Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kamanda wa Garison inayotetea jiji la Mariupol ambalo limehatekwa na Urusi amemuomba raisi Erdogan wa Uturuki asaidie kuokoa kikosi chake pamoja na raia walijificha pamoja nae ili waende Uturuki wakiwa salama.Katika barua yake hiyo kwa njia ya mtandao wa kijamii kamanda Serhii Volynsky amesema jeshi la Uvamizi la Urusi limewazingira na bado linaendelea kuwashambulia yeye na kikosi chake cha wanajeshi 600. Amesema wameishiwa na chakula na kumejaa majeruhi miongoni mwa askari na raia wakiwemo watoto wachanga. Ameongeza kwamba wamekuwa katika mapigano kwa takriban siku 65 sasa.
View attachment 2205837
Acha wafe UMBWA hao ila hao watoto sasa dah[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Baada ya ubishi wa muda mrefu leo raisi Zelensky amekubali kwamba hali ya ya masmapigano maeneo ya mashariki imekuwa tete upande wao. Kwa kauli yake amesema kwa sasa wanapigania roho zao,
Hapo jana msemaji wa kituo kimoja cha habari cha Urusi aliainisha muda ambao kombora la nyuklia kutoka Urusi linaweza kuzifikia nchi kadhaa za Ulaya hasa UK na kwamba ni sekunde 106 tu chini ya dakika mbili.Tishio hili huenda limepunguza kasi ya mataifa hayo kumchochea Zelensky kuendelea na vita.


View attachment 2205770

Mkuu Samahani sio tishio hiyo ni serious ishu na Putin hatanii kuna mtu atakula kombora na hakuna watakachofanya tena Poland itakua ya kwanza kula kombora
 
Kumekucha, urussi imekunja mkia na kulipa madeni yake kwa dollar. Yajayo yanafurahisha

Russia looks to have averted a historic sovereign default on Friday by tapping its domestic reserves and attempting to make overdue dollar payments on its international debt obligations.



Earlier Friday, Russia's Finance Ministry said that it had attempted the dollar payments — a dramatic U-turn after the country had previously sought to make the payments on its dollar-denominated bonds in Russian rubles.



The ministry said it had made a payment of $564.8 million on a 2022 eurobond and a payment of $84.4 million on a 2042 eurobond, according to Reuters, with both in dollars — which was originally stipulated in the debt agreements.
 
Swali:- Urusi mpaka sasa ametumia makombora mengi Ukraine na anaendelea kutumia Makombora, vifaru na silaha nyingine Ukraine.

Sio kwamba NATO wanamsubiria Urusi silaha zake zipungue ghalani ndio waingie kwenye vita kwa maana hatakuwa na nguvu kubwa ya silaha?

Je mahitaji ya vita UKRAINE yanaenda na uzalishaji wa haraka na wingi wa silaha Urusi?

Mkuu upo sawa? Russia katumia kombora au mifano ya kombora?? Ukitaka kujua maana ya kombora subir NATO waingie ndo utajua kombora ni nini.
 
Kumekucha, urussi imekunja mkia na kulipa madeni yake kwa dollar. Yajayo yanafurahisha

Russia looks to have averted a historic sovereign default on Friday by tapping its domestic reserves and attempting to make overdue dollar payments on its international debt obligations.



Earlier Friday, Russia's Finance Ministry said that it had attempted the dollar payments — a dramatic U-turn after the country had previously sought to make the payments on its dollar-denominated bonds in Russian rubles.



The ministry said it had made a payment of $564.8 million on a 2022 eurobond and a payment of $84.4 million on a 2042 eurobond, according to Reuters, with both in dollars — which was originally stipulated in the debt agreements.

Bora amekumbuka kulipa madeni ya watu Russia sio mwizi kama hao west. Hii inaonesha jamaa kwao dhuluma hazina nafasi. GOD BLESS RUSSIA. Unataarifa mmeanza kulipa kwa ruble nishati ya Russia??
 
Swali:- Urusi mpaka sasa ametumia makombora mengi Ukraine na anaendelea kutumia Makombora, vifaru na silaha nyingine Ukraine.

Sio kwamba NATO wanamsubiria Urusi silaha zake zipungue ghalani ndio waingie kwenye vita kwa maana hatakuwa na nguvu kubwa ya silaha?

Je mahitaji ya vita UKRAINE yanaenda na uzalishaji wa haraka na wingi wa silaha Urusi?
Jibu:- URUSI ametumia makombora mengi lakini naamini kwamba aliishajipanga na hili jambo miaka yakutosha huko nyuma juu ya hili

RUSSIA kupungua ama kuishiwa na silaha kwa hii OP anayoendelea nayo yaani musahau tena musahau kabisaaa kwamba RUSSIA yupo kwenye top5 yakuuza silaha nje ya taifa lake halaf aishiwe na silaha kwa mwaka mmoja ama miwili ama mitatu yaani hii ishu hatakama itadumu miaka kumi RUSSIA sio kwakuishiwa silaha kwa hili halipo kabisa na tusahau

Kwenye hili lakuzalisha silaha kwenye hii OP wala sina shaka na RUSSIA anasilaha zakutosha kabisa
RUSSIA alijiandaa na hili jambo hakukurupuka RUSSIA anavyombo vyausalama makini na vibobevu jamaa hawa naamini walijiandaa toka mshirika wao kuondolewa 2014 nakabla ya hapo
Na jamaa naamini walipiga hesabu za muda mfupi nafaida na hasara zake pia walipiga hesabu zamuda mrefu na faida na hasara zake
Pia jamaa walijua kama NATO wataungana direct ama in direct najamaa walijipanga kwa hili
Shida nikwamba tunaaminishwa RUSSIA nikama vile ZIMBABWE au SOMALIA ila RUSSIA ni GIANT
Kwa hali inayoendelea kwenye hii OP kwavikwazo alivyopigwa RUSSIA na misaada anayopata UKRAINE kama RUSSIA angekua hajajiandaa kama wengi ikiwemo wewe mnavyodhania RUSSIA ingekua ishaanguka maana hata hao wanajeshi asingeweza tena kuwalipa na silaha angekua hana tena miezi mitatu sio kidogo Ujue
Mwisho:-hao wanaomchangia UKRAINE silaha kwasasa nawao wanapoteza maana kwasasa wanatoa silaha kwa ihsani ama kutegemea RUSSIA ashindwe ili baadae warejeshe chao
Swali je atashindwa na je atashindwa kama walivyo ama wanavyotarajia
Tuupe muda nafasi ila mie naamini mambo mawili kuhusu hii OP
Moja naamini RUSSIA kwauchache kuhusiana na hii OP alijiandaa kwauchache tokea mwaka 2014 baada ya mshirika wake kuangushwa kwauchache sasa kama kazidi hapa kujiandaa
Mbili naamini baada ya hii OP nikwamba tutashuhudia mabadiliko mengi sana hapa ulimwenguni kuna mataifa yatatajirika sana mengine yatafilisika sanaa mengine mapya yatazaliwa pia naamini kuna taasisi zitavunjika nakuzaliwa upya
Tatu naamini ushawishi wa RUSSIA utazidi kuongezeka na naamini ushawishi wa US na WESTERN wengine umepungua na utazidi kupungua Cash Money Forever ninavyoamini mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la kiamini au kutoamini ni utashi wa mtu binafisi maana hata usipo amini haliondoi ukweli wa hiyo habari.

Ni sawa na chombo cha habari kitangaze ya kwamba Magufuri alisha kufa sasa ww una uhuru wa kuiamini au kutoamini hiyo habari, lakini kivyovyote vile kuamini kwako au kutoamini kwako hakutabadilisha ukweli kuwa JPM kaisha kufa.

Na ndio maana kuna vyombo vya habari vyenye mlengo tofauti ili ukitilia shaka habari kutoka chombo cha mlengo fulani basi nenda kaitafute taarifa hiyo kwenye chombo cha habari cha mlengo mwingine.

Na ndio maana baada ya ww kukataa kuamini habari ya RT nikakuwekea habari kama hiyo kutoka BBC chombo chenye mlengo tofauti na kile usicho kiamini ili ulinganishe.



Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Yes swala la kuamini ni la mtu binafsi kinachoshangaza ni pale ninapoonyesha kutokuamini halafu mtu anatamani hata kupasua simu yake kwa jazba kutaka niamini kile alichoreport[emoji3],as long as tuko pande mbili tofauti za huu mgogoro,hatuwezi kukubaliana kwenye mambo kadhaa, na mimi ni muumini wa kukubaliana kutokubaliana,ndiyo maana ya hii forum,hatuwezi sote kuwa na mawazo sawa.
 
Marekani mwaka huu haipumui...mahasimu wake watatu, North Korea, Russia na China wanaipeleka Marekani mperampera ktk tech za kisasa...

Baada ya Russia, China na North Korea kufanikisha ktk tafiti zao za kutengeneza makombora ya haipasoniki huku Marekani ikiachwa mbaali ikimbwelambwela....jana Russia na China kila moja imetupia mavitu yake ya maana kwenye anga la mbali la Dunia, utadhani waliambiana vilee!

SmartSelect_20220430-123917_Chrome.jpg
SmartSelect_20220430-123644_Chrome.jpg
 
Kumekucha, urussi imekunja mkia na kulipa madeni yake kwa dollar. Yajayo yanafurahisha

Russia looks to have averted a historic sovereign default on Friday by tapping its domestic reserves and attempting to make overdue dollar payments on its international debt obligations.



Earlier Friday, Russia's Finance Ministry said that it had attempted the dollar payments — a dramatic U-turn after the country had previously sought to make the payments on its dollar-denominated bonds in Russian rubles.



The ministry said it had made a payment of $564.8 million on a 2022 eurobond and a payment of $84.4 million on a 2042 eurobond, according to Reuters, with both in dollars — which was originally stipulated in the debt agreements.
Watapita hapa kimya kimya wazee wa kutoa povu muda wote[emoji3]
 

Putin would prefer nuclear strike to defeat Ukraine, says Russian state TV chief​


  • Vladimir Putin

    Vladimir Putin
    President of Russia
  • Margarita Simonyan
    Russian journalist

Editor of state broadcaster Russia Today Margarita Simonyan claimed Vladimir Putin would rather hit the nuclear button than lose the Ukraine war. (PA/RT)

Editor of state broadcaster Russia Today Margarita Simonyan claimed Vladimir Putin would rather hit the nuclear button than lose the Ukraine war. (PA/RT)More
Vladimir Putin is more likely to push the nuclear button than lose the war in Ukraine, one of his chief propagandists has claimed.
Margarita Simonyan, editor of state broadcaster Russia Today, said during an appearance on TV that it was "more probable" the Russian president would turn to his nuclear arsenal than admit defeat.

Simonyan, one of the primary mouthpieces for the Kremlin, said: "Either we lose in Ukraine, or the Third World War starts. I think World War Three is more realistic, knowing us, knowing our leader.
ADVERTISEMENT

"The most incredible outcome, that all this will end with a nuclear strike, seems more probable to me than the other course of events."
In an apparent attempt to rationalise the rhetoric, Simonyan added: "We're all going to die one day."
"This is to my horror on one hand," she told her fellow guests.
"But on the other hand, it is what it is. We will go to heaven, while they will simply croak... We're all going to die someday."
Read more: Russia warns UK it could launch military strikes on British soil
Margarita Simonyan said

Margarita Simonyan said 'we will all die someday' when talking about the possibility of nuclear war. (RT)More
Her comments follow an increase in rhetoric about nuclear war in recent days coming out of the Kremlin.

On Wednesday, Putin appeared to reference Moscow's nuclear capabilities in a warning to the West in which he said "all the objectives will definitely be carried out" and any country that tried to "interfere" in the conflict would face "quick" retaliation.
"We have all the tools for this, things no one else can boast of having now. And we will not boast, we will use them if necessary. And I want everyone to know that," he said.
"If someone intends to intervene in the ongoing events from the outside, and create strategic threats for Russia that are unacceptable to us, they should know that our retaliatory strikes will be lightning-fast," he told Russian lawmakers.
Last week, Russia test-launched its Sarmat intercontinental ballistic missile, which would be a new addition to its nuclear arsenal.
The missile was launched from Plesetsk in the northwest of Russia, and hit a target in the eastern Kamchatka Peninsula.
Putin claimed the "successful" test would give "food for thought" for any nation which issues a threat.
MOSCOW, RUSSIA - APRIL 26: (----EDITORIAL USE ONLY â MANDATORY CREDIT -

She said it would be 'more realistic' Putin would opt for World War Three than admit defeat. (Getty)More
Putin and his allies in the Kremlin have issued a number of nuclear threats in recent weeks, and in April it was reported that Kremlin officials were becoming "increasingly" worried Putin could use limited nuclear weapons as part of Russia's invasion of Ukraine.
The director of the CIA also said Putin could turn to using a tactical or low-yield nuclear weapon out of "potential desperation” to claim a small victory.
On Monday, Russian defence minister Sergei Lavrov said there was a "real danger" of the conflict slipping into a third world war, and said Russia viewed Nato as being “in essence” engaged in a proxy war as sovereign nations are supplying Ukraine with weapons.
 

​

It seems a pretty desperate plan is being organized to free the Azov fighters and NATO mercs trapped at the Azovstal steel plant in Mariupol.Plans are underway by NATO and Ukranian forces to attack Transnistria and capture Russian Army personnel.​

But these must be in sufficient numbers so that they may be enough as an exchange bargain for the prisoners trapped at the Plant.This move however will only work if Russia does nothing,but Russia is already NOT doing "nothing!"​

The move against Transnistria makes it crystal clear that NATO is utterly desperate to get its people,whoever they may be,out of Azovstal.​

Now let me introduce Transnistria. It's a place you'll be hearing a lot about shortly.​


Allow me to introduce . . . Transnistria.  It's a place you'll be hearing a lot about shortly

The ongoing hostilities between Ukraine and Russia are about to expand into a tiny sliver of land called Transnistria. Officially the Pridnestrovian Moldavian Republic (PMR), it is an unrecognized breakaway state that is internationally recognized as part of Moldova.
Transnistria controls most of the narrow strip of land between the Dniester river and the Moldovan–Ukrainian border, as well as some land on the other side of the river's bank. Its capital and largest city is Tiraspol.
Transnistria has been recognized only by three other unrecognized or partially recognized breakaway states: Abkhazia, Artsakh and South Ossetia.
Transnistria is officially designated by the Republic of Moldova as the Administrative-Territorial Units of the Left Bank of the Dniester (Romanian: Unitățile Administrativ-Teritoriale din stînga Nistrului) or as Stînga Nistrului ("Left Bank of the Dniester") under Russian military occupation.
The region's origins can be traced to the Moldavian Autonomous Soviet Socialist Republic, which was formed in 1924 within the Ukrainian SSR. During World War II, the Soviet Union took parts of the Moldavian ASSR, which was dissolved, and of the Kingdom of Romania's Bessarabia to form the Moldavian Soviet Socialist Republic in 1940.
The present history of the region dates to 1990, during the dissolution of the Soviet Union, when the Pridnestrovian Moldavian Soviet Socialist Republic was established in hopes that it would remain within the Soviet Union should Moldova seek unification with Romania or independence, the latter occurring in August 1991.
Shortly afterwards, a military conflict between the two parties started in March 1992 and concluded with a ceasefire in July that year.
As part of the ceasefire agreement, a three-party (Russia, Moldova, Transnistria) Joint Control Commission supervises the security arrangements in the demilitarized zone, comprising 20 localities on both sides of the river. Although the ceasefire has held, the territory's political status remains unresolved: Transnistria is an unrecognized but de facto independent presidential republic with its own government, parliament, military, police, postal system, currency, and vehicle registration.
Its authorities have adopted a constitution, flag, national anthem, and coat of arms. After a 2005 agreement between Moldova and Ukraine, all Transnistrian companies that seek to export goods through the Ukrainian border must be registered with the Moldovan authorities. This agreement was implemented after the European Union Border Assistance Mission to Moldova and Ukraine (EUBAM) took force in 2005. Most Transnistrians have Moldovan citizenship, but many also have Russian, Romanian, or Ukrainian citizenship. The main ethnic groups are Russians, Moldovans/Romanians, and Ukrainians.
Transnistria, along with Abkhazia, South Ossetia, and Artsakh, is a post-Soviet "frozen conflict" zone. These four partially recognized states maintain friendly relations with each other and form the Community for Democracy and Rights of Nations.
THE "WAR" IN UKRAINE IS NOW ENSNARING TRANSNISTRIA
Over the past few days, there have been a series of explosions in Transnistria. Russian soldiers there are on a war footing now, Moldova is also on a war footing.
There is a gigantic arsenal of Russian military weapons stored in Transnistra; weapons that Ukraine would like to get their hands on now that Russia has smashed most of Ukraine's military.
Those weapons supplies would vastly improve Ukraine's ability to defend Odessa from the approaching Russian Army.

A critical bridge was taken out last night with a missile attack, cutting off a supply route from Moldova to Odessa, Ukraine. A train full of gasoline tankers crossing that bridge was destroyed.

Civilians in Transnistra are now high-tailing-it out, trying to cross the border into nearby Moldova. There are huge traffic jams at all border crossings. Moldova, in the meantime, is setting-up police checkpoints to check everyone entering the country.
RUMORS (unconfirmed at the publication of this story) say Romanian Troops have entered Moldova, and been given Moldova Military uniforms to pose as Moldova troops.
Romania is now a member of NATO.
So it is beginning to look as though trouble is being deliberately started by NATO, through Moldova, against Russian-controlled Transnistra, over Ukraine. How's THAT for convoluted?
Incidentally, if Romania troops, pretending to be Moldova troops, attack any Russian military in Transnistra, then "NATO" will have "attacked" Russia, and "it's on like Donkey Kong."

UKRAINE LOOKING FOR HOSTAGES TO "TRADE" FOR AZOV NAZIS IN MARIUPOL
Ukrainian journalist Yuri Butusov described what's really going on:
"I am convinced that in order to save Mariupol, it is necessary to hit Transnistria.

There is only one chance left to save Mariupol."


Butosov gives 6 reasons (see above article) but the first is:

- capturing many thousands of Russian military for exchange.


HAL TURNER ANALYSIS

Seems like a pretty desperate plan but what he intends is that Ukraine must capture Russian military, in sufficient numbers that they have enough prisoners to offer an exchange for the people trapped at Azovstal steel plant in Mariupol.

He envisages that Ukraine would then hand over Transnistria to Moldova.

This plan will work perfectly, so long as Russia does nothing... except Russia is already NOT doing "nothing."

This move against Transmistra makes crystal clear that NATO is utterly desperate to get its people out of Azovstal.
They know to an absolute certainty that If NATO troops are captured inside the Azovstal Steel Mill, having fought side-by-side with Ukraine against Russia, then Russia will have iron clad proof that NATO has literally waged actual war against Russia and it's "game on because NATO attacked."
 

‼️🚀The Russian army destroyed the command posts of the Armed Forces of Ukraine with Iskander missiles.

Intelligence discovered and established the location of the command posts of the military formations of the Armed Forces of Ukraine. After the information was confirmed, a missile strike was launched at the command posts by the Iskander operational-tactical complex.
 
Back
Top Bottom