Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
ThanksKawa outsmart mno... tena mnoo hawa wababe uchwara [emoji23]...
Ila nyie acheni katika watu wanaotamani kuanguka kwa hii empire of lies ilioko western kiwango cha 5G ni mie....
Nimechoshwa mno na hii Hegemony...
Uko zako umetulia unasikia marekani yawaambia hv yawaambia vile, kiasi hadi kiSenate au Governor wa jimbo flan kutoka kule jua linakozama anampiga mkwara mkuu w nchi kutoka mataifa mengine...
Ukileta ushindani kiuchumi unakula sanctions, mkijikita kujenga nchi yenu nje ya Interest zao mnaanzishiwa figisu mara paap hawa hapa na vijisilaha vyao kuwashambulia...
Wanajiona wako na right juu ya kila kitu duniani kiasi cha kujiita world leaders kumbe ushuzi mtupu...
We need multipolarity dunia iwe na amani.
Anachekesha mpaka mtu unajiuliza hivi hawa hawajawahi pigana vita?Hata hivi wamekufa wanajeshi wachache sana kwa sababu kipindi kile vita inaaza urusi ilipeleka wanajeshi wake laki moja wa kuanzia tu. na wote walipanga mstari kama wanaenda kufyeka migagi.
Kwahiyo wanajeshi wa Ukraine wakawa wanajipigia tu.
Urusi alipo ona mambo magumu ikabidi aanze kukodi majambazi Syria.
Kwenye hii vita urusi alivyo pigana inachekesha sana.
Kinachoenda kutokea tujiandae kushuhudia Nuclear . Nimesoma mahali jana Israel anasema hataruhusu Iran kumiliki silaha ya Nuclear nikasema hiiiiiiiii.Mi nawashangaa watu kama nyie ....asa unaposema bila nyuklia putin hawezi kitu .....huo ni upopoma
the same hata marekani bila nyuklia asingeipiga japan enzi hizo na hata sasa maana alizidiwa na japann nyuklia ndo ilimsaidia na hata sasa bila hiyo nguvu ya nukes marekni asingemtishia mtu ....
Tukiambiwa urusi ina nguvu au marekani ina nguvu nguvu zenyewe ndo hizo yaani unakuwa umeji EXTRA ..maana kwamba una silaha ya ziada ambayo maadui zako wanakuogopa kwayo ......ndo maana marekani mpaka leo hajamvamia kiduku au irani ....
Picha zinakuumiza sanaNimeshaona unapenda picha nzuri hupendi kujadili. Sema: Hii roketi inasaidia nini??
Hata leo Urusi ina uwezo kuangamiza Marekani mara kadhaa; vilevile Marekani ina uwezo kuangamiza Urusi mara kadhaa. Ilhali tunakufa mara moja tu (isipokuwa James Bond katika filamu "You Only Live Twice "), itasaidia nini wakiongeza nafasi ya kuangamiza Marekani mara 12 badala ya 11 tu???
hapo sababu Marekani walitangaza hawaoni tishio katika roketi hii. na mimi nakubali.
Kwa hiyo acha picha zako za kitoto, jieleze kido. Ukiweza, angalau.
ZimefikaNgoja nikusaidie kwa kukuweka kwa hiyo list,wasalimie Kremlin[emoji5]
Kama source ni RT hiyo kwangu na propaganda za kikomunist ambazo siku zote hazina mashiko yoyote.Tatizo lenu huwa mnakaa na serikali za vichwa vyenu,mnajadiliana matamanio yenu vile mlipenda iwe kisha mnakuja kuyabandika hapa,wakati kwenye uhalisia hakuna kitu kama hicho.Kwanza hangaikeni na Ukraine iliyowashinda mpaka sasa kabla hamjaanza kutatarika na hayo mengine.Nyamizi ,njoo uone Shoga zako wanavyochezewa Kama midoli naRussians[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635]
Asante sana. Umeutendea haki uzi huu.mimi huwa mfuatiliaji wa taarifa bila kujali affiliation ya chombo hicho cha HABARI !
Tanzania hivi sisi hatuna wanajeshi wastafu wakuchambua vita tuwe tunawasikiliza jamani?
au mm ndo sina exposure ?
maana huyu mchambuzi wa Azam tv
Ibrahim rahabi, akili yangu inamuona kama pro NATO,,,,,,,
mapenzi na western, USA, na chuki kwa Russia inamfanya anachambua vita ya Russia na Ukraine kama vile Russia nini msumbiji,
nimekuwa nikifuatilia media za bongo naziona kama zinakosa msawazo na uchambuzi wa kitaalamu wa vita hii...
maana nilisikiliza mchambuzi wa AZAM TV IBRAHIM, akidai kuwa Russia itapoteza miji ya mariupol baada ya meli yake kuzama moskova ,,,,,,
baadhi ya wadadisi hapa pia walidai RUSSIA atapoteza uelekeo wa vita hii kwa kisa hicho cha meli...
nilichoona mimi baada ya hapo Russia kureplace long range bombers tumeziona zikitumika na kufanya mashambuliz makali sana na RUSSIA wanasema aina ya ndege hizo zinazofanya hayo......
pia, pro NATO na ibrahimu rahabi walisema mlango wa kuingilia black sea umefungwa na turkey hivo Russia hatakuwa na uwezo wa kuingiza meli nyingine kupitia mlango huo.....
yeye ibrahim rahabi aliapia mtangazaji mwenzake kuwa watakutana baada ya wiki moja alafu atampa mrejesho wa yale aliyosema yatatokea upande wa kijeshi RUSSIA.....
leo nimeona submarine ikirusha makombora kutokea bahari nyeus ,,, tena ikifanya kazi iliyofanya moskova,,,,
na ndege zile zimepunguza mashambulizi yote yameachiwa nyambizi hiyo,,,,,,
ninachofikiri mimi ni kuwa :
1. NATO na RUSSIA wanafahamian vizuri sana
2.wengi tunadharau RUSSIA lakin akili yangu inaniambia RUSSIA ina fanya haya kwa maslahi mapana sana, ambayo de-westernization
3. Sisi ambao sio wataalamu wa mambo ya kimataifa tuna underestimate uhusiano wa china na RUSSIA, mimi nafikiri Russia mission hii ya Russia china sio mshirika tu bali ni muhusika mkuu sema wamegawana majukumu tu,
4.pakistan, India, China na RUSSIA, nyuma yuko Saudi Arabia sema hajionyeshi ila ameshachoka ushirika na marekani maana na yeye now anataka kujisimamia mambo yake wana lengo pana la dewesternize na kuunda multipolar world ambapo nchi za kiafrika Viongozi wa kiafrika wangejaliwa uzarendo walitakiwa wacheze game hii ili wajitoe kwenye be colonisation kwa kushirikiana na kundi hili la Russia na wenzake
5.wengi tunafikiri RUSSIA atazidiwa kwa msaada ule wa siraha na sanctions : nafikiri tunajipotosha kwa hili, Russia atatumia rafiki zake ambao hawako direct kwenye field kusurvive na marekan analijua hilo ndio maana ana washawishi India na china kusunction Russia bahati MBAYA HATAFANIKIWA uhalisia anaonyesha.
6. nahitimisha kwa kusema hii vita bado ipo sana, ila miji yote iliyo upande wa black sea ile nafikiri itachukuliwa na RUSSIA milele, zile nchi alizozitambua zitapiga kura ya maoni kujiunga na shirikisho la URUSI ndo itakuwa mwisho wa vita na kieve itabakia bila bahari
Russia na china watawekeza Asia na Afrika zaidi kuliko ulaya na dunia mpya ndo hiyo ijayo
nafikiri tu wakuu sio kwamba ni fact za lazima kuamini
Russia ni super power in ur own small imaginary WorldKuelimishwa sio jambo la bei hafifu, How about a thank you!?
Uliuliza zaidi ya gesi na mafuta kipi kingine 'watu' watakwenda kufuata Russia!? Ulikuwa na uhakika sana wakati unauliza kanakwamba Russia ni hohehahe hana awezalo. Tumekusomesha kwa mifano mambo mengine mengi yasiyo gesi wala mafuta ambayo warusi wanaifaidisha dunia.
Unakula organic food? Vizuri except the remark abt malnutrition was figuratively. You just are too literal Nyamizi labda ndio sababu unamchukia Putin. Mimi nakula Ngano na sipati kitambi. Nakula Organic pia. Nafkiri kuchanganya ngano kiasi na organic kiasi ndio mpangilio bora, sio!?
Sijui taarifu yako ya 'superpower' ni ipi lakini Russia ni super Power, really super power!!!. Kwa vigezo vyote na vipimo vyote hakuna namna utamtoa Urusi kwenye usuper power. Hata kwa chuki uliyonayo dhidi yake haitoshi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app