Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa tuendelee na contents hapo hapo.
RT wapo na website well organized. Vipi kuhusu TBC wapo na content website inayoruhusu watu kuweka comments!?

Tujikite kwenye contents. Na vilevile comrade wangu tujadili kiungwana kabisa.
RT kuwa na website na TBC kutokuwa nayo hakuondoi uhalisia wa kuwa zote ni state controlled media.Kama ni swala la maoni hao TBC wana FB page,wana twitter Account na IG Account,kote huko unaweza kuweka comment utakavyo.Au kwako wewe swala la 'website' pekee ndiyo linakufanya uone RT iko huru [emoji3]
 
Hivi TBC ana reporters nchi gani hata east Africa tu. Naonaga wanasoma tu taarifa za kimataifa za vyombo vingine vya habari
 
Ni sawa kabisa sikukatalii,tofauti yetu katika hilo ni moja tu,mimi naongelea contents zao,wewe unaongelea ukubwa wa bajeti zao.Pengine nikusaidie,rudi nyuma kuanzia nilipoanza kumjibu Mkuu jitegemee nadhani ndiyo tunaweza kuelewana.Vinginevyo naona kama tunaongelea vitu viwili tofauti kabisa.
Comrade, mbona upo too defensive? Hii ni open discussion. Wapo wanajifunza kupidia discussions hizi. Wala hatutafuti nani mshindi but fuacts. Issue ya kiuchumi umeianzisha wewe.
Ukisema RT wanawazidi kidogo TBC.

Comrade nilikuwa na kuonesha siyo kidogo bali TB wamezidiwa mbaaaaaaali mno na RT kama unataka kuringanisha state owned media linganisha RT na CGTN, BBC, aljazeera, DW etc. But not TBC.

HUO SIYO UUNGWANA. TBC linganisha UBC, BUKELE, MALAWI NEW etc.
 
Ukiseha RT wanawazidi kidogo TBC.

Comrade nilikuwa na kuonesha siyo kidogo bali TB wamezidiwa mbaaaaaaali mno na RT kama unataka kuringanisha state owned media linganisha RT na CGTN, BBC, aljazeera, DW etc. But not TBC.

HUO SIYO UUNGWANA. TBC linganisha UBC, BUKELE, MALAWI NEW etc.
Naona hapa tutakesha,namalizia kwa kusema tena RT na TBC1 wote hawana tofauti,ni State Controlled media,zipo kuzisemea Serikali zao.Am out.
 
RT kuwa na website na TBC kutokuwa nayo hakuondoi uhalisia wa kuwa zote ni state controlled media.Kama ni swala la maoni hao TBC wana FB page,wana twitter Account na IG Account,kote huko unaweza kuweka comment utakavyo.Au kwako wewe swala la 'website' pekee ndiyo linakufanya uone RT iko huru [emoji3]
Kuna mmoja ameuliza TBC wapo na ripota japo burundi tu!?
Comrade, BBC, DW, CGTN zote hizo ni state owned.

Mbeleni tutaanza kuongelea issue za kuwa zinafanana kwakuwa MD ni wanaume. Comrade wangu tuongee facts.
 
BBC, CGTN, DW nk nazo ni state controlled. Kwaheri ya kuonana, huna point. Bye bye
Huwezi kuona point yangu kwa sababu unatatarika na kitu tofauti kabisa,hata RT awe na Reporters dunia nzima bado ni chombo cha serikali ya Russia.Kwa heri siku nyingine usirukie mambo,maana ulinijia kwa kasi kama ya Faru John aliyekoswa na risasi. Wasalimie kiziba[emoji846]
 
Comrade, mbona upo too defensive? Hii ni open discussion. Wapo wanajifunza kupidia discussions hizi. Wala hatutafuti nani mshindi but fuacts. Issue ya kiuchumi umeianzisha wewe.
Ukisema RT wanawazidi kidogo TBC.

Comrade nilikuwa na kuonesha siyo kidogo bali TB wamezidiwa mbaaaaaaali mno na RT kama unataka kuringanisha state owned media linganisha RT na CGTN, BBC, aljazeera, DW etc. But not TBC.

HUO SIYO UUNGWANA. TBC linganisha UBC, BUKELE, MALAWI NEW etc.
Unajua kwann hamuelewani na Nyamizi ,Yeye anasema kuwa RT na TBC ni state controlled media ndo maana haoni tofauti. Hajajikita kwenye ukubwa na udogo wa bajeti au uwezo wa kusambaa duniani. Wewe unamuonyesha kuwa ni kubwa kuliko TBC interms of budget na uwezo wa kusambaa duniani badala ya kumuonyesha kuwa ni Taasisi huru na si state controlled kama anavyoamini.

Ili akubaliane na wewe muonyeshe kuwa ni independent entity kwa mifano ya habari ambazo only independent media inaweza kutangaza ndani ya Urusi.
 
The first joint urban training of parade crews and a mechanized column of the Victory Parade took place in Khabarovsk

▫️ In the first rehearsal, the legendary T-34 and IS-3 tanks, the ISU-152 St.

📊 In total, more than 110 types of weapons, military and special equipment are involved in the parade.

#Ministry of Defense #May 9 @mod_russia
 
Huwezi kuona point yangu kwa sababu unatatarika na kitu tofauti kabisa,hata RT awe na Reporters dunia nzima bado ni chombo cha serikali ya Russia.Kwa heri siku nyingine usirukie mambo,maana ulinijia kwa kasi kama ya Faru John aliyekoswa na risasi. Wasalimie kiziba[emoji846]
Kwa namna yoyote ile. Mtu mwenye akili timamu hawezi kulinganisha TBC na RT.
Unataka kutuambia eti kwasababu kiboko na mamba wanaishi majini basi ni samaki.
 
Huwezi kuona point yangu kwa sababu unatatarika na kitu tofauti kabisa,hata RT awe na Reporters dunia nzima bado ni chombo cha serikali ya Russia.Kwa heri siku nyingine usirukie mambo,maana ulinijia kwa kasi kama ya Faru John aliyekoswa na risasi. Wasalimie kiziba[emoji846]
Lakini umeulizwa DW, ALJAZEERA,BBC nazo ni state owned/controlled media!!?? Tofauti zao kusifia Serikali zao Zina utofauti Gani na hao RT na TBC!!??
 
Unajua kwann hamuelewani na Nyamizi ,Yeye anasema kuwa RT na TBC ni state controlled media ndo maana haoni tofauti. Hajajikita kwenye ukubwa na udogo wa bajeti au uwezo wa kusambaa duniani. Wewe unamuonyesha kuwa ni kubwa kuliko TBC interms of budget na uwezo wa kusambaa duniani badala ya kumuonyesha kuwa ni Taasisi huru na si state controlled kama anavyoamini.

Ili akubaliane na wewe muonyeshe kuwa ni independent entity kwa mifano ya habari ambazo only independent media inaweza kutangaza ndani ya Urusi.
So ninakuuliza na wewe. BBC, DW, CGTN, Aljazeera siyo state owned!?
 
Unajua kwann hamuelewani na Nyamizi ,Yeye anasema kuwa RT na TBC ni state controlled media ndo maana haoni tofauti. Hajajikita kwenye ukubwa na udogo wa bajeti au uwezo wa kusambaa duniani. Wewe unamuonyesha kuwa ni kubwa kuliko TBC interms of budget na uwezo wa kusambaa duniani badala ya kumuonyesha kuwa ni Taasisi huru na si state controlled kama anavyoamini.

Ili akubaliane na wewe muonyeshe kuwa ni independent entity kwa mifano ya habari ambazo only independent media inaweza kutangaza ndani ya Urusi.
Akishindwa kuelewa hata hii comment yako basi tena nitakuwa nimenyoosha mikono juu.
 
Unajua kwann hamuelewani na Nyamizi ,Yeye anasema kuwa RT na TBC ni state controlled media ndo maana haoni tofauti. Hajajikita kwenye ukubwa na udogo wa bajeti au uwezo wa kusambaa duniani. Wewe unamuonyesha kuwa ni kubwa kuliko TBC interms of budget na uwezo wa kusambaa duniani badala ya kumuonyesha kuwa ni Taasisi huru na si state controlled kama anavyoamini.

Ili akubaliane na wewe muonyeshe kuwa ni independent entity kwa mifano ya habari ambazo only independent media inaweza kutangaza ndani ya Urusi.
@Jesus Mlokozi kuna mdau hapa amesaidia kukuwekea katika maneno rahisi sana.Kama hutoelewa tena basi hakuna haja ya kukesha tunabishana
 
Unadhani sikuelewi unachoongea na unadhani sijakujibu!? Nimekuuliza kwa mantic hiyo Tofauti ya TBC, BBC, DW, CGTN, Aljazeera na RT ni nini!?
Basi zote ziweke kwenye kapu moja.

Screenshot_20220430-092825.png

A statutory corporation is a government entity created as a statutory body by statute.
 
Kama source ni RT hiyo kwangu na propaganda za kikomunist ambazo siku zote hazina mashiko yoyote.Tatizo lenu huwa mnakaa na serikali za vichwa vyenu,mnajadiliana matamanio yenu vile mlipenda iwe kisha mnakuja kuyabandika hapa,wakati kwenye uhalisia hakuna kitu kama hicho.Kwanza hangaikeni na Ukraine iliyowashinda mpaka sasa kabla hamjaanza kutatarika na hayo mengine.
Ngoja tukuwekee unacho kiamini.
Screenshot_20220430-093224.jpg

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom