Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kamuuza Nani?au anampigisha kwata mzee wa Siku tatu Sasa mmeanza Wenyewe kukubali Ni hii Vita itachukua miaka.game tough
Mzee wa saa 48 kumaliza vita[emoji16]
20220419_091937.jpg
 
Taja silaha ndogo au bunduki tunazonunua ulaya mzee,maana ww unajifanya mjuaji kumbe ni mweupe kichwani.
Kwa kuanza,tunajua AKA 47 inatumika na wanajeshi wa JWTZ na polisi wa Tanzania,zinatoka Russia.
Silaha inayotumika kwenye gwaride na makomando wanaokimbia mchaka mchaka ni UZI GUN kutoka Israel.
Na ww mbona unadandia gari kwa mbele?
Ume elewa tulicho kuwa tunajadili?
 
Ww nipe takwimu sahihi silaha tunanunua wapi?
Usipo nunua silaha Urusi ununue wapi?

Nchi masikini ndio waagizaji wakubwa wa silaha za Urusi maana zina gharama nafuu na ni rahisi kuzitunza na kuziendesha, china tuna nunua lakini ni mara chacha mno maana silaha zao hazina ubora na zinaharibika hovyo hovyo.

Silaha tunazo nunua kwenye nchi za magharibi ni zile ndogondogo ambazo haziitaji matengenezo ya mara kwa mara kama risasi, bunduki lakini silaha kubwa kubwa zina toka Urusi au china na kama kuna zingine za kimagharibi basi ni chache sana.
Hata kwenye sherehe za uhuru ambapo maonesho ya kijeshi huwa yana fanyika vifaru vyote na mifumo ya ulinzi yote , magari yote ni yale yaliyo tengenezwa nchi Urusi.

Silaha za kimagharibi ni gharama sana nchi kama Tz haina uwezo wa kuzinunua au kuzitunza, kenya yenyewe inayo jifanya wakala wa mabeberu E.Afrika bado silaha zake nyingi inanua Urusi.

Unajifanya unajua kumbe hujui lolote. Tanzania soko lake kubwa la silaha ni China. Vifaru karibia vyote mnavyotumia ni vyao mpaka zile amphibious. Ndege vita mnazozitegemea za Chengdu ni zao. Rockets aina ya A-100 ni zao. Transport vehicles za TPLF karibu na zote ni made in China. Attack helicopter hivyo hivyo. Urussi hana mchango wa maana TPLF kama mnavyojidanganya.

Alafu ukija Kenya soko letu kubwa la silaha ni marekani, fleet yote ya ndege- jet fighter, transport helicopter, attack helicopter, drones, reconnaissance planes 90% ni made in USA. Bunduki ni FN scar kutoka Belgium, jeshi letu halitumii tena Kalashnikov ( AK 47). Vifaru ni kutoka Britain.

Alafu cha kusikitisha kuna watu watalike hio post yako.
 

Russia tells US to stop giving Ukraine weapons​

Moscow sent a note to Washington demanding it stops supplying weapons to Kyiv, Russia’s ambassador to the United States, Anatoly Antonov, said in an interview with the Russia-24 TV channel, state news agency TASS reports.

Russia wanalakamika sana
 
Unajifanya unajua kumbe hujui lolote. Tanzania soko lake kubwa la silaha ni China. Vifaru karibia vyote mnavyotumia ni vyao mpaka zile amphibious. Ndege vita mnazozitegemea za Chengdu ni zao. Rockets aina ya A-100 ni zao. Transport vehicles za TPLF karibu na zote ni made in China. Attack helicopter hivyo hivyo. Urussi hana mchango wa maana TPLF kama mnavyojidanganya.

Alafu ukija Kenya soko letu kubwa la silaha ni marekani, fleet yote ya ndege- jet fighter, transport helicopter, attack helicopter, drones, reconnaissance planes 90% ni made in USA. Bunduki ni FN scar kutoka Belgium, jeshi letu halitumii tena Kalashnikov ( AK 47). Vifaru ni kutoka Britain.

Alafu cha kusikitisha kuna watu watalike hio post yako.
Mna hela nyinyi za kununua silaha kutoka Marekani na Uingeleza au upo unajititua hapa kama kawaida yenu kujiona wa kipekee wakati mnakufa na njaa?

Aslimia 90 ya silaha za Tz ni zile zilizo tengenezwa wakati wa Usoviet asitake kuleta ubishi usio kuwa na maana silaha za china ni chache mno ambazo tena nyingi zilinunuliwa kipindi cha Jakaya kikwete.

Una sema eti mlisha acha kutumia Ak_47wakati kwenye taarifa za habari zinazo ihusu kenya huwa tunaona polisi na wana jeshi wenu wamezibeba huwa wamezibeba kama pambo au?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa airforce gani iliyokuwepo kwa sasa
Maneno yako yanakinzana na msemaji wa jeshi la Urussi amabae amesema wamelipua ndge za Ukraine. Sasa jiulize hizo ndege zimetoka wapi na wanasema wamezisambaratisha.

The #Russian Defense Ministry reports that Russian air defense forces shot down two MiG-29 fighters and one Su-25.
 
Back
Top Bottom