Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia walikosea sana walivyoondoka kiev
Ingawa mimi siyo mshabiki humu wa haya mambo yenu lakini ukweli ni kwamba Urusi walifanya calculation mbovu sana kwenye hii vita.

Kiev likikuwa ni kaburi la vifaru vya Urusi na hakuna hata mwanajeshi mmoja angepona wangebaki kung'aang'ania kuiteka Kyiev.

Kwa jinsi vifaru vya Urusi vilivyoteketezwa aisee vita ya kisasa si ya kutegemea vifaru tena.
 
Wamuache huyu Putin wasimshike shike Sharubu, Ukraine waendelee kujihami...Kumshambulia kwenye ardhi yake ni kumprovoke na retaliation inaweza kuwa na impact mbaya, Huyu jamaa bado ana akili ya kijamaa.
"...huyu jamaa bado ana akili ya kijamaa..." naona wanamshika sharubu jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Urusi hawajaacha ile tabia ya kutembea kama msafara wa arusi ,shambulio la Jana limewakost sana.
According to the group's commanders, Ukraine on Tuesday destroyed:

  • 9 tanks
  • 11 artillery systems
  • 4 units of special equipment
  • 14 units of armoured vehicles
  • 3 combat armoured vehicles
  • 3 units of special engineering equipment
  • 16 cars
  • 4 fuel tanks
  • one anti-aircraft gun
Ila hii vita by next week ,itakua mbaya sana ,tuombe kuwepo na makubaliano tuu ya amani,
Ndio vita muraaa
 
Kwakweli maamuz haya yalichelewa Sana,
Hawa wapumbavu ndo wamekua daraja la wamagharibi wote kuisaidia Ukraine
emoji3525.png
Hii vita ya ajabu sana yaani adui yako anakutegemea kwa kitu fulani ha haa.
 
Russia walikosea sana walivyoondoka kiev
Ulitaka wafe? Kule Maji mazito ilikuwa... kwanza nbali... wanajeshi walikosa misaada hadi wengine wakaacha kupigana maana risasi walibakiza za kujihami tu waliogopa na pia walikuwa wanavamiwa kwa kustukizwa... wakatawanyika so kila kundi changanyikiwa hawakuelewana na kila masasiliano waliyokuwa wakifanya yalinaswa yote... wakaona washaloose bora wasepe wajiunge kimakundi upya.
 
Wayahudi husaidiana

Wanaenda kumsaidia myahudi mwenzao Zelensnkyy na wayahudi wa Ukraine wanaouawa na Putin.
Yehoyadaya,wewe hiyo title ya thread umeipata wapi,Mimi nimeandika,

"Israeli Troops Arrive in Ukraine to FIGHT RRUSSIA,"wewe uliyo-quote inasomeka,"Israeli Troops Arrive in Ukraine to 26 APRIL 2022," which is wrong,imekuaje?​

 
Lete hiyo taarifa mkuu basi kama unayo,mimi sijaisikia.
Mkuu Ukraine wapo Warusi takribani millioni 12.Ninachojua ni kwamba wapo ambao kweli wameondoka,lakini si wote.Nikutaarifu tu kwamba mauaji ya Warusi ilianza hata kabla hii operation maalum ya ku-denazify Ukraine haijaanza.
Swali lilikuwa ni Jews
 
K

Kaenda kuhesabu au amekusia tu
Mzalau mwiba guu huota tende! kama mrusi anaweza afanye kama Nabii Daudi![emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116]
1 Samweli 18
25 Naye Sauli akasema, Mwambieni Daudi hivi, Mfalme hataki mahari yo yote, ila anataka govi mia za Wafilisti, ili ajilipize kisasi adui za mfalme. Basi Sauli alidhani kumwangamiza Daudi kwa mkono wa Wafilisti.

27 basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo inatafutwa justification Urusi kumalizana kabisa na Ukraine , nakazia tena KUMALIZANA KABISA. Inawezekana kabisa ni Inside job
 
Back
Top Bottom