Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

F-35 mradi wa hovyo atakaebisha na abishe tuuuu
Mpatie hii

Mkuu acha kuhalalisha maovu mungu haijawahi kuumba mtu akiwa shoga bali ni tabia za kujifunza za kishetani tu kama watu wavyo jifunza Uchawi, wizi ,uzinzi.

Ushoga ni uovu na mungu hajahi kuumba mtu akiwa muovu ,mwana damu anapo zaliwa anakuwa msafi bila doa yeyote ile huo uovu huja kujitia mwenyewe baada ya kuzaliwa .

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mkuu humu jf kuna hatari sana!! Angalia alivyojibu kwa utulivu
 
In the sky over Kaliningrad: aviation overflight as part of the rehearsal of the air part of the Victory Parade.
IMG_20220429_194313_264.jpg
IMG_20220429_194330_562.jpg
IMG_20220429_194333_744.jpg
IMG_20220429_194316_962.jpg
IMG_20220429_194321_011.jpg
IMG_20220429_194323_943.jpg
IMG_20220429_194326_907.jpg
 
Kijijini kwetu kuna watu huwa wanakamata nyoka mwenye sumu kali aitwaye Cobra!! Wanafanya hivi:
Wanakuwa wameandaa mabapa ya katani mengi. huwa wanamtupia hayo makatani halafu cobra anayauma! kila mara cobra anapouma katani huwa anamwaga sumu yake na rangi ya katani hubadilika. Inafikia mahali ambapo cobra anapouma katani, hiyo katani haibadiliki rangi. Hiyo ni dalili kuwa cobra ameishiwa na sumu! Hapo ndipo mtu huamua kumkamata cobra na cobra akimwuma linakuwa ni jeraha la kawaida tu maana sumu yote imeisha na kutibu jeraha hilo ni rahisi.
Ndivyo nchi za magharibi zilivyoamua kumfanyia urusi. Wananchi wa ukraine wanatumika kama katani, na silaha zinazoingizwa ukraine zinatumika kama katani za kumtupia cobra ambaye ndiyo urusi. Jana marekani kaidhinisha silaha na msaada wa kiuchumi wa dola bilioni 33!! Ujerumani imeidhinisha silaha nzito za mabilioni ya dola! Hali kadhalika kwa UK! Mrusi akiziharibu wanapeleka zingine!! Akiziharibu na hizo wanapeleka zingine!! Wameamua kuendelea na mzunguko huo kwa muda mrefu inavyowezekana. Ni mpambano wa nchi 33 dhidi ya nchi 1. Kati ya wote hao 33 hakuna anayeweza kuthubutu kupambana binafsi na urusi ana kwa ana!
 
Marekani na NATO kwa ujumla wao wa nchi 30, wameamua kuidhoofisha Urusi kwa kuandaa mazingira ya vita vitakavyochukua miaka mingi!! Iko hivi:
Marekani na washirika wake wanajua kabisa kila wakipeleka silaha ukraine, Urusi ana nafasi ya kuziteketeza lakini anaziteketeza kwa kutumia silaha zake kali. Hizi silaha anazotumia Urusi lazima kuna siku zitaisha!! Wameamua kuendelea kupeleka silaha kwa gharama yoyote hadi urusi iishiwe silaha! Urusi inakabiliwa na maamuzi magumu aidha ya kuiangamiza kabisa ukraine ili isalimu amri kabla hajaishiwa silaha. Lakini kama wakifanikiwa lengo lao, mwisho wa siku ukraine italazimika kulipia gharama ya silaha hizo kwa muda mrefu!
Haya ni mawazo yako na si ya 🇺🇸
 
In total, since the beginning of the special military operation, the following have been destroyed: 142 aircraft, 112 helicopters, 640 unmanned aerial vehicles, 279 anti-aircraft missile systems, 2646 tanks and other armored combat vehicles, 305 installations of multiple launch rocket systems, 1184 field artillery and mortar guns, as well as 2475 units of special military vehicles.
 
Putin kapeleka msiba mzito Marekani...

Majeshi ya Russia yamemdedisha mwanajeshi wa Jeshi la Marekani (US Marine) aliyeenda Ukraine kupigana dhidi ya majeshi ya Russia....kaacha mjane (mke mbichii) na mtoto yatima

Asante sana Putin kwa kupeleka msiba Marekani, kutengeneza mayatima marekani na kuunda wajane marekani...kila mtu ajishindie mechi zake

SmartSelect_20220429-194908_Chrome.jpg
SmartSelect_20220429-194922_Chrome.jpg
 
Putin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.

Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.

Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.

Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Bora kuwe na waamuzi wawili kuliko kuwa na mwamuzi mmoja
 
Watapinga
Kuna watu wanasema RUSSIA cjui kafanya kuzuia kiwango chautoaji pesa ili pesa yake ipande thamani
Nikajiuliza tu kwanini mataifa mengine yasifuate njia alofanya RUSSIA kuipandisha thamani sarafu yake
Ila nikapata jibu kwamba RUSSIA sio wakawaida kama tunavyoambiwa na WAMAGHARIBI
Kwa nini wengine hawafuati mfano wa Urusi? Kwa sababu ni hatari kuchezea thamani ya pesa ambayo ni picha ya nguvu ya uchumi.
Urusi inajaribu kusukuma thamani ya pesa yake juu zaidi , maana wasingechukua hatua walizochukua, rubel ingeshuka kabisa na baadaye hakuna duniani anayetaka kuigusa.
Kwa mbinu wanazotumia (kulazimisha makampuni yao ya gesi/mafuta kupeleka $€ zote benki kuu na kununua rubel, kuzuia $€ zisitolewe nje, kuzuia wawekezaji kuuza hisia na kurudisha pesa nyumbani) , wamefaulu kutetea thamani ya ruble sokoni; ila hii inategemea kabisa mapato ya kuuza gesi/mafuta na mauzo hayo yanazidi kupungua. (itachukua miaka hadi kupata njia mbadala kwa wateja wengine - kama wapo)
Kwa upande mwingine nguvu halisi ya uchumi unazidi kushuka; hawawezi kupata tena vipuli vingi (uzalishaji wa magari katika viwanda vya Urusi ulishuka vikali tangu Machi, ona Russian car market has decreased by 63% in March 2022 | RusAuto.News) , makampuni mengi ya kimagharibi yaliyozalisha magari na mashine yanaondoka.
Urusi inahitaji kutafuta njia mpya za kupata vipuli . Maana kabla ya vita asilimia 40 za bidhaa zilizonunuliwa na Urusi nje zilitoka Eu na Marekani. sehemu kubwa ya bidhaa hizo hazipatikani tena kutokana na vikwazo.

Ona hii
Russia’s main imports are machinery, chemicals, and other manufacturing goods, and that Russia depends on the rest of the world for the supply of many complex products. One factor explaining Russia’s sectoral trade profile and dependency is its poor labour productivity. Russian labour productivity in the industrial sector is 21 percent of US and 36 percent of EU’s labour productivity. In other words, the Russian economy needs five workers to do the job of one US factory worker. chanzo: Russia Import Dependency Problem |

Hata katika sekta ya silaha inayotajwa hapa mara kwa mara, udhaifu wa uchumi wa Urusi unaonekana: wana mahandisi wazuri waliobuni silaha bora (au: zinazoaminiwa kuwa bora maana hazikufika vitani bado) kama kifaru T-14 na ndegevita SU-57 lakini silaha hizo hazikufika kwenye jeshi bado kwa sababu hadi sasa tasnia ilishindwa kuzitengeneza mbali na mashine chache za majaribio na uchumi kwa jumla haikuwa na nguvu kuzalisha mapato ya kutosha kulipa gharama za mitambo hii. Hapo sababu kwamba wala T-14 wala SU-57 haikuonekana bado katika vita hii, na hazitaonekana.
 
Kijijini kwetu kuna watu huwa wanakamata nyoka mwenye sumu kali aitwaye Cobra!! Wanafanya hivi:
Wanakuwa wameandaa mabapa ya katani mengi. huwa wanamtupia hayo makatani halafu cobra anayauma! kila mara cobra anapouma katani huwa anamwaga sumu yake na rangi ya katani hubadilika. Inafikia mahali ambapo cobra anapouma katani, hiyo katani haibadiliki rangi. Hiyo ni dalili kuwa cobra ameishiwa na sumu! Hapo ndipo mtu huamua kumkamata cobra na cobra akimwuma linakuwa ni jeraha la kawaida tu maana sumu yote imeisha na kutibu jeraha hilo ni rahisi.
Ndivyo nchi za magharibi zilivyoamua kumfanyia urusi. Wananchi wa ukraine wanatumika kama katani, na silaha zinazoingizwa ukraine zinatumika kama katani za kumtupia cobra ambaye ndiyo urusi. Jana marekani kaidhinisha silaha na msaada wa kiuchumi wa dola bilioni 33!! Ujerumani imeidhinisha silaha nzito za mabilioni ya dola! Hali kadhalika kwa UK! Mrusi akiziharibu wanapeleka zingine!! Akiziharibu na hizo wanapeleka zingine!! Wameamua kuendelea na mzunguko huo kwa muda mrefu inavyowezekana. Ni mpambano wa nchi 33 dhidi ya nchi 1. Kati ya wote hao 33 hakuna anayeweza kuthubutu kupambana binafsi na urusi ana kwa ana!
Akili ndogo NATO dhidi ya mbabe wao,walikurupuka na vikwazo wameumia wao kaneemeka adui Yao.
Huoni kuwa pande zote silaha na chumi zao zinaisha kwa pamoja?
 
Waziri waulizi wa RUSSIA npaka wiki jana kasema kwamba ndio kwaaanza mpkaka muda huo anasema wametumia 15% ya uwezo wao wauliokua USSR huu wasasa hawajaugusa hata kwa 2%
Halaf wao wanaotuma silaha nao wanatumia pesa MKUU
Hii ishu RUSSIA aliishajiandaa nayo hatakama itadumu miaka kumi
Yaani hapa kuna matokeo ambayo hamtakaa muamini
Mpaka hao 40 wameungana dhidi ya huyu mmoja wamejua kukabiliana nae sio jambo dogo
Hapa ishu jee wataweza!!!??
Tuupe muda nafasi
 
Kwa nini wengine hawafuati mfano wa Urusi? Kwa sababu ni hatari kuchezea thamani ya pesa ambayo ni picha ya nguvu ya uchumi.
Urusi inajaribu kusukuma thamani ya pesa yake juu zaidi , maana wasingechukua hatua walizochukua, rubel ingeshuka kabisa na baadaye hakuna duniani anayetaka kuigusa.
Kwa mbinu wanazotumia (kulazimisha makampuni yao ya gesi/mafuta kupeleka $€ zote benki kuu na kununua rubel, kuzuia $€ zisitolewe nje, kuzuia wawekezaji kuuza hisia na kurudisha pesa nyumbani) , wamefaulu kutetea thamani ya ruble sokoni; ila hii inategemea kabisa mapato ya kuuza gesi/mafuta na mauzo hayo yanazidi kupungua. (itachukua miaka hadi kupata njia mbadala kwa wateja wengine - kama wapo)
Kwa upande mwingine nguvu halisi ya uchumi unazidi kushuka; hawawezi kupata tena vipuli vingi (uzalishaji wa magari katika viwanda vya Urusi ulishuka vikali tangu Machi, ona Russian car market has decreased by 63% in March 2022 | RusAuto.News) , makampuni mengi ya kimagharibi yaliyozalisha magari na mashine yanaondoka.
Urusi inahitaji kutafuta njia mpya za kupata vipuli . Maana kabla ya vita asilimia 40 za bidhaa zilizonunuliwa na Urusi nje zilitoka Eu na Marekani. sehemu kubwa ya bidhaa hizo hazipatikani tena kutokana na vikwazo.

Ona hii
Russia’s main imports are machinery, chemicals, and other manufacturing goods, and that Russia depends on the rest of the world for the supply of many complex products. One factor explaining Russia’s sectoral trade profile and dependency is its poor labour productivity. Russian labour productivity in the industrial sector is 21 percent of US and 36 percent of EU’s labour productivity. In other words, the Russian economy needs five workers to do the job of one US factory worker. chanzo: Russia Import Dependency Problem |

Hata katika sekta ya silaha inayotajwa hapa mara kwa mara, udhaifu wa uchumi wa Urusi unaonekana: wana mahandisi wazuri waliobuni silaha bora (au: zinazoaminiwa kuwa bora maana hazikufika vitani bado) kama kifaru T-14 na ndegevita SU-57 lakini silaha hizo hazikufika kwenye jeshi bado kwa sababu hadi sasa tasnia ilishindwa kuzitengeneza mbali na mashine chache za majaribio na uchumi kwa jumla haikuwa na nguvu kuzalisha mapato ya kutosha kulipa gharama za mitambo hii. Hapo sababu kwamba wala T-14 wala SU-57 haikuonekana bado katika vita hii, na hazitaonekana.
Wahenga walisema MAKUNIWEWE.
 
Shikamoo Ruble...

Leo ruble ya Russia imekuwa na thamani zaidi kuliko hata huko nyuma kabla ya vita vya Ukraine...

1 USD =70 Ruble

Mwezi uliopita mwishoni, Ruble ilishuka thamani mno na kuwa 1 USD = 139 Ruble

Poleni waMarekani wa Tandale, vikwazo vya US+NATO vimefeli, malengo yameshindwa kutimia

SmartSelect_20220429-200438_Chrome.jpg
 
Kwa nini wengine hawafuati mfano wa Urusi? Kwa sababu ni hatari kuchezea thamani ya pesa ambayo ni picha ya nguvu ya uchumi.
Urusi inajaribu kusukuma thamani ya pesa yake juu zaidi , maana wasingechukua hatua walizochukua, rubel ingeshuka kabisa na baadaye hakuna duniani anayetaka kuigusa.
Kwa mbinu wanazotumia (kulazimisha makampuni yao ya gesi/mafuta kupeleka $€ zote benki kuu na kununua rubel, kuzuia $€ zisitolewe nje, kuzuia wawekezaji kuuza hisia na kurudisha pesa nyumbani) , wamefaulu kutetea thamani ya ruble sokoni; ila hii inategemea kabisa mapato ya kuuza gesi/mafuta na mauzo hayo yanazidi kupungua. (itachukua miaka hadi kupata njia mbadala kwa wateja wengine - kama wapo)
Kwa upande mwingine nguvu halisi ya uchumi unazidi kushuka; hawawezi kupata tena vipuli vingi (uzalishaji wa magari katika viwanda vya Urusi ulishuka vikali tangu Machi, ona Russian car market has decreased by 63% in March 2022 | RusAuto.News) , makampuni mengi ya kimagharibi yaliyozalisha magari na mashine yanaondoka.
Urusi inahitaji kutafuta njia mpya za kupata vipuli . Maana kabla ya vita asilimia 40 za bidhaa zilizonunuliwa na Urusi nje zilitoka Eu na Marekani. sehemu kubwa ya bidhaa hizo hazipatikani tena kutokana na vikwazo.

Ona hii
Russia’s main imports are machinery, chemicals, and other manufacturing goods, and that Russia depends on the rest of the world for the supply of many complex products. One factor explaining Russia’s sectoral trade profile and dependency is its poor labour productivity. Russian labour productivity in the industrial sector is 21 percent of US and 36 percent of EU’s labour productivity. In other words, the Russian economy needs five workers to do the job of one US factory worker. chanzo: Russia Import Dependency Problem |

Hata katika sekta ya silaha inayotajwa hapa mara kwa mara, udhaifu wa uchumi wa Urusi unaonekana: wana mahandisi wazuri waliobuni silaha bora (au: zinazoaminiwa kuwa bora maana hazikufika vitani bado) kama kifaru T-14 na ndegevita SU-57 lakini silaha hizo hazikufika kwenye jeshi bado kwa sababu hadi sasa tasnia ilishindwa kuzitengeneza mbali na mashine chache za majaribio na uchumi kwa jumla haikuwa na nguvu kuzalisha mapato ya kutosha kulipa gharama za mitambo hii. Hapo sababu kwamba wala T-14 wala SU-57 haikuonekana bado katika vita hii, na hazitaonekana.
MKUU hua natamani kubishana na wewe ksa hoja
Ila kuna muda hua unaleta mahabba yawazi kabisa mpaka naamua kuangalia tu POST zako
Ila hii sijaisoma ila ntaipitia AHSANTE ila kama wanachezea mbna hakuna sehem nimesikia kuhusu hilo
 
Russia Kalibr hit three electricity substations; Ukraine's rocket & space plant destroyed​

Russian Defence Ministry spokesman Maj. Gen. Igor Konashenkov said that air-based missiles of the Russian Armed Forces destroyed production facilities of the rocket and space industry enterprise "Artyom" near Kyiv. Sea-based missiles destroyed three electricity substations around Ukraine, he added.

__________________
 
Back
Top Bottom