Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ogopa mtu anayelia huku anapigana alikushika suruali haachii hata kurusha makofi na ngumu na vichwa haachii hadi ahakikishe umedondoka chini akungat'e na meno sehemu za uume kama mwanaume na kuukatilia mbali kwa meno

Putin analo
Hivi ndivyo unavyopigana?

Kushikilia suruali ya mtu, kuung'ata uume na kuukatilia mbali?

Usifanye hivyo bro
 
Basi wewe mgeni humu
Hukupata taarifa kuna hata wazamiaji walitua Tel aviv wakijifanya wayahudi?
Lete hiyo taarifa mkuu basi kama unayo,mimi sijaisikia.
Mkuu Ukraine wapo Warusi takribani millioni 12.Ninachojua ni kwamba wapo ambao kweli wameondoka,lakini si wote.Nikutaarifu tu kwamba mauaji ya Warusi ilianza hata kabla hii operation maalum ya ku-denazify Ukraine haijaanza.
 
Kuhusu ghala la mafuta walisema ni ajali ya moto. Najua hata hili watatolea kisingizio
Ha ha ha Putin kituko

Kila siku kikilipuka kitu anasema ajali ya moto na wafuasi wa Putin humu ukiwasoma wengi unakuta haraka haraka wanaunga mkono kuwa kweli ajali ya moto!!..

Moto huwa hauanzi tu huanzishwa au na kibiriti au sigara au kombora nk hawaombi kuelezwa kilichowasha huo moto ni nini?

Mtoa tangazo mwenyewe akitangaza kuwa ni ajali ya moto unamkuta anataka jasho na kujifuta na kitambaa usoni huku akilisoma hilo tamko kwenye karatasi huku anatetemeka mikono yote miwili aliyoshika karatasi lenye tamko

Hivi kutangaza kuwa ni ajali ya moto maneno matatu "AJALI YAz MOTO" unahitaji kusoma kwenye karatasi?

Body language ya msomaji ukiangalia unajua sio ajali ya moto dude kombora la Ukraine limefanya yake!
 
Back
Top Bottom