Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Hii orodha tumeshaona mara kadhaa tumeshajadili. Nilikudai taja bidhaa (ambazo si malighafi, mazao au malighafi zilizosafishwa tu kama feleji, alumini) na hazitegemei vipuli kutoka US-EU zinazouzwa kimataifa - mfano katika "Machinery including computers: $10.7 billion (2.2%)".Russia’s Top 10 Exports 2020
Yule jamaa mwenye maswali ya kitoto akuje ajifunze taratibu taratibu.
- Mineral fuels including oil: US$211.5 billion (43% of total exports)
- Gems, precious metals: $31.6 billion (6.4%)
- Iron, steel: $28.9 billion (5.9%)
- Fertilizers: $12.5 billion (2.5%)
- Wood: $11.7 billion (2.4%)
- Machinery including computers: $10.7 billion (2.2%)
- Cereals: $9.1 billion (1.9%)
- Aluminum: $8.8 billion (1.8%)
- Ores, slag, ash: $7.4 billion (1.5%)
- Plastics, plastic articles: $6.2 billion (1.3%)
Naomba mifano yako! Naweza kupata wapi Kariakoo (maana napata vitu vingi vya China, naweza kupata pia Apple, Daimler.... Korea, japani... - naweza kupata nini kutoka Urusi?)