ndo waje Frontline. Mnaogopa nini? Mnaogopa Ukraine nchi ndogo hivi?
Vita ni akili sio Maguvu. Ngoja niwaache muendelee kuliwazana na kudanganyana.
View attachment 2199485
View attachment 2199484