Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Moscow is burning,Moscow is burning
Fetch the engines, fetch the engines
Fire fire, fire fire
Pour on water,pour on water
1651236327547.png
 
Urusi akitaka kushinda hii game labda kwa TO,
Maana Bwana Mdogo Zelesky kaambiwa ajitahidi tu asianguke chini, avumilie panchi tu round zote 12 ziishe na ushindi atapewa yeye..
 
Uongo!
ProNato mnachekesha kwa kweli[emoji1787]. Kwa comment yako hii inatia wasiwasi kuamini lolote linalotoka kwako. Unashindwa kuwa 'objective' hata kwa dk moja, mahaba!!! Silaha za urusi sio za kisasa!?

  • Tuambie ni mfumo upi wa ulinzi wa anga unaotoka nje ya Russia ambao ni bora kuliko s400. Hapo Bado kuna s500 na s550
  • Tuambie ni mfumo gani wa makombora 'missile' ulio bora kuliko samart!? Unayesema ana silaha sio za kisasa amesharusha Hypersonic missile wakati mwenye silaha za kisasa hata kutest bado. Bwahahaaha
  • ukiachana na f35 kuna dege lolote linalweza kupambana na su57? AH64 apache guardian mwenzake si k52 hokum ya Russia au kwenye bombers, Grumanns B2-Spirit mwenzake Tupolev Tu160 ya urusi. Kila alipo mmarekani na mrusi naye yupo.
  • unazungumzia vifaru!? Alaf unataja T72/80/90 kwa zarau. Mbn hukutaja T14Armata!? Au sio ya kisasa
  • ak47 vs m16!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
F35 mradi wa hovyo kabisa
Ndege zinaanguka kwaupepo tuuu[emoji3][emoji35][emoji23]
 
Na uranium anazizalisha kwenye viwanda vyake[emoji28]
Bado atapiga magoti kwa Russia kupata uranium. La sivyo Russia akinuna hayo manyambizi yake yatageuka matoi. Au aje kuvamia Dodoma na Singida achimbe maana Iran hataambulia kitu.
Uzuri akija Tanzania atapata raha kwani vijana wapo tayari wanaomshabikia. Wanaweza kukidhi haja zao za mwili

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Heheee[emoji23][emoji23][emoji23]
RUSSIA kama maji YAANI
 
Naona kuna watu wanarindimisha matusi mazito mazito humu
Wanaume wanasifiwa kuwa na vifua
sasa vifua vyetu tuvitumie kubeba vitu vizito tusiwe kama wadada wanao chambana .....tujikite kwenye mada .....wakuu
 
Kumtolea matusi mtz mwenzako kwa ajili ya Urusi au wamagharibi ambao kimsingi wanapigana kwa ajili ya maslahi yao ni moja wepo ya dalili za Upumbavu.

Hapa tuna takiwa kujadiliana kwa hoja na sio kutukanana na kudhalilishana.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Matusi mnayaanza nyie, mkianza mtajibiwa ipasavyo
 
Wazalishaji wakubwa wa Uranium duniani ni Kazakhstan, Canada na Australia. Russia inapitwa hadi na Namibia.

Back
Top Bottom