Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,546
- 4,327
HujielewiSasa Russia unakwenda kununua nini mbali ya gesi na mafuta,nini cha maana kingine anacho au ni Vodka[emoji4]
HujielewiSasa Russia unakwenda kununua nini mbali ya gesi na mafuta,nini cha maana kingine anacho au ni Vodka[emoji4]
Balance ya issues zinabadilika kulingana na mazingira,kama EU wameweza kupunguza utegemezi kwa Russia,Urusi naye anaweza kutafuta masoko mapya kwa products zao.Hivi bado unawaonaga hawa wa Russia wako sawa, Hao wachina na Wahindi Russia sio trading partner...
Russia haipo hata top 20 ya India top trading partner, China pekee anatrade only 80USD Billions na Russia wakati China na USA pekee trading kati yao ni 600 USD Billions.
Ataku PUT IN mpaka wewe POPOMA... Blalshit ...Kama Putin yaani Put in
Tunapiga mule mule kwenye mshono!Ujerumani, Austria,Hungary, na Slovakia zasalimu amri kwa Putin, zajiandaa kulipia gesi kwa sarafu ya Russia (ruble).
Kusalimu kwao amri kwaelezwa kuwa ni matokeo chanya ya jitihada za Russia kutumia gesi yake kuwachapa mikwaju mabebeu wa Ulaya, na pia kunaonesha udhaifu wa EU kuwa hawawezi kudumisha muungano wao dhidi ya Russia
View attachment 2203819
Did you know why Russia hakutafuta Makoloni Africa?Balance ya issues zinabadilika kulingana na mazingira,kama EU wameweza kupunguza utegemezi kwa Russia,Urusi naye anaweza kutafuta masoko mapya kwa products zao.
Ukubwa wa kiwanda hicho unaujuaudongo wanao chimba watakula auu
😂🤣😁😀 ThanksNimesoma Mkuu,nimeokota mawili matatu japokuwa bado tatizo liko pale pale kila mtu anacomment akiwa biased kutegemea na upande anaouamini katika hii vita.
Ndege hiyo itatua wapi wakati viwanja vyote vimebomolewa...na hata reli nazo katibu zote zimemalizwa...silaha hupishiwa Poland na halafu kwenda huko Ukraine kwa magari na kwa kuviziaUS anapeleka vifaa kwa Ndege yake ya C17 Globe trotter, maana reli zimeharibiwa, sasa Urusi alipue ndege tuone kama hakija waka.
Putin anapenda tishia
Russia population n 145Hivi bado unawaonaga hawa wa Russia wako sawa, Hao wachina na Wahindi Russia sio trading partner...
Russia haipo hata top 20 ya India top trading partner, China pekee anatrade only 80USD Billions na Russia wakati China na USA pekee trading kati yao ni 600 USD Billions.
Mmmmh
(CNN)Russian tanks with their tops blown off are just the latest sign that Russia's invasion of Ukraine isn't going to plan.
Hundreds of Russian tanks are thought to have been destroyed since Moscow launched its offensive, with British Defense Secretary Ben Wallace on Monday estimating it had lost as many as 580.
But Moscow's problems go beyond the sheer number of tanks it has lost. Experts say battlefield images show Russian tanks are suffering from a defect that Western militaries have known about for decades and refer to as the "jack-in-the-box effect." Moscow, they say, should have seen the problem coming.
Ujerumani, Austria,Hungary, na Slovakia zasalimu amri kwa Putin, zajiandaa kulipia gesi kwa sarafu ya Russia (ruble).
Kusalimu kwao amri kwaelezwa kuwa ni matokeo chanya ya jitihada za Russia kutumia gesi yake kuwachapa mikwaju mabebeu wa Ulaya, na pia kunaonesha udhaifu wa EU kuwa hawawezi kudumisha muungano wao dhidi ya Russia
View attachment 2203819
Nilichogundua taarifa za Ukraine Kama hizi na nyingne za nchi ambazo ziko against Russia kwenye huu uzi watu wanapita Kama hawaoni[emoji3]A Ukrainian presidential aide has said the world recognises that his country has the right to defend itself by carrying out attacks on Russian military bases and warehouses.
“Russia has attacked and [is] killing civilians. Ukraine will defend itself in any way, including strikes on the warehouses and bases of the killers. The world recognises this right,” presidential aide Mykhailo Podolyak wrote on Twitter.
Russia wamevamia Ukraine wakaua watoto, ila wao hawataki hata kutupiwa Jiwe, sasa hii vita inabidi iingie ndani ya Russia
Hizo siraha, wanapitishia Poland, USA hawezi peleka ndege Ukraine Russia wako macho wanaziwinda sana kwa makombora yaliyoangusha ndege ya abiria miaka michache ya nyuma, pia uko Poland Russia Wana spy wa kutosha mzigo ukingia tu tayari Russia wanapata habari zote. Makombora yako stand by kuteketeza hizo silaha za USA, UK, German etc. Ukraine wanajimaliza tu kwa ujinga wao. Itachukuwa miaka mingi Sana kuijenga hiyo nchiNdege hiyo itatua wapi wakati viwanja vyote vimebomolewa...na hata reli nazo katibu zote zimemalizwa...silaha hupishiwa Poland na halafu kwenda huko Ukraine kwa magari na kwa kuvizia
US anapeleka vifaa kwa Ndege yake ya C17 Globe trotter, maana reli zimeharibiwa, sasa Urusi alipue ndege tuone kama hakija waka.
Putin anapenda tishia
Labda alitaka iwepo parade ya silaha kama vile N.Korea.Anasahau hayo mambo yako Nchi za kikomunist peke yake
Nilichogundua taarifa za Ukraine Kama hizi na nyingne za nchi ambazo ziko against Russia kwenye huu uzi watu wanapita Kama hawaoni[emoji3]
Najua mwisho wa hii vita warusi wa buza wataumia sana... Dunia ya sasa hivi ukipigwa mtungo huwezi toboa plus wewe ndie mkorofi.. hata kwa ugonjwa tu utakufa ila kushinda asahau