Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na kwa taarifa tu hakuna kifaa chochote kwenye dunia hii ambacho Urusi atengenezi.kama kipo nitajie.mashine yoyote unayoijua wewe basi Urusi anatengeneza
Naomba utuambie ni bidhaa gani zinazotengenezwa Urusi na kuuzwa kwenye soko la dunia (ambazo hazitegemei vipuli vya US - EU).
 
Absolutely, na kama ntakuwa sijapelea sana kwenye data ni kua Russia ana supply about 20% hivi ya Uranium EU kote...

Sasa hapa [emoji23]
Gas and Oil over 40%
Uranium Over 20%
Mbali na hayo Wheat, Barley, Sunflower Oil, Woods, fertilizer, Nyama na madini mengine adhim wanatoa Russia...

Hao hao wanamwekea vikwazo tena [emoji23][emoji23][emoji23] nawaza Putin angekuwa na jazba ka za Hayati wetu wa Chato yan ile mbwai na iwe mbwai... EU wangerudi stone Age kitambo mno.
Putin amefanya hesabu zake maridhawa. Amesogeza kete zake kwa mazingatio. Kila kitu kipo kwenye mpango.

Alijua akilianzisha watamuwekea vikwazo. Na zaidi watasusia bidhaa zake hasahasa gesi na mafuta.

Akapambana kumbakisha Assad na Maduro. Muweke Trump kwa ofisi atibue dili la nyuklia na Iran, Iran irudi kwenye vikwazo. Hapo ulaya hawana option nyingine.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mwana unaniletea Statistics za OPEC huku ukiongelea Urusi!? Kweli mwanangu.
Urusi hayumo kwenye ushirika huo wa OPEC mwanangu.
Nimekuambia kwamba Urusi hajabadili bei ya mafuta lakini mapato yake yameongezeka.

Nimekuuliza kwanini mapato yameongezeka!?
Ukipenda tuendelee acha mahubiri lete DATA na TAJA CHANZO.
OPEC inatawala soko na Urusi pamoja na Marekani zinafuata, ilhali Urusi siku hizi inapaswa kuuza mafuta yake nafuu kidogo.
 
Naomba utuambie ni bidhaa gani zinazotengenezwa Urusi na kuuzwa kwenye soko la dunia (ambazo hazitegemei vipuli vya US - EU).
Mzee nenda kajifunze huijui Urusi.
Urusi kila kitu anatengeneza yeye mwenyewe.
Urusi ndio nchi ya kwanza kutuma kifaa mwezini.
Ngoja tu nianze kidogo kukutoa tongotongo. Nakusaidia tu.

Tuanze na hapa:- MC-21
MC-21-300-in-flight-660x430-620x404.jpg
 
Umeongelea issue ya kuni ikabidi niende nikafukunyue kidogo.

But Russia does not only have large fossil reserves, it is also sitting on by far the largest forest in the world. With around 815 million ha of forest it almost doubles the Brazilian Amazon and amounts to about 25% of total global forests. Now with the ban on trade with Russia, the question comes up: how much wood and wood products is the EU importing from Russia and can we do without it?
[emoji3] ndio that's why bei ya furnitures sa hivi zimepea, sio TZ bali UK na EU kwa ujumla
 
Most of the 32 europian countries that use nuclear power rely on Russia for some part of their nuclear fuel supply chain.
Tafadhali usilete copy-paste hivyo kama swali ni tofauti. Niliuliza: je sekta hii ina umuhimu gani? Thamani yake kwa $€ au rubel?
 
Tanzania silaha tunazonunua Russia most of them ni Soviet error ambazo zinatosha kutulinda tu na Nchi kama Kenya, Malawi na Uganda,

Pili jeshi la Tanzania linatumia SMG kama Standard ya Silaha zake na Si AK-47, ukiona AK-47 kwa Askari wa Tanzania hiyo ni special case, pia Hizi Silaha tunanua China.

Ndege nyingi zilizopo kwenye Air force yetu ni msaada au zinatoka China, binafsi sijawahi kuona Russian planes kwenye Jeshi letu, kama umewahi kuziona unaweza kupiga picha...

Pili zile Helicopters za Jeshi unazozionaga zinatoka France, kama umewahi kuona zinatoka Russia ungeweka na reference.

Pia ingekuwa vizuri kama ungeelezea 90% imefikaje
Hivi hii post watu wameipa like kwa vigezo gani?!!!!

Mtu anaelezea kama hana meno kinywani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eti AK 47 sio Sub Machine gun? Na jeshi la Tanzania ukiona AK 47 ujue ni special case[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bandugu kwanza utambue SMG( Sub Machine Gun) ambazo Zina fire power ndogo kuliko Machine Gun.

Mfano wa hizo siraha ni kama ifuatavyo:
1)Bereta M12s
2)Uzi Gun
3)Mat-49
4)Sa vz.25
5)K SMG
6)Header& Koch MP5
7)Steyr MPi69
8) Ingram Mac 10
9)colt 9mm SMG
10)AK 47 na AK 74
11)G3 GUN
12)M16

Na zote zimeshatumika au kuwahi kutumika kwenye uwanja wa vita.

SMG ni mfumo jinsi siraha inavyo operate na Wala ahiitaji kukoki kila mara uitumiapo.

Kumbuka hizo ndio siraha ya msingi kwenye vyombo vyako vya ulinzi hapa bongo, hadi wale wanaolinda benki.

FB_IMG_1651264823247.jpg
FB_IMG_1651264901309.jpg
FB_IMG_1651265055182.jpg
 
Hii propaganda nadhani niliimaliza kumbe bado ipo, China ndo inaongoza kwa kuwauzia silaha, urussi imeshindwa mpaka na Israel. Hapa Africa Nchi zinazopewa mafunzo ya kijeshi na Urussi ni chache mno kutokana na bajeti yao ndogo. Marekani / china/Uingereza wanaongozaa kwa mafunzo na misaada Tanzania.
Elezeana hii coco reborn.

Screenshot_20220429-230549.jpg
 
Ukipenda tuendelee acha mahubiri lete DATA na TAJA CHANZO.
OPEC inatawala soko na Urusi pamoja na Marekani zinafuata, ilhali Urusi siku hizi inapaswa kuuza mafuta yake nafuu kidogo.
Wewe mzee hujui kitu chochote. Lakini ngoja nikufundishe tu kwa faida ya wengine.

Oil

Saudi Arabia's oil exports accounted for 17.2 percent of the total value of worldwide oil exports in 2020. Russia followed as the second most profitable oil exporter, taking up 11 percent of the global share of oil exports.

Natural Gas

Russia is the world’s leading exporter of gas, exporting 197.2 billion cubic meters of pipeline gas and 40.4 billion cubic meters of liquefied natural gas (LNG).

20587.png
 
Putin amefanya hesabu zake maridhawa. Amesogeza kete zake kwa mazingatio. Kila kitu kipo kwenye mpango.

Alijua akilianzisha watamuwekea vikwazo. Na zaidi watasusia bidhaa zake hasahasa gesi na mafuta.

Akapambana kumbakisha Assad na Maduro. Muweke Trump kwa ofisi atibue dili la nyuklia na Iran, Iran irudi kwenye vikwazo. Hapo ulaya hawana option nyingine.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kawa outsmart mno... tena mnoo hawa wababe uchwara [emoji23]...

Ila nyie acheni katika watu wanaotamani kuanguka kwa hii empire of lies ilioko western kiwango cha 5G ni mie....

Nimechoshwa mno na hii Hegemony...

Uko zako umetulia unasikia marekani yawaambia hv yawaambia vile, kiasi hadi kiSenate au Governor wa jimbo flan kutoka kule jua linakozama anampiga mkwara mkuu w nchi kutoka mataifa mengine...

Ukileta ushindani kiuchumi unakula sanctions, mkijikita kujenga nchi yenu nje ya Interest zao mnaanzishiwa figisu mara paap hawa hapa na vijisilaha vyao kuwashambulia...

Wanajiona wako na right juu ya kila kitu duniani kiasi cha kujiita world leaders kumbe ushuzi mtupu...

We need multipolarity dunia iwe na amani.
 
Tafadhali usilete copy-paste hivyo kama swali ni tofauti. Niliuliza: je sekta hii ina umuhimu gani? Thamani yake kwa $€ au rubel?
Wewe ni mtoto wa chekechea nikutafunie kila kitu. Mwana Urusi huijui. Jifunze kwanza uifahamu urusi ndio uje tujadiliane. La sivyo utakuwa unaleta issue za watoto wa chekechea.
 
Hata hivi wamekufa wanajeshi wachache sana kwa sababu kipindi kile vita inaaza urusi ilipeleka wanajeshi wake laki moja wa kuanzia tu. na wote walipanga mstari kama wanaenda kufyeka migagi.
Kwahiyo wanajeshi wa Ukraine wakawa wanajipigia tu.
Urusi alipo ona mambo magumu ikabidi aanze kukodi majambazi Syria.
Kwenye hii vita urusi alivyo pigana inachekesha sana.
Porojo za vijiweni hizi mkuu
 
Kwenye historia pia nahisi utakuwa umeenda mbali sana... mpe tu mfano ulio hai hivi sasa...

China na Solomon wamesign security deal ya pamoja, US na Australia ambao wapo thousand of mile kutoka Visiwa vya Solomon wanamtishia kumpiga kisa mahusiano yake na China wakidai n threat kwao...

Je huko sio kuingilia Sovereignty ya Taifa jingine lililo huru? Deal liwe kwa China na Solomon kwao ligeuke kua threat? Je hizo bloc wanazotengeneza wao sio threat kwa wengine?

Na kama wako sawa na sio kuingilia Sovereignty ya taifa hilo... kama wao wameona threat thousand of mile kutoka kwenye mipaka yao je vipi kuhusu huyu Russia kwa hili kundi linalotaka kukaa kwenye kibaraza chake?

Kwanini kunya anye kuku akinya bata kaharisha... Hii double standard ya nini ka kweli mnaipenda na kutaka kusimamia misingi ya haki?

US aliona kua kuna tatizo Iraqi mile zaidi ya ef 11 kutoka kwake, na akavamia akalipua akamnyonga Rais wa watu kwa kisingizio cha WMD... Weapon of Mass Destructions walizodai hazikuepo na hakuna aliyezungumza zaidi waliishia kuiba mafuta na dhahab walizozikuta...

Obama huyo hapo kisa Gadaffi kutoa proposals ya matumizi ya Gold standard ka mbadala wa dola akafatiwa kuvamiwa na jeshi la NATO hapo na kumuua... Hakuna waliozungumza na mwisho Obama anatunukiwa tuzo ya Amani mikononi akivuja dam za wasokua na hatia...

Leo hii huyu yupo anapigania usalama wa nchi yake dhidi ya hao hao warmongers kutoka western tunasimama kumuita kichaa [emoji52] kisa UK na US wamessma... so interesting.

Eeh sasa to know hili ni zuri na hili ni baya tunatumia standard ipi? Tupunguzeni unafiki na ifike hatua walau sie watu weusi tuwe na courage ya kuita nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe and not otherwise bila kujali nani aliyefanya...

Kwa mtu mwenye akili timamu ingetosha tu kutizama list ya wanao'msupport zelensky ni watu wa aina gani na haraka kujitenga nae...

US anadai anataka kulidhoofisha jeshi la Russia, huku mswahili Poporipo anaona Zele anapigana kutetea nchi yake...

Kama kweli kuna watu wako huru na halmashauri za vichwa vyao haikutosha tu kujiuliza kwanini solidarity wanayoifanya Western kutoka US na EU kwa Ukraine dhidi ya Russia haikuwah kufanywa kabla ilhal kila leo kuna migogoro kila kona za dunia? Why Ukraine tu na sio sehem zingine? Mmmh?

Wengi tutafika tumechoka sana kwenye hii safari ya matumaini. [emoji23][emoji23][emoji23]

It's okay kufuliwa kupikiwa hata kuogeshwa vile vile ila ikifikia hatua mtu unaanza kupokea msaada wa kufikiria, yan someone think and decide on your behalf... ni huo mda tu huwa tunakuwa hatuna tofauti na MISUKULE.
Kwa hiki kisa cha Solomon na China,USA ni taifa lisilo na aibu hata kidogo.
Marekani ana matumizi mabaya ya mamlaka/nguvu au ushawishi alionao,dunia inatakiwa iamke na ichukue hatua dhidi yake.
 

Russia’s Top 10 Exports 2020​

  1. Mineral fuels including oil: US$211.5 billion (43% of total exports)
  2. Gems, precious metals: $31.6 billion (6.4%)
  3. Iron, steel: $28.9 billion (5.9%)
  4. Fertilizers: $12.5 billion (2.5%)
  5. Wood: $11.7 billion (2.4%)
  6. Machinery including computers: $10.7 billion (2.2%)
  7. Cereals: $9.1 billion (1.9%)
  8. Aluminum: $8.8 billion (1.8%)
  9. Ores, slag, ash: $7.4 billion (1.5%)
  10. Plastics, plastic articles: $6.2 billion (1.3%)
Yule jamaa mwenye maswali ya kitoto akuje ajifunze taratibu taratibu.
 
Mzee nenda kajifunze huijui Urusi.
Urusi kila kitu anatengeneza yeye mwenyewe.
Urusi ndio nchi ya kwanza kutuma kifaa mwezini.
Ngoja tu nianze kidogo kukutoa tongotongo. Nakusaidia tu.

Tuanze na hapa:- MC-21
View attachment 2205378
Mbona unaleta picha ya ndege MC-21 ambayo hali halisi hakuna abiria anayeweza kupanda? (ukipinga nionyeshe flight plan yake! - shiika gani? kwenda wapi? saa??) Hadi sasa walishindwa kuitengeneza kitasnia, hadi sasa ni ndege chache zilizotengenezwa kwa majaribio na ukaguzi. Tena wanahitaji kutafuta injini mpya maana waliipanga kwa mota ya Pratt&Whitney. Tena walitegemea aina za plastiki/metali kwenye mabawa ambayo hawawezi kupata tena kutoka Marekani, hapa walisema juzi tu waliunda mbadala. Elektroniki yote walitegemea makampuni ya marekani kama vile Rockwell Collins, Honeywell, Thales, Elbit Systems na UTC Aerospace Systems.
Sijaona habari za mwisho lakini naona makampuni hayo hayataweza kuendelea na mikataba yao.

(halafu ukitaka kuniambia tena "Urusi inatengeneza kila kitu" - tuambie kwa nini waliagiza vitu hivi vyote Marekani???)

Kwa hiyo uzalishaji halisi utaendelea kuchelewa. Hii ni sababu kwamba waliamua kukamata ndege mia kadhaa za Airbus na Boeing ambazo ziliazimwa kutoka makampuni ya magharibi ili waweze kuendelea na usafiri ndani ya Urusi.

Hadi sasa MC-21 ni kama kifaru cha T-14 au ile Sukhoi-57 ambazo hazipo hali halisi, kuna mifano michache kwa paredi na maonyesho, lakini si kwa matumizi halisi.
 
Brother naona unaongea vitu usivyovijua kabisa.makampuni ya magari yaliyondoka Urusi yalikuwa yanatengeneza magari ndani ya Urusi na kuuza urusi kwa sababu ni biashara ya kimataifa inataka ivyo wala sio kwamba Urusi hakuna kampuni za kirusi za kutengeneza magari.

Kwa iyo kuondoka kwao kunawapa faida kampuni za nyumbani kuuza kwa asilimia 100 wakati labda mwanzo walikuwa wanauza asilimia 50.na Uzuri wa izi kampuni za kirusi kila kitu kinatoka urusi wala hakuna hata spare inayotoka magharibi
Je unajua kampuni kubwa ya magari Urusi ni ipi? Unajua ni mali ya nani na ni nani walioleta tekinolojia huko?
 
  • Thanks
Reactions: ffn
West this time wamefeli sana kwenye propaganda watu wameshasanuka hawana habar nao. Media zao zimepoteza ushawishi sana ukicheki huko insta, twita nk wanapondwa mpaka aibu.

West mpaka sasa ushawishi wao umeporomoka kwa kiasi kikubwa sana. Kwnye hii mission Russia ana support ya mataifa mengi tena makubwa yanamuunga mkono chini chini huenda hata pesa anapewa. Lengo ni kuua unipolar system.

Ndugu zangu Pro NATO ukweli mchungu US hana jeshi la kumzuia Russia wala hana uwezo wa kupambana na Russia atapigika vibaya sana. Silaha kubwa ya US ni sanctions ambapo Russia kaonyesha jinsi ya kupambana na vikwazo, hivyo tutegemee mataifa mengine kutotishika na vikwazo na kupiga chini sera zake.

Mkitaka kujua west ni washenzi ona wanachofanya India, wanashikiza ampe vikwazo Russia wanatishia mpaka mataifa yatakayoshirikiana nae watapigwa sanctions kama unaakili timamu unaweza jiuliza why?? mbona wanatumia nguvu kubwa mno? Hivi mataifa 30 mnashindana na Taifa moja?? Hapo ndo mjue Russia ni super power mziki wake sio wa kitoto.

Leo Russia anatumia pesa yake kwenye kuuza malighafi zake, saudia nao wamekubaliana na china kutumia yuan, nk hili ni pigo sana kwa Dollar manake inakwenda kufa, jaribu kufikiria ni transactions ngapi za pesa kubwa zinafanyika kwenye Energy?? Je ni impact gani itatokea kwenye dollar???. RIP dollar.

Russia alijipanga sana na alikua anajua kabisa atakutana na vikwazo na alijua hii sio vita ya peke yake lazma NATO wahusike direct or indirect. Kuna watu humu mlisema Russia hawezi kumudu vita hata week lakin tunakwenda mwezi wa 3 na jamaaa wanazidi ongeza moto. Hii yote mmetawaliwa na propaganda za west mnaamini kila kinachoongelewa wakt hata kichaa hawez kubaliana nao.

Russia ana majasusi wabobevu waliokubuhu kila kona wanapiga kazi muda wote wanajua kila kitu kinachoendelea hivi huwa hamjiulizi kwanini US analalamika sana kuhusu kudukuliwa nk? Ndo mjue Russia sio mtu mzr.

Tunaaminishwa kwamba Russia ni maskini lakin kiuhalisia sio kweli Russia alikua G7 kabla hajatolewa kwa njama na chuki za US na sasa anataka atolewe G20. Russia ni matajir sana wamebarikiwa hui ni mwamba wa North hautikisiki asseee wana kila aina ya madini unayoyajua niambieni ni kipi Russia hana?

Mtu akisema Russia jeshi lake dhaifu mwambie hao NATO wanaungana kwa ajili ya nani?? hautajibiwa watakimbia so msiichulie Russia poa kama mnavoaminishwa na western media hizi hazipo kumsupport Russia na wala hutakuta wakimwongelea mazuri.

Western media zinaeneza propaganda kwa kumchafua Russia duniani lakini uhalisia Russia ni Taifa zuri sana lina penda amani hicho mnachoona Ukraine analinda usalama wake coz wengi hatujui kilichojificha pale Ukraine, hii operation ikiisha tutajua mengi sana yaliyojificha hapo ukraine.

Na ni wambie baada ya hii operation kuna changes tutaziona Kwa Mataifa mbalimbali sera za US zimeshapitwa na wakati kila jambo lina muda na mwisho wake. Ukitoa NATO na EU mataifa yote yaliyobaki hakuna aliweka sactions kwa Russia hapo ndo mjue ushawishi ushaisha tayri hizi ni dalili tu zinaonekana haina haja ya kuongelea sana.

Me naona tumpe support Russia kwani anafanya kazi kubwa sana ya kuangusha huu mfumo wa unipolar. Inasikitisha sana kwa nchi maskini kupewa misaada mpaka ukubali kupitisha homosexual kweli?? na watu mnaunga mkono hivi mpo serious kabisa??.

Na mengi yakuandika ila Russia ni taifa lenye nguvu sana hasa kijeshi wapo vizuri teknolojia wanayotumia kwenye jeshi hasa zana zao ni advanced wamemuacha US mbali sana. Russia katengeneza hypersonic since 2018 lkn mpaka sasa US katest mara3 kafeli, huenda Russia akawa na Teknologia ya kuzuia nyuklia ila katulia tu anawachora. Russia inasemekana anasilaha nzito za maangamizi na hajazitangaza kazituliza anasubiri filimbi ndo mtajua yeye ni nani.

GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
 
Mbona unaleta picha ya ndege MC-21 ambayo hali halisi hakuna abiria anayeweza kupanda? (ukipinga nionyeshe flight plan yake! - shiika gani? kwenda wapi? saa??) Hadi sasa walishindwa kuitengeneza kitasnia, hadi sasa ni ndege chache zilizotengenezwa kwa majaribio na ukaguzi. Tena wanahitaji kutafuta injini mpya maana waliipanga kwa mota ya Pratt&Whitney. Tena walitegemea aina za plastiki/metali kwenye mabawa ambayo hawawezi kupata tena kutoka Marekani, hapa walisema juzi tu waliunda mbadala. Elektroniki yote walitegemea makampuni ya marekani kama vile Rockwell Collins, Honeywell, Thales, Elbit Systems na UTC Aerospace Systems.
Sijaona habari za mwisho lakini naona makampuni hayo hayataweza kuendelea na mikataba yao.

(halafu ukitaka kuniambia tena "Urusi inatengeneza kila kitu" - tuambie kwa nini waliagiza vitu hivi vyote Marekani???)

Kwa hiyo uzalishaji halisi utaendelea kuchelewa. Hii ni sababu kwamba waliamua kukamata ndege mia kadhaa za Airbus na Boeing ambazo ziliazimwa kutoka makampuni ya magharibi ili waweze kuendelea na usafiri ndani ya Urusi.

Hadi sasa MC-21 ni kama kifaru cha T-14 au ile Sukhoi-57 ambazo hazipo hali halisi, kuna mifano michache kwa paredi na maonyesho, lakini si kwa matumizi halisi.
Umeulizwa swali hata AKA 47 Huijui mwanangu!?
 
Back
Top Bottom