Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Wewe ni shoga ndo maana unapenda kuutaja taja. kitu kinachokuchukiza huwezi kukitaja kila saa. njoo sasa nikutambalizie mkuyenge shoga wewe
Ukiona unaumia bhs wewe ni walewale
Wewe ni shoga ndo maana unapenda kuutaja taja. kitu kinachokuchukiza huwezi kukitaja kila saa. njoo sasa nikutambalizie mkuyenge shoga wewe
Hii ndio taasisi yakwanza kabisa yakipuuzi inayotakiwa kuvunjwa baada ya hii OP halaf hizo nyenginezo EU na NATO zitajivunjikia zenyeweVita vya Ukraine: Makombora yapiga Kyiv, Umoja wa Mataifa wakiri kushindwa
Saa 6 zilizopita
![]()
Makombora yamepiga Kyiv wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mjini humo, ambapo alikosoa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Antonio Guterres amesema baraza hilo limeshindwa kuzuia au kumaliza vita nchini Ukraine.
Hiki kilikuwa "chanzo cha kukatishwa tamaa sana, kufadhaika na hasira," alisema.
"Niseme wazi kabisa: [ilishindwa] kufanya kila kitu katika uwezo wake kuzuia na kumaliza vita hivi,"
Na mie nikazie juu ya mkazo hapo hapo...
Zile WMD alizotumia kama kigezo cha kuivamia Iraqi, Russia kazisheheni za kutosha. Em tizama hayo majiji ya US yageuzwe majivu kama tu ile September Eleven inawapa homa hadi leo na ni miaka zaidi ya 20 imepita na usisahau lile lilikuwa ni shambulio la ndege tu kugonga pale WT centre japo kiukweli hakuna mshindi kwenye Nuclear.
Itizame Europe ilinganishe na Russia, ukizungumza kieneo Eurupe imebanana iko more dense kuliko Russia ambayo iko scattered kulingana na ukubwa wa eneo. Hivo shambulio moja linaleta maafa makubwa na Utaona namna ilivo ngumu tena ngum mno kwao kushambulia kila point ndani ya ardhi ya Russia ukilinganisha wao...
Kibaya zaidi kama usemavyo ndani ya NATO kuna muunganiko wa nchi kama 30 hivi... ila huu wingi wao ni kama mapovu, ukipita upepo yamepotea. That's why hata katika kauli, Utasikia zinatoka US, ikisogea sana UK wengine bendera fata upepo.
It is possible unachokisema champagnee sababu nchi zinaangalia maslahi.Mkuu umefafanua vzr ngoja nijazie kuna kitu US mpaka sasa hajiamini hajui maadui zake hata hao ambao wapo NATO ikianza WW3 wapo watakao mgeuka wengi wapo kimaslahi pale.
Ná Marekani anajua kuwa kuna kundi kubwa halimsapoti, hivi unafikir Japan hakumbuki machungu ya hiroshima?? Anajikaza tu
Kumbuka kuna kundi kubwa la nchi za Asia zitakua pamoja na Russia kuna china, NK, india brazili hao ni moja ya partner wa Russia. WW3 ikitokea Europe ndo watakaoumia zaid manake vita itapigwa hapo Europe.
Sijaelewa hapaThe Bank of Russia said that they see the risks of a significant slowdown in lending activity in the country.
View attachment 2204783
RUSSIA sio ZIMBABWEPutin will attend the G20 summit, which will be held in Bali in November.
This was stated by Indonesian President Joko Widodo, according to Bloomberg.
Earlier, Biden spoke at a press conference in Brussels in favor of excluding Russia from the G20. Other countries did not support him.View attachment 2204793
Nimemshangaa sanaaa kweli mtu hawezi akaificha tabia yake mileleRoot umefikia hapa[emoji848][emoji848] mtu akikuudhi mpotezee. U have a great respext hapa jukwaani. Achana na wajinga.
Narudia tena mpaka hii OP ikiisha tutashuhudia mambo makubwa yakitokea ila kwauchache nayaona hayaCzech yaweweseka kwa kuhofia kukatiwa gesi na Russia...ni baada ya kuona wenzake Poland na Bulgaria wamenyolewa na wembe wa gesi wa Putin
Waziri mkuu wa Czech amesema wamarekani wa JF wanapozungumza kuhusu Putin awakatie tu gesi waCzech, hao wamarekani wa JF hawajui wanachobwabwaja...Waziri mkuu huyo anasema wao waCzech hawataki kurudi kwenye zama za kale za mawe...Waziri huyo ameonya kuwa endapo Russia ikiwakatia tu gesi, basi maisha ya kijamii na shughuli za kibiashara zitaathirika vibaya mno. WaCzech wanategemea gesi ya Putin kwa 98%.
Tulizoea kuona sisi tunaoishi ulimwengu wa tatu tukikatiwa umeme na TANESCO, mwaka huu mambo yamegeuka, hadi mabeberu yanakatiwa gesi...lazima tuheshimiane
View attachment 2204896
View attachment 2204897
Wote mnao toa matusi ni wajinga haijalishi mko upande gani.Ila yeye jamaa kuita watu wengine mashoga kwasababu tu ni wapo kinyume na msssssssenge putin ni sawa. acha mapenzi ya kitoto
Damn!!!! (In Negan's voice)Shoga baba yako na babu aliyemzaa mama yako
Uwo ni ukosefu wa akili.Matusi mnayaanza nyie, mkianza mtajibiwa ipasavyo
Nimesoma katika kozi ya saikolojia eti mtu anaepaswa kumwaga matusi fulani katika topic yoyote, kua uwezekani yeye mwenyewe anaathiriwa na yale anayotukana.Shoga baba yako na babu aliyemzaa mama yako
Russia yupo mmoja tu wao wameungana karibia mataifa matano but wamemshindwa Kwa Russia..Wewe unapata wapi ujasiri wakukataa wakati hao NATO kwakua wamejijua mmoja mmoja hawawezi simama dhidi ya RUSSIA wakaona iundwe kolabo
RUSSIA sio ZIMBABWE
Li NATO mwenzio hilo linaya mimina matusiNimesoma katika kozi ya saikolojia eti mtu anaepaswa kumwaga matusi fulani katika topic yoyote, kua uwezekani yeye mwenyewe anaathiriwa na yale anayotukana.
Kwa hiyo: mtu anayepaswa kuita"shogashoga" katika mambo yasiyo na uhusiano wowote, kuna uwezekano mkubwa yeye anapambana ndani yake na hisia za kishoga lakini kwa sababu alifundishwa ni aibu na kitu kibaya, anajaribu sasa kutumia yale anayosikia ndani yake kama matusi dhidi ya wengine.
Je, Bwana, umeshajitambua?
(tena washoga kuzaa vile jinsi unavyosema, je ni kawaida??)