Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Neno langu au maoni yangu sio sheria cc mie natoa maoni na mtazamo wangu kupitia hali ya mamboSasa wewe uko Mombasa kama ulivyosema na una guts za kuwapangia Sweden,umenikumbusha na aliyekuwa na matokeo ya Uchaguzi wa France kuwa mpinzani wa Macron lazima atashinda kwa kuwa ana sera zinazoendana na Putin
Ila siioni FINI na SWED wakijiunga na NATO ila tuupe muda nafasi yake hua haudanganyi huu