Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Hahaha.Bwana Tsh ...naona unamzodoa bibie NYAMIZI
.......[emoji3][emoji3][emoji3]unachosema ni kweli kabisa western allies wanajua kutumia media na media kwao ni silaha kubwa na mwanzoni iliwatoa kidedea ila kwa sasa imefeli .....ukweli mbele daima [emoji23][emoji23]
Hatuwezi kusema imefeli mpaka Urusi atakapokamilisha jambo lake. Huenda kinachoendelea sasa ndicho wao wanachotaka.
Huwa nasikiliza Urusi anaongea nini ili nifahamu status ya wanachokifanya sababu ni ngumu kidogo kuwaelewa US, na kwa sasa nachosikia kutoka kwa URUSI ni tishio kutokea ww3 na matumizi ya nuclear.
Wiki mbili ziliyopita waliyokuwa wanayasema yalikuwa na viashiria vyote vya kumaliza hili jambo na kushinda, ila wiki hii naona wanazungumzia ww3 na kukumbushia nuclear. Hii ina tafsiri tofauti na last week.