Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Hata huogopi kusema uongo mwanangu. Naona ngumi zimekuzidi umeanza kuongea uongowewe hakika hujui ninachojua au sijui mimi. na mengi mengine.
Kwa hiyo, tumeshaelewana mfano wako wa ndege MC-21 ni feki?
Haya sasa unaleta gari. Linapendeza. Aurus - wanatengeneza magari 150 kwa mwaka.
Nikiangalia wapi - kiwanda ni cha FORD-Urusi mjini Vsevolozhsk- ulijua? (Ford wameondoka tangu vita imeanza - tuone kama wataendelea??)
Tuone!
Aurus Motors
Owners
NAMI (63.5%)
Tawazun Holding (36%)
Sollers JSC (0.5%)