Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

S-400 air difence System. Russia kama Russia
View attachment 2199307
Hiki sijui ni nini?
IMG_20220318_201021.jpeg
 
Twende kazi kwenye Fighter jet.
Russia inaongelea 5th Generation wewe bado upo 4th Generation
F-35 vs Su-57
View attachment 2199342
Acha kichekesho 🙂🙂 Ebu nambie hizo Sukhoi zimetengenezwa ngapi mpaka sasa as comparing with F-35? Na hapo umesahau F-22!! Ukishindwa ntakwambia. Wahindi wamemwacha solemba mrusi baada ya kuona wanaingizwa choo cha kike na hizi Sukhoi. Daah! Upo behind the news sana kwa kweli.. Naona nisiendelee kujadiliana na wewe kwani nakuonea tu.
 
Wenzako walishaeleweshwa wakaelwa, wewe ulikuwa wapi?
US haihitaji mafuta ya Russia kwa sababu yeye ndiye mzalishaji mkubwa zaidi wa mafuta duniani na hata kama hayamtoshi majirani zake Canada na Mexico wanazalisha mafuta mengi tu anayeweza kununua.
Halafu mbona mafuta na gesi ya Putin havijawekewa vikwazo.
Achana na propaganda nyepesi na uchwara.
 
Mzee Russia ipo mbele mno mwanangu USA yupo nyuma. Kumbuka Su-57 is a 5th generation f-35 is a 4th generation.
Orodha ya ndege vita za Urusi:-

Su-25SM, Su-24M, Su-34, MiG-31K, Tu-22M3, Tu-95, Tu-160, A-50/A-50U, Il-22PP, Il-80, MiG-29, MiG-35, Su-27, Su-30, Su-35, Su-57, MiG-31

Huto tu aina tu wili tu unatuletea hapa.

Chagu huyo F-22 apambane na nani!?
Nimekwambia ufahamu wako mdogo.
 
F35 ni 4th generation ?. Basi hata kama ni mahaba usiwe mjinga kiasi hiki
 
Back
Top Bottom