Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kumekuchaaa humu ndani [emoji3][emoji3]........wacha nipitie coments kwanza ...........alalfu naona UZI umevamiwa kwa kasi ya 5 G [emoji849][emoji849][emoji849] naona kuna tatizo sehemu wacha niendelee kupitia coments...
 
Vifaru vimepigwa na ammunition godown imelipiliwa juzi mafuta depot inewaka
 
.
Screenshot_20220427-121513.jpg
Screenshot_20220427-121408.jpg
 
Vifaru haviendi kama Russia walivyotaka tuamini ndio maana kuna mtazamo wa kusema vifaru vimepoteza maana. Infantry support, air cover, scout na tactics walikuwa poor. Mvamizi wa modern army akikuletea vifaru anatanguliza air cover kwahiyo ndoto za kumpiga kutokea angani unapunguza, anaongeza patrol kabla havijafika kuna dedicated vehicles zinasoma all radio waves, radar emitters, GPS devices na kutambua uwepo wa mtu almost ndani ya 5km na kupeleka taarifa hizo kwa tactical brigade commander ambaye anaamua wafanye neutralisation kabla ya kuleta armoured column.

After that wanaleta mine clearing vehicles zinatangulia mbele na kufanya clearance ya landmines ardhini na kuacha njia ambayo vifaru vitapita na infantry support. With that, chances za kusema vifaru ndani ya jeshi havina umuhimu ni ndogo. Hapo hatujagusia tank design ya Russia ambayo ni mbovu sana inafanya viwe na cookoff.

Hiyo ni scenario ila inategemea kuwa contested kwenye air dominance, artillery precision, guidance & range, communication, command & control, etc. Sasa Urusi alikuja kama anapiga Boko Haram na vile ashawaita neo-Nazis kawadogosha.

Vita ya mjini huwa ngumu zaidi kuliko ya porini ndio maana Russia watajishikiza na gains za Eastern, huku Kyiv bado hakuendeki kwa sasa. Russia on paper ana silaha nzuri ila number matters. Bado training ni muhimu mno, na nchi isiyo na audit kali kwenye jeshi haiaminiki hela zinazotengwa hufanya kinachostahili
Hii umegoogle lini mkuu??
 
Rekodi za Putin katika mtandao wa Kremlin zinaonyesha wakati huo alikua akisoma katika chuo kikuu cha Leningrad mpaka 1975 alipomaliza.
Labda alikuwa Field Practical ya masomo yake hapa nchini wakati huo. Au shule aliyosoma haikuwa na field practical!? Kuwa Mkuu wa KGB wakati fulani ninadhani kunaongeza nguvu ya yeye, Putin kuwepo kwenye picha uliyoambatanisha.
 
Vifaru haviendi kama Russia walivyotaka tuamini ndio maana kuna mtazamo wa kusema vifaru vimepoteza maana. Infantry support, air cover, scout na tactics walikuwa poor. Mvamizi wa modern army akikuletea vifaru anatanguliza air cover kwahiyo ndoto za kumpiga kutokea angani unapunguza, anaongeza patrol kabla havijafika kuna dedicated vehicles zinasoma all radio waves, radar emitters, GPS devices na kutambua uwepo wa mtu almost ndani ya 5km na kupeleka taarifa hizo kwa tactical brigade commander ambaye anaamua wafanye neutralisation kabla ya kuleta armoured column.

After that wanaleta mine clearing vehicles zinatangulia mbele na kufanya clearance ya landmines ardhini na kuacha njia ambayo vifaru vitapita na infantry support. With that, chances za kusema vifaru ndani ya jeshi havina umuhimu ni ndogo. Hapo hatujagusia tank design ya Russia ambayo ni mbovu sana inafanya viwe na cookoff.

Hiyo ni scenario ila inategemea kuwa contested kwenye air dominance, artillery precision, guidance & range, communication, command & control, etc. Sasa Urusi alikuja kama anapiga Boko Haram na vile ashawaita neo-Nazis kawadogosha.

Vita ya mjini huwa ngumu zaidi kuliko ya porini ndio maana Russia watajishikiza na gains za Eastern, huku Kyiv bado hakuendeki kwa sasa. Russia on paper ana silaha nzuri ila number matters. Bado training ni muhimu mno, na nchi isiyo na audit kali kwenye jeshi haiaminiki hela zinazotengwa hufanya kinachostahili
Says a Man from TZ.
 
Russian missiles 'destroy hangar containing European and US weapons'​

Russian missiles have struck an arms depot housing weapons from the United States and European countries, Moscow has claimed.
The Russian defence ministry said its Kalibr missiles destroyed hangars in the Zaporizhzhia region which contained "a large batch of foreign weapons and ammunition supplied to Ukrainian troops by the United States and European countries".
Yesterday, Russia accused the West of "pouring oil on the fire" with weapons deliveries fuelling the nine-week-old conflict.
The United States and NATO have ruled out sending their own forces to Ukraine, but Washington and its European allies have supplied large quantities of weapons to Kyiv, including drones and anti-aircraft and anti-tank missiles.

https://news.sky.com/story/ukraine-...r-years-12541713?postid=3790933#liveblog-body
 
Russia inapinga sana hili jambo la NATO kupeleka silaha Ukraine na kuwapa mafunzo.

Russia imeongea mara kwa mara, Russia imetoa onyo lakini NATO hawasikii.
Russia imesema zaidi ya mara moja kwamba kuna uwezekano kukawa na matumizi ya nuclear na wwIII kutokea any time kama NATO wakiendelea, jamani tusibeze hili, inaelekea kuna mtu atapigwa na kitu kizito kichwani aje alete fujo, Russia akili zao wanazijua wenyewe.
 
Kumekuchaaa humu ndani [emoji3][emoji3]........wacha nipitie coments kwanza ...........alalfu naona UZI umevamiwa kwa kasi ya 5 G [emoji849][emoji849][emoji849] naona kuna tatizo sehemu wacha niendelee kupitia coments...
Hata mie nawaona washarud mafichoni
 
Back
Top Bottom