Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Wapi na lini?Hukusikia ile ndege ya NATO iliyodunguliwa kumbe.
Wapi na lini?Hukusikia ile ndege ya NATO iliyodunguliwa kumbe.
Akili za kinyetopori hata umueleze nini hakuelewiiNimekuambiaje, EU hivi sasa hata uzalishaji umepungua, kama Germany sasa hivi wana sera ya kubana matumizi, uzalishaji umeshuka.
Hizo zote ni sababu za Russia kuweka sanctions, sasa kaa ujue nchi za EU hawawezi kuacha kushugulika na hali yao waende wakamsaidie Ukraine, Ukraine labda wapewe misaada ya vyakula.
Kama hap EU wapo radhi kuisaidia Ukraine hivi sasa ingepaswa wawe mstari wa mbele kutuma vikosi kuyakomboa majimbo ya East kama walivyo kuja Africa kuwasaidia waasi wa benghazi.
Waasi wa Benghazi hawakuwako Nato, lakini walikuwa wa kwanza kuja kutoa msaada, hivi sasa wanashindwa kipeleka yale mandege ya Nato yakasaidie Ukraine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji1787]
We bwana weee hivi unakumbuka nilichokuuliza au mbona unakua mzito kuelewa ulichoandika mwenyewe mimi nataka nione walibya na wasiryia uliowasema hizo nyingine brah brah zinatoka wapi au we ulisema hao wacongo? Si ulisema walibya na wasiryia au ushasahau mara hii haya hebu hata maiti zao tu nione basi kama nzima hawapo😂😂Hicho tu? Niulize chochote kuhusu Urusi wanavyo chakazwa. Picha za askari wa kukodiwa zipo nyingi. Ila kwa kuwa umeomba. Nakupa hizi za majirani wako wa Africa Mashariki Congo. Wapo watanzania pia wanapigana upande wa Urusi akiwemo Devid dogo wa Arusha kwa Mromboo
View attachment 2199836View attachment 2199837
Mna hela nyinyi za kununua silaha kutoka Marekani na Uingeleza au upo unajititua hapa kama kawaida yenu kujiona wa kipekee wakati mnakufa na njaa?
Aslimia 90 ya silaha za Tz ni zile zilizo tengenezwa wakati wa Usoviet asitake kuleta ubishi usio kuwa na maana silaha za china ni chache mno ambazo tena nyingi zilinunuliwa kipindi cha Jakaya kikwete.
Una sema eti mlisha acha kutumia Ak_47wakati kwenye taarifa za habari zinazo ihusu kenya huwa tunaona polisi na wana jeshi wenu wamezibeba huwa wamezibeba kama pambo au?
Vipi mbona USA alitaka kupigana WW3 baada ya Russia kuingia makubaliano na Cuba Ili Russia akaweke military base Cuba kama ulinzi Kwa nchi hiyo?US alisema hawezi kuruhusu silaha za Russia kuwa jirani na Kwake,hivyo iwapo Russia angesafirisha silaha angezilipua kabla hazijafika na kama itatokea WW3 na iwe hivyo!Marekani na Urusi ni majirani , hivyo kisingizio Cha Urusi kuwa anasogezewa maadui mlangoni ni upuuzi tu, NI uonevu kwa Ukraine.
View attachment 2199813
🤣🤣🤣[emoji847]View attachment 2199850
Wewe ndo mpumbavu, lini Ukraine ilipewa ndege vita?? Poland pekee ndio aliokua na nia ya kutoa Mig zake endapo atafidiwa lakini haikutokea. Kama una ushahidi tuonyeshe!Ww unajifanya mpumbav,kwani misaada Ukraine inapokea kila siku!
Hujui lolote, hiyo sentensi niliokata inaonyesha ulivyokua mweupe kichwani kwa historia ya dunia.Vipi mbona USA alitaka kupigana WW3 baada ya Russia kuingia makubaliano na Cuba Ili Russia akaweke military base Cuba kama ulinzi Kwa nchi hiyo?US alisema hawezi kuruhusu silaha za Russia kuwa jirani na Kwake,hivyo iwapo Russia angesafirisha silaha angezilipua kabla hazijafika na kama itatokea WW3 na iwe hivyo!
Russia kiungwana akaahirisha Mpango wake na Cuba!
Nenda kagoogle "Cuba missile crisis" na usome vizuri kisa hicho!
Nenda kasome Cuba missile crisis na suala hilo lilivyomalizwa!Hujui lolote, hiyo sentensi niliokata inaonyesha ulivyokua mweupe kichwani kwa historia ya dunia.
Kumbe unataka kubisha. Nilijua unataka kuelemishwa usichojua. Bye. Ngoja nikuache na ujinga wako. Changua kile unachopenda kusikia. Mimi sina uahabiki maandazi wala sibishani na wajinga. Unatakiwa unaleta fact unapewa fact. Tuongelee uwanja wa Vita sio nani zaidi.We bwana weee hivi unakumbuka nilichokuuliza au mbona unakua mzito kuelewa ulichoandika mwenyewe mimi nataka nione walibya na wasiryia uliowasema hizo nyingine brah brah zinatoka wapi au we ulisema hao wacongo? Si ulisema walibya na wasiryia au ushasahau mara hii haya hebu hata maiti zao tu nione basi kama nzima hawapo😂😂
Nakijua sana....Vipi mbona USA alitaka kupigana WW3 baada ya Russia kuingia makubaliano na Cuba Ili Russia akaweke military base Cuba kama ulinzi Kwa nchi hiyo?US alisema hawezi kuruhusu silaha za Russia kuwa jirani na Kwake,hivyo iwapo Russia angesafirisha silaha angezilipua kabla hazijafika na kama itatokea WW3 na iwe hivyo!
Russia kiungwana akaahirisha Mpango wake na Cuba!
Nenda kagoogle "Cuba missile crisis" na usome vizuri kisa hicho!
Specifications zake ni hizi hapa mkuu.It is indeed a super killer!Nasikia hii kitu ni mara 1000 zaidi ya yale madude US iliangusha Hiroshima na speed yake ni 16,000KPH
| RS-28 (Sarmat) РС-28 (Сармат) | |
|---|---|
| Service history | |
| Production history | |
| Specifications | |
| Type | Superheavy Intercontinental ballistic missile |
| Place of origin | Russia |
| In service | 2022 (planned) |
| Used by | Strategic Rocket Forces |
| Designer | Makeyev Rocket Design Bureau |
| Manufacturer | KrasMash, Zlatoust MZ, NPO Energomash, NPO Mashinostroyeniya, KBKhA |
| Mass | 208.1 metric tons[1] |
| Length | 35.5 m[2] |
| Diameter | 3 m[2] |
| Warhead | 10–15 MIRVs[3] Unspecified number of Avangard HGVs |
| Engine | First stage: PDU-99 (RD-274 derived) |
| Propellant | Liquid |
| Operational range | ~18,000 kilometres (11,000 mi)[4] |
| Maximum speed | Mach 20.7; 25,560 km/h (15,880 mph); 7.1 km/s (4.4 mi/s) |
| Guidance system | Inertial guidance, GLONASS, Astro-inertial |
| Launch platform | Silo |
Unasema eti Urussi ilikubali kiungwana kutoa missiles 🤣 🤣 uugwana upi aliokua nayo urussi. Makubaliano yalikua ni marekani atoe Missiles zake Turkey na Italy ndo mgogoro ukaisha. Ubaya wenu mkishasoma vitabu vya historia sentensi mbili mnaona mshajua kila kitu.Nenda kasome Cuba missile crisis na suala hilo lilivyomalizwa!
Hizo porojo nyingine siko interested nazo,ninachosema US na Russia waliingia kwenye mvutano wakati Russia amekubaliana na Cuba kuweka military base!US hakutaka kabisa uwepo wa silaha za Russia Cuba kwani ni jirani kabisa!
Nenda kasome halafu urudi hapa,punguza ujuaji usio na afya!
Unajifanya unajua kumbe hujui lolote. Tanzania soko lake kubwa la silaha ni China. Vifaru karibia vyote mnavyotumia ni vyao mpaka zile amphibious. Ndege vita mnazozitegemea za Chengdu ni zao. Rockets aina ya A-100 ni zao. Transport vehicles za TPLF karibu na zote ni made in China. Attack helicopter hivyo hivyo. Urussi hana mchango wa maana TPLF kama mnavyojidanganya.
Alafu ukija Kenya soko letu kubwa la silaha ni marekani, fleet yote ya ndege- jet fighter, transport helicopter, attack helicopter, drones, reconnaissance planes 90% ni made in USA. Bunduki ni FN scar kutoka Belgium, jeshi letu halitumii tena Kalashnikov ( AK 47). Vifaru ni kutoka Britain.
Alafu cha kusikitisha kuna watu watalike hio post yako.
Ndio,Russia naye hataki NATO mpakani Kwake!Nakijua sana....
Nilishagusia huko nyuma huo mzozo...
USA hakutaka makombora yakae Cuba,..Cuba ni karibu mno na jimbo la Miami.
Jimbo la Alasaka ni karibu mno Russia ila sehem kubwa ni barafu na haina idadi ya watu wengi au hakuna kabisa.
Maneno yako yanakinzana na msemaji wa jeshi la Urussi amabae amesema wamelipua ndge za Ukraine. Sasa jiulize hizo ndege zimetoka wapi na wanasema wamezisambaratisha.
The #Russian Defense Ministry reports that Russian air defense forces shot down two MiG-29 fighters and one Su-25.
Sasa Huoni Huo ni uungwana kuepusha vita Kwa mazungumzo?Kama Russia angekuwa aggressive basi WW3 ingetokea!Unasema eti Urussi ilikubali kiungwana kutoa missiles 🤣 🤣 uugwana upi aliokua nayo urussi. Makubaliano yalikua ni marekani atoe Missiles zake Turkey na Italy ndo mgogoro ukaisha. Ubaya wenu mkishasoma vitabu vya historia sentensi mbili mnaona mshajua kila kitu.
Russia wana jambo lingine Ukrain,..Ndio,Russia naye hataki NATO mpakani Kwake!
Kama Leo Russia akiingia makubaliano na Cuba Ili akaweke military base pale,US atafanya hiki hiki anachokifanya Russia Kwa Ukraine!
Na utabet sana tuHiko cheti ya uanasheria I bet ulidesa. Uko mtupu sana.