Ohoooo wanagombana wao kwa wao.Zitaisha?? Acheni ujinga nyinyi wamarekani wa tandale. Kwani hizo siraha mrusi anazinunua au anazifyafua mwenyewe
Ohoooo wanagombana wao kwa wao.Zitaisha?? Acheni ujinga nyinyi wamarekani wa tandale. Kwani hizo siraha mrusi anazinunua au anazifyafua mwenyewe
Ndio maana influence ya Mrusi inavyozidi kuongezeka kule west Africa ambako ni francophone,France sehemu kubwa ya Uranium yake inatoka Africa Magharibi ndio maana France Wana Majeshi Baadhi ya Nchi
Sawa sawa kabisa mkuu.Hapa ndo unakuja kuona jinsi gani hao wazungu walivyo wajinga kwenye mambo ya uchumi.
Hao hao wanaamini kuendelea kupeleka silaha Ukraine (kurefusha vita) kutaidhofisha urusi kiuchumi na kijeshi, bado hao hao wanaipatia urusi mabilion ya dollar kila siku kupitia nishati pekee tena kwa ruble.
Sasa ndugu zangu hebu tujaribu tu kujiuliza swali dogo, katika kipindi hiki cha hii operation ninani katia ya Urusi na Ukraine anaepokea mpunga mrefu kutoka kwa nchi za EU na USA?
Yani mtu unamuingizia faida ya zaidi ya Tsh100trillions/month kwenye nishati pekee halafu bado unaamini atakata pumzi kweli?
At the same time Ukraine unampa msaada wa $800M tena kwa mafungu mafungu ili amshinde unaempatia zaidi ya $47b / month kweli!?
Ama kweli wazungu wenye akili walikuwa kina isac Newton, Albert Einstein na n.k na siyo hawa wazungu wajinga wajinga wasio jua hata wanachokifanya.
My take; USA na EU wakitaka Urus ikate upepo kwenye hii operation wakubali kutonunua chochote kutoka Urusi ikiwemo gesi na mafuta ili wagande kwa baridi na njaa iwapige mpaka wanyoke ndo na putini akate upepo kwa kukosa pesa za kuendeshea operation yake otherwise anaweza endesha hii operation hata kwa miaka 10 bila kugusa hela yake zaidi ya faida anayoipata kwa hao wazungu ukoko wa EU na USA.
Uhalisia; Russia kwa EU ni sawa na maji ukiyakwepa kuyaoga, utayanywa.
#Urusi siyo visiwa vya Comoros.
Hata hawajuani kuwa wapo pamoja,wameshavurugwaOhoooo wanagombana wao kwa wao.
Nyamizi ,njoo uone Shoga zako wanavyochezewa Kama midoli naRussians🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺🇷🇺Washajaa kwenye 18 tayari, it was just a matter of time...and they'll do it bila kusema vile wanaona aibu. Poor Europeans.View attachment 2205278
Imeisha hio.Kijijini kwetu kuna watu huwa wanakamata nyoka mwenye sumu kali aitwaye Cobra!! Wanafanya hivi:
Wanakuwa wameandaa mabapa ya katani mengi. huwa wanamtupia hayo makatani halafu cobra anayauma! kila mara cobra anapouma katani huwa anamwaga sumu yake na rangi ya katani hubadilika. Inafikia mahali ambapo cobra anapouma katani, hiyo katani haibadiliki rangi. Hiyo ni dalili kuwa cobra ameishiwa na sumu! Hapo ndipo mtu huamua kumkamata cobra na cobra akimwuma linakuwa ni jeraha la kawaida tu maana sumu yote imeisha na kutibu jeraha hilo ni rahisi.
Ndivyo nchi za magharibi zilivyoamua kumfanyia urusi. Wananchi wa ukraine wanatumika kama katani, na silaha zinazoingizwa ukraine zinatumika kama katani za kumtupia cobra ambaye ndiyo urusi. Jana marekani kaidhinisha silaha na msaada wa kiuchumi wa dola bilioni 33!! Ujerumani imeidhinisha silaha nzito za mabilioni ya dola! Hali kadhalika kwa UK! Mrusi akiziharibu wanapeleka zingine!! Akiziharibu na hizo wanapeleka zingine!! Wameamua kuendelea na mzunguko huo kwa muda mrefu inavyowezekana. Ni mpambano wa nchi 33 dhidi ya nchi 1. Kati ya wote hao 33 hakuna anayeweza kuthubutu kupambana binafsi na urusi ana kwa ana!
Kazi inaendelea.Akili ndogo NATO dhidi ya mbabe wao,walikurupuka na vikwazo wameumia wao kaneemeka adui Yao.
Huoni kuwa pande zote silaha na chumi zao zinaisha kwa pamoja?
pole MKUU kwahuyo unaebishana nae ila endelea naeMwana unaniletea Statistics za OPEC huku ukiongelea Urusi!? Kweli mwanangu.
Urusi hayumo kwenye ushirika huo wa OPEC mwanangu.
Nimekuambia kwamba Urusi hajabadili bei ya mafuta lakini mapato yake yameongezeka.
Nimekuuliza kwanini mapato yameongezeka!?
Bugucha kama Bugucha [emoji23][emoji23][emoji23] Jomba huu mfano wako ukiutoa pale Saccos au VICOBA wanakusamehe madeni yote yaliyopita yaliyopo na yajayo....Hivi mkuu,umewahi kumpeleka demu ghetto,alipofika,ukamwambia vua nguo,akasema sitaki,ulipomvua akakusaidia kuvua yy mwenyewe,huku anasema staki,alafu ukimvua pichu anasema kwa mahaba 'mi staki jomoniii' huku anakulegezea macho!?[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani ndo mataifa ya magharibi yanachofanya mbele ya Urusi.
🤣🤣🤣Bugucha kama Bugucha [emoji23][emoji23][emoji23] Jomba huu mfano wako ukiutoa pale Saccos au VICOBA wanakusamehe madeni yote yaliyopita yaliyopo na yajayo....
Ila EU wanazingua ase...
Kuelimishwa sio jambo la bei hafifu, How about a thank you!?Unaniambia nitakufa na malnutrition kwa sababu ya ngano? Unadhani mimi ni mtu wa kufakamia chapati na maandazi ovyo ovyo [emoji3].Mimi nakula pure organic food,hiyo ngano hangaika nayo wewe ujenge kitambi vizuri[emoji3][emoji3]
Hivyo vingine vyote vilivyobako vinapatikana pia sehemu nyingine za Dunia,Russia angekuwa na huo umuhimu leo hii angekuwa ndiyo tje real Super power ki uchumi.Dunia itaendelea kuishi vizuri tu bila uwepo ya hiyo huduma kutoka Russia
Ni kama urusi ndio energy hub ya ulaya. Kila mahali kila nyanja yupo. Gesi, mafuta, makaa ya mawe, nyuklia, kuni etc.Ndio maana ufaransa ni mpole kweli. Maana zaidi ya 60% ya umeme wale ni wa nuclear. Machinery na fuel anatoa urusi.
Absolutely, na kama ntakuwa sijapelea sana kwenye data ni kua Russia ana supply about 20% hivi ya Uranium EU kote...Russia's energy clout doesn't just come from oil and gas – it's also a key nuclear supplier
As Western nations look for ways to reduce their reliance on Russian oil and gas, another aspect of the Ukraine crisis has received less attention: Most of the 32 countries that use nuclear power rely on Russia for some part of their nuclear fuel supply chain.
Wazungu wa Sasa watakuaje na akili Kama wameingiza ushoga Hadi makanisaniHapa ndo unakuja kuona jinsi gani hao wazungu walivyo wajinga kwenye mambo ya uchumi.
Hao hao wanaamini kuendelea kupeleka silaha Ukraine (kurefusha vita) kutaidhofisha urusi kiuchumi na kijeshi, bado hao hao wanaipatia urusi mabilion ya dollar kila siku kupitia nishati pekee tena kwa ruble.
Sasa ndugu zangu hebu tujaribu tu kujiuliza swali dogo, katika kipindi hiki cha hii operation ninani katia ya Urusi na Ukraine anaepokea mpunga mrefu kutoka kwa nchi za EU na USA?
Yani mtu unamuingizia faida ya zaidi ya Tsh100trillions/month kwenye nishati pekee halafu bado unaamini atakata pumzi kweli?
At the same time Ukraine unampa msaada wa $800M tena kwa mafungu mafungu ili amshinde unaempatia zaidi ya $47b / month kweli!?
Ama kweli wazungu wenye akili walikuwa kina isac Newton, Albert Einstein na n.k na siyo hawa wazungu wajinga wajinga wasio jua hata wanachokifanya.
My take; USA na EU wakitaka Urus ikate upepo kwenye hii operation wakubali kutonunua chochote kutoka Urusi ikiwemo gesi na mafuta ili wagande kwa baridi na njaa iwapige mpaka wanyoke ndo na putini akate upepo kwa kukosa pesa za kuendeshea operation yake otherwise anaweza endesha hii operation hata kwa miaka 10 bila kugusa hela yake zaidi ya faida anayoipata kwa hao wazungu ukoko wa EU na USA.
Uhalisia; Russia kwa EU ni sawa na maji ukiyakwepa kuyaoga, utayanywa.
#Urusi siyo visiwa vya Comoros.
Umeongelea issue ya kuni ikabidi niende nikafukunyue kidogo.Ni kama urusi ndio energy hub ya ulaya. Kila mahali kila nyanja yupo. Gesi, mafuta, makaa ya mawe, nyuklia, kuni etc.
Yaani usipomnywa utamuogea.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app