Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa sababu Kuna Mataifa yenye nguvu kabisa duniani na maamuzi yao hayaingiliwi na Taifa linguine lolote(Total sovereignty)

Kama Marekani(USA), CHINA, RUSSIA , UINGEREZA.

Halafu Kuna vitaifa ambavyo ni Vassal state;

1)Mataifa yote yaliyopo kwenye muungano wa Nato, ambayo first command wao ni USA, second command wao ni Uingereza.

2)Mataifa yote yaliyopo kwenye kwenye Jumuiya ya Ulaya.
Wenye sauti ni Ujerumani na Ufaransa,
Bahati mbaya hapa Mataifa viongozi nayo yapo under influence ya USA, kutokana na NATO.

3)New emerging military cooperation AUKUS ambayo ni USA, UK, AUSTRALIA

4) Mataifa yenye Kambi za jeshi za kigeni hasa kutoka USA:
Japan, South Korea, Taiwan, Thailand, Kenya, Djibout, Senegal,Panama, Costa Ujerumani.

5)Mataifa yaliyopo kwenye Muungano wa CSTO unaongozwa na Urusi.
Kazakhstan, Armenia, Tajikistan, Uzbekistan, Belarus.

6)Non allignment Movement (NAM)
Mataifa yote yanayojifanya hayajachagua upande Tanzania tukiwemo, kiongozi wa hapa ni India, haya ndiyo Mataifa yanayoongozwa kwa unafiki duniani baada ya Mmarekani.

7)ASEAN COUNTRIES
Kuimarika kwa Uchina Kiuchumi na Kijeshi kunafanya kundi hili kuongozwa na Mchina na mwenyewe ndio mwenye sauti pamoja huyu anatumia zaidi mbinu ya kibiashara.

Hivyo ni kweli Kuna Taifa baba ,Mama, shangazi, mjomba,binamu, mpwa na jirani
Yote inaletwa na itikadi pamoja na masuala ya maslahi ya kitaifa iwe uchumi au ulinzi.
Kuikosa Israel kumefanya nikutilie mashaka kidogo..
 
Jamani kwa mtazamo wangu nikiwa Kama mchambuzi wa kujitegemea wa hii Vita toka Siku ya kwanza inaanza,toka malengo ya Siku tatu iwe imeisha na Sasa tunaelekea mwezi wa tatu,itoshe tu kusema Russia Mambo yamemwendea ndivyo sivyo,niwape pole wanarussia wote mliokuwa na mapenzi mema na Putin,mlijitolea kumsifu kwa mapambio Ila kawaangusha naona Sasa mmebaki kusifu missile na mabomu mengine ya mchongo....Poleni warusi wote wa nangurukuru
Ila Russia hakutangaza hii operation itaweza kuchukua siku tatu.Bali walichoweka wazi ni malengo ya operation,na hatua ya kwanza walishafanikiwa tayari kinachofuata ni second phase ya operation.
 
Ila Russia hakutangaza hii operation itaweza kuchukua siku tatu.Bali walichoweka wazi ni malengo ya operation,na hatua ya kwanza walishafanikiwa tayari kinachofuata ni second phase ya operation.
Mmeshabadilisha haikuwa siku tatu tena?
 
Mkuu ilo eneo hakuna anaetaka kulilipua! Maagizo ya Rais Putin kwakuwa umo ndani wamewaweka watu hakuna haja ya kulipua nyie mzingire ilo eneo lote ila hakikishe. Hakuna anaetoroka.

Lengo nini? Mle ndani kuna maiti, kuna raia, wa majeruhi na wanajeshi walio fiti ila mwisho wa siku wataitaji maji, wataitaji chakula maana wataishiwa na dawa pia kwajili ya matitlbabu ya wenzao hivo watajisalimisha tu wenye na harufu za maiti zikiwakera.

Sent using Jamii Forums mobile app
nafikir lengo ni kujipatia infornation
mana wale ka wakisarenda interogation yake sio ya kitoto na mule inasemekana kuna mageneral wakubwa wale watatoa msaada kwa kutumia njia za kuulizwa maswal zilizoboreshwa nao watajibu vizuri tu bila shida.watatoa taarifa muhim na nyeti
 
[emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220425-090242_Twitter.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Leta hoja acha panici je Marekani hategemei mafuta ya Urusi Kama unavyo sema?
Au Marekani na Uingeleza hawajapiga marufuku ya Urusi lakini bado wanazidi kuyaagiza?
 
Kwa sababu Kuna Mataifa yenye nguvu kabisa duniani na maamuzi yao hayaingiliwi na Taifa linguine lolote(Total sovereignty)

Kama Marekani(USA), CHINA, RUSSIA , UINGEREZA.

Halafu Kuna vitaifa ambavyo ni Vassal state;

1)Mataifa yote yaliyopo kwenye muungano wa Nato, ambayo first command wao ni USA, second command wao ni Uingereza.

2)Mataifa yote yaliyopo kwenye kwenye Jumuiya ya Ulaya.
Wenye sauti ni Ujerumani na Ufaransa,
Bahati mbaya hapa Mataifa viongozi nayo yapo under influence ya USA, kutokana na NATO.

3)New emerging military cooperation AUKUS ambayo ni USA, UK, AUSTRALIA

4) Mataifa yenye Kambi za jeshi za kigeni hasa kutoka USA:
Japan, South Korea, Taiwan, Thailand, Kenya, Djibout, Senegal,Panama, Costa Ujerumani.

5)Mataifa yaliyopo kwenye Muungano wa CSTO unaongozwa na Urusi.
Kazakhstan, Armenia, Tajikistan, Uzbekistan, Belarus.

6)Non allignment Movement (NAM)
Mataifa yote yanayojifanya hayajachagua upande Tanzania tukiwemo, kiongozi wa hapa ni India, haya ndiyo Mataifa yanayoongozwa kwa unafiki duniani baada ya Mmarekani.

7)ASEAN COUNTRIES
Kuimarika kwa Uchina Kiuchumi na Kijeshi kunafanya kundi hili kuongozwa na Mchina na mwenyewe ndio mwenye sauti pamoja huyu anatumia zaidi mbinu ya kibiashara.

Hivyo ni kweli Kuna Taifa baba ,Mama, shangazi, mjomba,binamu, mpwa na jirani
Yote inaletwa na itikadi pamoja na masuala ya maslahi ya kitaifa iwe uchumi au ulinzi.
Big brain
 
nafikir lengo ni kujipatia infornation
mana wale ka wakisarenda interogation yake sio ya kitoto na mule inasemekana kuna mageneral wakubwa wale watatoa msaada kwa kutumia njia za kuulizwa maswal zilizoboreshwa nao watajibu vizuri tu bila shida.watatoa taarifa muhim na nyeti
Kuna Lt Gen. Mmoja wa jeshi la Canada "ali-resign" akaenda huko Ukraine inasemekana nae amenasa huko chini kiwandani.
 
UONGO MTUPU
Mahaba yako kwa Putin hadi unatengeneza takwimu za kubumba.
Ulipata wapai taarifa asilimia 90 ya silaha za Tanzania zinatoka Urusi??
Ww nipe takwimu sahihi silaha tunanunua wapi?
Usipo nunua silaha Urusi ununue wapi?

Nchi masikini ndio waagizaji wakubwa wa silaha za Urusi maana zina gharama nafuu na ni rahisi kuzitunza na kuziendesha, china tuna nunua lakini ni mara chacha mno maana silaha zao hazina ubora na zinaharibika hovyo hovyo.

Silaha tunazo nunua kwenye nchi za magharibi ni zile ndogondogo ambazo haziitaji matengenezo ya mara kwa mara kama risasi, bunduki lakini silaha kubwa kubwa zina toka Urusi au china na kama kuna zingine za kimagharibi basi ni chache sana.
Hata kwenye sherehe za uhuru ambapo maonesho ya kijeshi huwa yana fanyika vifaru vyote na mifumo ya ulinzi yote , magari yote ni yale yaliyo tengenezwa nchi Urusi.

Silaha za kimagharibi ni gharama sana nchi kama Tz haina uwezo wa kuzinunua au kuzitunza, kenya yenyewe inayo jifanya wakala wa mabeberu E.Afrika bado silaha zake nyingi inanua Urusi.
 
⚡️Oil storage depot in Russia’s city of Bryansk catches fire.

A large fire was reported early on April 25 at an oil storage facility in Bryansk, Russian news agencies reported, citing the emergency services ministry. There are no further details at the moment.
 
Back
Top Bottom