Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ingawa mimi siyo mshabiki humu wa haya mambo yenu lakini ukweli ni kwamba Urusi walifanya calculation mbovu sana kwenye hii vita.

Kiev likikuwa ni kaburi la vifaru vya Urusi na hakuna hata mwanajeshi mmoja angepona wangebaki kung'aang'ania kuiteka Kyiev.

Kwa jinsi vifaru vya Urusi vilivyoteketezwa aisee vita ya kisasa si ya kutegemea vifaru tena.

Wajamaa wanapenda kutumia miguvu bila akili.
Wanaamini kwenye wingi na nguvu kubwa.

Mrusi bado ana akili ya kijamaa ndio vita yake huwa ni jihad kama timu ya mpira wa miguu inayotegema kushambulia kwa pamoja na kudefence kwa pamoja....
 
Polish wanyimwe kabisa milele
Walishajiandaa vizuri sana na walijua Russia wanaweza kuwakatia Supply ya Gas. Ukiona mtu anayekula kwako anakufanyia Kiburi basi ujue anauhakika kupata kwa mwingine. Katika mgogoro huu ukichunguza utaona kati ya members wote wa NATO ni POLAND aliye kimbelembele sana
 
Putin alitakiwa aingie Kiev ,achukue control,bila hivyo atashuhudia maeneo kadhaa kulipuliwa .na hata Kama ataweka system Kali za kiulinzi haitatosha ,akumbuke more than 30 nation's Wana mdonate Ukraine ,military tactics plus weapons. alitakiwa atume mvua ya vitu vizito pale Kiev.
 
Walishajiandaa vizuri sana na walijua Russia wanaweza kuwakatia Supply ya Gas. Ukiona mtu anayekula kwako anakufanyia Kiburi basi ujue anauhakika kupata kwa mwingine. Katika mgogoro huu ukichunguza utaona kati ya members wote wa NATO ni POLAND aliye kimbelembele sana

Kihelehele cha Poland ni chakujipendekeza mbele ya US inaonesha kabisa uchawa. Angekua na mbadala wa gas angekua alishakata muda hizo ni siasa tu za EU ukweli kupata mbadala sio leo wala kesho.

Germany ameshasema ukweli bila energy ya Russia kwake hawezi anaitegemea sana. Kama lengo ilikua ni kudhoofisha uchum wa Russia wamefeli asee imekua pigo kwao.
 
Walishajiandaa vizuri sana na walijua Russia wanaweza kuwakatia Supply ya Gas. Ukiona mtu anayekula kwako anakufanyia Kiburi basi ujue anauhakika kupata kwa mwingine. Katika mgogoro huu ukichunguza utaona kati ya members wote wa NATO ni POLAND aliye kimbelembele sana
Una uhakika walijiandaa? Acha tusubiri [emoji3]
 
Hebu tuambie wanatumia nini mbadala wa gesi ya urusi. Yawezekana mwenzetu unazo za ndaaani kabisa kutoka warsaw, Poland
 
Una uhakika walijiandaa? Acha tusubiri [emoji3]
Kwa hili Vladimir amepigwa tatu bila,Poland wamejiandaa siku nyingi.

Following the news, Poland's climate ministry said the country's energy supplies were secure.
Climate Minister Anna Moskwa said there was no need to draw gas from reserves and gas to customers would not be cut.
Poland's Deputy Foreign Minister, Marcin Przydacz, said his country had been preparing for the possibility Russia might limit gas exports by diversifying its supplies.
"I'm pretty sure that we will manage to handle this," he told the BBC.
He added that the suspension proved Moscow was "not a reliable partner in any kind of business" and urged other European nations like Germany to support a ban on Russian energy imports.
Poland was already planning to stop importing Russian gas by the end of the year, when its long-term supply contract with Gazprom expires.
PGNiG said its underground gas storage was almost 80% full and, with summer approaching, demand was lower.

Poland also has alternative supply sources, including a liquefied natural gas (LNG) terminal in Swinoujscie.
On 1 May, a new gas pipeline connection with Lithuania is also due to open that will give Poland access to gas from Lithuania's LNG terminal.
And a new pipeline delivering gas from Norway, known as the "Baltic Pipe", comes online in October. It should reach full capacity by the end of the year and could replace all Russian deliveries.
 
That is good move. Ila wawe wanatimiza wanachosema kata kata
 
Urusi hawajaacha ile tabia ya kutembea kama msafara wa arusi ,shambulio la Jana limewakost sana.
According to the group's commanders, Ukraine on Tuesday destroyed:

  • 9 tanks
  • 11 artillery systems
  • 4 units of special equipment
  • 14 units of armoured vehicles
  • 3 combat armoured vehicles
  • 3 units of special engineering equipment
  • 16 cars
  • 4 fuel tanks
  • one anti-aircraft gun
Ila hii vita by next week ,itakua mbaya sana ,tuombe kuwepo na makubaliano tuu ya amani,
Wazungu wa uingereza wapo kazini
 
namuonea huruma sana UK na kiherehere chake cha kuwapatia Ukraine siraha za kisasa
 
[emoji16]. [emoji897]
Screenshot_20220427-102944_1.jpg
 
Back
Top Bottom