NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Russia has announced its intention to withdraw from the UN World Tourism Organization, the UNWTO said.
Wote wataumia, mmoja atakosa pesa, mmoja atakosa gesi na mafutaAtakayeumia baada ya hayo ni Urusi au Ulaya ?
Yale mapipa yao ya S400 hayako activated au yanalinda Kremlin tuUrusi watasema ajali ya moto baada ya jiko la mchina kulipuka.
Chief, nilijua utakuwa umeupuuzia kabisa huu uzi. Kumbe ulikuwa unasoma michango ya wadau kimyakimya!? Karibu tena aisee, usikimbie tena, uwepo wako ndio uchangamfu wa huu uzi.Niliamua kukaa kando na huu Uzi lakini kuna propaganda imeenezwa ambayo siwezi vumilia
Ukraine kama utani kamilikishwa Silaha za NATOHii vita sasa imefikia pabaya !!!
View attachment 2202183
![]()
Ukraine war: Russia accuses UK of provoking attacks on its territory
Russia also says Nato is conducting a proxy war, while UK says strikes using Western weapons are legitimate.www.bbc.com
HakikaNchi za magharibi na hasa USA ni waoga Sana....wanaogopa Vita vya nyuklia ambapo kutakuwa hakuna mshindi isipokuwa the death of capitalism as the world's leading economic system and hence the death of the New World Order (NWO)
Na bado hawa tutawakata upepo ndani ya huu mweziKwa hapa JF tayari tulishashinda vita sisi Warussi lakini kwenye uwanja wenyewe wa mapambano mambo yamekuwa si mambo,hali ni tete pamoja na ile mikwara yetu ya OP ya masaa 72 tu
Wakati huo Putin akiwa chuo kikuu hakua amejiunga na KGB kwahio ni ngumu sana kwa mwanafunzi wa miaka 21 kuja Africa kutoa mafunzo ya kijeshi ilhali hajawai kushika bunduki.Labda alikuwa Field Practical ya masomo yake hapa nchini wakati huo. Au shule aliyosoma haikuwa na field practical!? Kuwa Mkuu wa KGB wakati fulani ninadhani kunaongeza nguvu ya yeye, Putin kuwepo kwenye picha uliyoambatanisha.
Unajikomoa wenyewe 👇EU will need to find ways to reorganize peaceful relations with Russia - Borrell
The attitude changes when the money gets threatened. Turn off the gas and watch the world turn on Ukraine (western world)
Una uhakika kwa umri huo alikuwa hajawahi kushika bunduki? Pia Je. Kama alikuja kujifunza uzoefu wa kufanya mafunzo kwa maafisa wa jeshi la Urusi itakuwa si sahihi pia? Halafu 21 years ni mtu nzima huyo. Sisi vijana wetu tunawapeleka JKT wakiwa na umri gani?Wakati huo Putin akiwa chuo kikuu hakua amejiunga na KGB kwahio ni ngumu sana kwa mwanafunzi wa miaka 21 kuja Africa kutoa mafunzo ya kijeshi ilhali hajawai kushika bunduki.
Africa imejaa ardhi tele hiyo famine inatoka wapi?Europe is unlikely to survive the influx of tens of millions of migrants from Africa and the Middle East who will flee the famine caused by anti-Russian sanctions, said Nikolai Patrushev.
“In order to survive, they will rush to Europe. I'm not sure that Europe will survive the crisis. Political institutions, supranational associations, economy, culture, traditions can become a thing of the past,” he saidView attachment 2202251
NATO wako wapi wakamstopishe ama wanamuogopa !!!??Tayari ameshaelekea huko kwa vamizi zake na mauaji aliyofanya Chechnya, Georgia, Ukraine na destabilisation anayofanya Moldova sasa.
Ajiunge na Russia au ajitie EU/NATO kabisa.Bulgarian President Rumen Radev opposed arms supplies to Ukraine.View attachment 2202265
[emoji4][emoji4][emoji4]Mwqmba PUTIN katukumbuka huko ....ila MAMA yuko huko sijui anazo hizi taarifa ....[emoji849][emoji849]View attachment 2201871