Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Naona wamewapokonya Black Sea yote..Ramani ya leo:
View attachment 2205060
Naona wamewapokonya Black Sea yote..Ramani ya leo:
View attachment 2205060
🤣🤣🤣☝️Bila nyuklia mpaka leo JAPAN isingekua koloni la US
Nyuklia ni silaha kama nyengine au unadhani zilitengenezwa kwaajili ya kuwindia sungura!!!??
Wanaweza tena asubuhi tuKwani hao Ulaya na Marekeani bila nyuklia wanaweza kuishinda Urusi??
Kaka soma kabla ya kujibu! Sijasema mapato yamepungua, nasema mauzo yanapungua. Mvurugo wa vita ulisababisha bei za mafuta & gesi kupanda. Hivyo kwa muda huu Urusi iliongeza mapato kutokana na kupanda kwa bei.Mkuu nakusisitizia kila siku mapato ya nishati ya Urusi hayajapungua bali yameongezeka ila unajifanya huelewi kabisa.View attachment 2205167
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787].....Dadeki, Oyaaa bibingi unaona wafuasi wa Putin walivyo Smart [emoji847][emoji847][emoji847] Unasoma mwisho wa maelezo unaishia kutabasam tu...
Some arguing with facts that are real and reasonable while others arguing bas tu kuonekana wanajadiliana... Full of BS.
Bado, ramani haionyeshi yote. Kherson hadi Odessa bado Ukraine.Naona wamewapokonya Black Sea yote..
we mfia dini umempikia mmeoRaisi Zelensnkyy myahudi nakuaminia
Biblia inatamka wazi Askari mmoja myahudi anakimbia Askari elfu 10 wa adui bila kujali adui ana silaha gani iwe nyukilia au chochote
David kwenye Biblia aliua Goliathi mwenye misilaha kibao wakati yeye alikuwa na manati tu
Zelensnkyy Komaa wewe ni Joshua wa Generatio hii ndio utawaletea ushindi wayahudi walioko Ukraine usiogope mi nyukilia yake huyo Putin pigana kiume mtoto wa kiume
Eeeeh! We jamaa na wewe sijui vipi yaani kwenye fuel cell ya hydrogen wameachana nako sahizi wapo kwenye mabetry na solar energy mambo yangekua raisi wasingienda Morocco kuanika solar panel na parabolic mirror. Hydrogen kutumika kwenye fuel cell ni biashara kichaa kwa sababu energy ya umeme inayo zalisha hydrogen Ni nyingi mno Ni Bora ukahifazi kwenye Betry moja kwa moja. Sasa mabepari wenyewe wameacha nayo wewe unakomaa utapasuka kichwa mwishoWe mtaalamu kabisa! Kumbe hao mabepari wanawekeza katika utafiti na matumizi ya hidrojenai kwa sababu ni kichaa? Jinsi ilivyi kawaida kwa mabepari? Kumbe wewe mtoto wa mafanikio ya ujamaa endelea tu kupiga hesabu. (Ila usisahau_ 1+1=2, si ujamaa)
Huna mchango wowote kwenye hii vita we nenda tu!!Wakuu sintakuepo hewani kwa muda simu imeleta shida so kesho kutwa ndo ntakuepo mtanangeni .........
Maana hii vita tunayopambana humu sii ya kitoto aisee
Mpaka simu imezingua duhh sijui wameipiga na javelina hawa jamaa zetu
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji3][emoji120][emoji120][emoji120] kwa muda wakuu ntarudi
Unatuchosha mwana.Kaka soma kabla ya kujibu! Sijasema mapato yamepungua, nasema mauzo yanapungua. Mvurugo wa vita ulisababisha bei za mafuta & gesi kupanda. Hivyo kwa muda huu Urusi iliongeza mapato kutokana na kupanda kwa bei.
Ila: mauzo yanapungua na mapato yanafuata. Maana bei kabla ya vita ilikuwa wastani $99, ilipanda hadi 126, 25 Aprili ilishuka tena hadi 101.
Wateja wakubwa wa Urusi katika EU ni Ujerumani na Italia. Italia sina data, Ujerumani ilipunguza ununuzi wa gesi ya Urusi tayari kutoka 54% hadi 40% ya mahitahi yake; ununuzi wa mafuta kutoka 35% hadi sasa 12% ya mahitaji yake. EU inapanga kukataza mafuta na makaa kutoka Urusi kabisa katika mwaka huu. Gesi bado, wanakadiria miaka 1-2. China itakuwa tayari kununua zaidi lakini hakuna mabomba ya kutosha. Lazima wajenge kwanza, na swali ni je watachukua kiasi gani?
Wakichukua sina shaka kwa bei za chini zaidi. - kwa hiyo mchezo wa kusukuma thamani ya rubel juu utakuwa vigumu zaidi na zaidi katika miwili inayokuja.
Halafu hadi sasa ROSNEFT (kampuni ya mafuti ya serikali) ilitegema ushirikiano na makampuni ya kimataifa (=ya magharibi) kupanusha uzalishaji wake. Tuone kuondoka kwao itawaathiri kivipi.
Ona hapa:
State oil giant Rosneft, headed by close Putin associate Igor Sechin, is developing the massive Vostok Oil project in the Arctic that was expected to produce and export as much as 2 million bpd by 2030.
Vostok is the biggest oil project to be undertaken in Russia since the fall of the Soviet Union. To finance its development -- which will require tens of billions of dollars -- Rosneft last year sold stakes in the project to foreign global-commodities traders. Rosneft is now likely to struggle with securing financing and technology for Vostok's development as Western firms exit.
Overall, Western oil-field-service companies have orders representing about a quarter of all oil and gas investments in Russia, according to Rystad. "Should those contractors leave the country, it will undoubtedly cause delays and disruptions to ongoing operations," the research firm said. Rystad said Vostok "will be slowed and some Russian projects might be canceled altogether."
Russia could also face problems upgrading its oil refineries due to Western technology sanctions, Dickson said. Russia exports more than 2 million bpd of oil products. CHANZO : Russia's War In Ukraine: The Beginning Of The End Of An Energy Superpower?
Ona kucheza kwa bei ya mafuta: View attachment 2205197
ItOk they were preparing to invade Russia,he he has hit first.
It is NATO Vs Russia,na bado anawakalisha,bravo Rossiya🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺Putin kapeleka msiba mzito Marekani...
Majeshi ya Russia yamemdedisha mwanajeshi wa Jeshi la Marekani (US Marine) aliyeenda Ukraine kupigana dhidi ya majeshi ya Russia....kaacha mjane (mke mbichii) na mtoto yatima
Asante sana Putin kwa kupeleka msiba Marekani, kutengeneza mayatima marekani na kuunda wajane marekani...kila mtu ajishindie mechi zake
View attachment 2205138View attachment 2205137
Unataka ramani akuoneshe nani buda.Bado, ramani haionyeshi yote. Kherson hadi Odessa bado Ukraine.
We jamaa nikwambie tu nuclear Ni project wameanza muda miaka mingi tu iliyopita na mpaka Sasa kuweza kucontrol temperature ya 1 million Kelvin Ni ndoto za abunuasiKuhusu production ya Hydrogen batteries R&D yake imeendelea sana kuliko miaka 5 iliyopita, in theory hydrogen energy can be extracted from Water, This was tried by Google Moonshot project na Baadhi ya US Carriers.
Nakupa mfano wa Kampuni ambazo zimeenza kutengeneza EV zinazotumia Hydrogen cells Studio MOM designs hydrogen-powered LAVO Bike
Kuhusu Nuclear Fusion technology for this, R&D iko mbali kuliko production ya upande wa Hydrogen cells, mfano https://ccfe.ukaea.uk/research/joint-european-torus/ hii ndio kampuni iliyofanikiwa sana Kwa Sasa Kufanya major break through in the field hasa upande wa kucontrol amount of temperature inside the reactors na wameshaunda prototypes..
Na kwa Taarifa Yako this year wanafizikia wa Ulaya na Marekani wamefungua one of World largest particles colliders The Hadron Collider kwa ajili ya kujifunza force ya 5 fizikia, wakati Sisi hata nne tu za sasa kuzitaja ni Shida.
Namalizia wanaotumia Mafuta na Gesi yote Duniani kwa zaidi ya 51% wanatumia Kila njia kuachana Nayo na kuangalia vyanzo mbadala, so kwa upande wa Russia in practical ili aendelee kupigana vita kwa muda mrefu lazima Ulaya waendelee kununua Mafuta na Gesi yake
We jamaa nikwambie tu nuclear Ni project wameanza muda miaka mingi tu iliyopita na mpaka Sasa kuweza kucontrol temperature ya 1 million Kelvin Ni ndoto za abunuasiKuhusu production ya Hydrogen batteries R&D yake imeendelea sana kuliko miaka 5 iliyopita, in theory hydrogen energy can be extracted from Water, This was tried by Google Moonshot project na Baadhi ya US Carriers.
Nakupa mfano wa Kampuni ambazo zimeenza kutengeneza EV zinazotumia Hydrogen cells Studio MOM designs hydrogen-powered LAVO Bike
Kuhusu Nuclear Fusion technology for this, R&D iko mbali kuliko production ya upande wa Hydrogen cells, mfano https://ccfe.ukaea.uk/research/joint-european-torus/ hii ndio kampuni iliyofanikiwa sana Kwa Sasa Kufanya major break through in the field hasa upande wa kucontrol amount of temperature inside the reactors na wameshaunda prototypes..
Na kwa Taarifa Yako this year wanafizikia wa Ulaya na Marekani wamefungua one of World largest particles colliders The Hadron Collider kwa ajili ya kujifunza force ya 5 fizikia, wakati Sisi hata nne tu za sasa kuzitaja ni Shida.
Namalizia wanaotumia Mafuta na Gesi yote Duniani kwa zaidi ya 51% wanatumia Kila njia kuachana Nayo na kuangalia vyanzo mbadala, so kwa upande wa Russia in practical ili aendelee kupigana vita kwa muda mrefu lazima Ulaya waendelee kununua Mafuta na Gesi yake
👏Kuna watu hadi Leo hawajawahi kujua kwa nini Russia ni threat 80% kwa USA kuliko China katika U super power hadi Leo.
Kwanza,Russia yupo vizuri kijeshi zaidi ya China kwa 95%,usipo kuwa na nguvu za kijeshi sio rahisi uwe super power wa dunia-unaweza ukaupata lakini unaweza ukatoweka muda wowote.Hivyo kwa USA Urusi ni hatari kwake kuliko China ndio maana anatumia njia zote za kijeshi kukabiliana naye kumzunguka na huwezi kuona anatumia hizo njia dhidi ya China maana anajua China sio chochote.
Pili,ni Rasilimali zinazoendesha Dunia-zaidi ya mataifa yote ulaya ambayo ndio mataifa tajiri zaidi Ulimwenguni yote yanamtegemea Urusi katika kuendesha Uchumi wa Nchi zao.Hivyo,ikitokea chochote ni rahisi Russia kuya control mataifa hayo Politically-ndio maana USA anafanya kila namna Russia asiwe na mahusiano mazuri ya kisiasa na hizo Nchi kwa kuwatishia kuhusu mambo ya Usalama. USA anajua fika ikiwa EU itakuwa na mahusiano mazuri ya kisiasa na Russia basi ni mwisho wa U super power wake maana wanaweza waka dictate chochote na kumuweka USA nje.
Tatu,Ukiachana na hayo mataifa ya Ulaya ambayo yapo chini ya Russia kiuchumi-Mataifa ambayo ni Makubwa kama India,China,Brazil na yale yanayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta Duniani yote yana mahusiano mazuri na Urusi.
Ukiangalia matukio haya utaona ni kwa jinsi gani USA atatakiwa kuzicheza karata zake,lasivyo inaweza kuwa mwisho wa Utawala wake.
Labda upumzike kidogo kuondoa uchovu? Ndiyo, hisabati ya kimsingi. Wakati bei zinapanda, muuzaji anaongeza mapato. Ninarudia picha ya bei. Unaweza kusoma hiyo?Unatuchosha mzee.
Price haijabadilika ni ile ile so nakuuliza kwanini Revenue imeongezeka!?
Kwa kukurahisishia jibu ni kwamba Sales imepanda, maana yake consumers wananunua zaidi.
Simple arithmetic.
Wewe Ni muongo yaani wanaanza kujitoa kwenye nuclear kwa sababu ya mionziHizi unajua nchi kama France na UK Zaidi ya 60% ya Nishati ya umeme inatokana na Nuclear.
Unajua kuwa USA now Karibu Nusu ya Carriers zake na Subs Zinatumia Nuclear fission?
In the sky over Kaliningrad: aviation overflight as part of the rehearsal of the air part of the Victory Parade.View attachment 2205126View attachment 2205127View attachment 2205128View attachment 2205129View attachment 2205130View attachment 2205131View attachment 2205132