Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuegemea upande wa serikali haimaanishi ya kwamba wana ripoti uongo bali wanalipoti habari ambazo ni kweli lakini zenye manufaa kwa wamiliki wao na kuzifinya zile ambazo ni kweli lakini si nzuri kwa maslahi ya wamiliki wake.

Hata TBC hawawezi kujitungia habari au uongo ili kuifurahisha serikali ,bali huwa wanachuja habari za kweli wana chukua zile ambazo ni chanya kwa wamiliki wao na zile ambazo ni hasi kwa wamiliki wao wanajifanya hawazioni.
Na hii ni kwa vyombo vyote vya habari dunia nzima.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Hapa kuna trend ya watu wenye mlengo wa Putin kuita kila habari inayotoka kwa BBC,DW and the likes kuwa ni "propaganda za west" lakini watu hao hao wanataka tuamini kile kinachoreportiwa na RT kwa asilimia 100.Kwa muktadha huo basi kumbe na BBC huwa wanareport habari sahihi kabisa na wanaminya zisizo sahihi kwa mujibu wa comment yako.Sitegemei tena nikute unaita habari kutoka BBC kuwa ni propaganda tena .
 
Hii ingeandikwa na Sputnik ama RT ingeitwa Russia Propaganda sasa kwa hapa sijui tuiite vipi
Screenshot_20220430-100550-02.jpg
[emoji96] Sanctions worked so well that the Russian economy grew in the 1st quarter & the American economy shrank.
 
Hata TBC1 wana huo utaratibu wa kujadiliana na kukosoa katika mitandao yao.Hakuna ukweli wowote kwenye state controlled media na hasa za kikomunist utaupata ulio against Serikali zao.
Kwa hiyo, unataka tuanze kutazama na kusoma mtandao wa Swahili, Global, Ayo, Michuzi, Mjengwa, Bukkede, Citizen, Omukasese, Al Nuur, Cheewa, CNN, NBS, SkyNews, the Sun na kadhalika ili tupate habari za uhakika kutoka Ukraine???

Upo serious kabisa kabisa kutushauri sisi hivi?
 
Hapa kuna trend ya watu wenye mlengo wa Putin kuita kila habari inayotoka kwa BBC,DW and the likes kuwa ni "propaganda za west" lakini watu hao hao wanataka tuamini kile kinachoreportiwa na RT kwa asilimia 100.Kwa muktadha huo basi kumbe na BBC huwa wanareport habari sahihi kabisa na wanaminya zisizo sahihi kwa mujibu wa comment yako.Sitegemei tena nikute unaita habari kutoka BBC kuwa ni propaganda tena .
Nyamizi hakuna mtu aliyekuambia uamini news za RT. Hebu tuambie ni nani kasema hivyo.

BBC hata kwenye IG, Tweeter wanashambuliwa kwa kutoa taarifa za uongo. Hata BBC swahili watanzania wanawashambulia.

Nenda tweeter kajionee BBC swahili.
 
Hapana mimi siku hizi nimejifunza kutoka kwako,nikiona tunabishana tu bila logic tena namwacha yeye awe mshindi.Nionee huruma au unataka nikeshe nabishana mkuu kwa vitu ambavyo viko wazi [emoji3][emoji3]
😀. Unaona isiwe tabu, Yaishe.
 
Kwa hiyo, unataka tuanze kutazama na kusoma mtandao wa Swahili, Global, Ayo, Michuzi, Mjengwa, Bukkede, Citizen, Omukasese, Al Nuur, Cheewa, CNN, NBS, SkyNews, the Sun na kadhalika ili tupate habari za uhakika kutoka Ukraine???

Upo serious kabisa kabisa kutushauri sisi hivi?
Hiyo umejishauri mwenyewe Mkuu
 
Baada ya ubishi wa muda mrefu leo raisi Zelensky amekubali kwamba hali ya ya masmapigano maeneo ya mashariki imekuwa tete upande wao. Kwa kauli yake amesema kwa sasa wanapigania roho zao,
Hapo jana msemaji wa kituo kimoja cha habari cha Urusi aliainisha muda ambao kombora la nyuklia kutoka Urusi linaweza kuzifikia nchi kadhaa za Ulaya hasa UK na kwamba ni sekunde 106 tu chini ya dakika mbili.Tishio hili huenda limepunguza kasi ya mataifa hayo kumchochea Zelensky kuendelea na vita.


1651302662469.png
 
Dah!! Unaleta news ya 2016 miaka sita iliyopita. Si mchezo

Putin: Russia respects U.S. as world's "only superpower"​

JUNE 17, 2016 / 4:28 PM / CBS/AP
Kwani ikiwa 2016 ina maana ya kuwa ni uongo sasa? Kwa hiyo unakubali kuwa mwaka 2016 US alikuwa the only super power? Kimebadilika nini tangu 2016 kumuondoa hapo?
 
Baada ya ubishi wa muda mrefu leo raisi Zelensky amekubali kwamba hali ya ya masmapigano maeneo ya mashariki imekuwa tete upande wao. Kwa kauli yake amesema kwa sasa wanapigania roho zao,
Hapo jana msemaji wa kituo kimoja cha habari cha Urusi aliainisha muda ambao kombora la nyuklia kutoka Urusi linaweza kuzifikia nchi kadhaa za Ulaya hasa UK na kwamba ni sekunde 106 tu chini ya dakika mbili.Tishio hili huenda limepunguza kasi ya mataifa hayo kumchochea Zelensky kuendelea na vita.


View attachment 2205770
Vita ni mbaya sana. Mwenyezi Mungu wakumbuke watu wanaoteseka kwenye vita hivi
 
kituo kimoja cha habari cha Urusi aliainisha muda ambao kombora la nyuklia kutoka Urusi linaweza kuzifikia nchi kadhaa za Ulaya hasa UK na kwamba ni sekunde 106 tu chini ya dakika mbili.Tishio hili huenda limepunguza kasi ya mataifa hayo kumchochea Zelensky kuendelea na vita.
Kwani wao hawana izo nuc weapons? Au hawana uwezo wa kuzifikisha hapo urusi?

Kwa akili ya kawaida tu nchi za ulaya na Urusi wapigane kwa nuclear nani atadhoovishwa?
 
Back
Top Bottom