Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

We huna akili kumbe,sehemu ya nchi yoyote ikipiga Kura kujitenga,inatambuliwa kama nchi huru,refer S.sudan. Hayo majimbo ndo yameenda Urusi na hayatarudi tena Ukraine.
Hayatarudi kweli.Ni ngawira muhimu sana ile kwa Urusi kuteka roho ya Ukraine.Ukanda wa bahari alikokuwa akisafirishia ngano na vyuma ukishaingia mikononi mwa Urusi hata nyuklia atatumia usirudi tena mikononi mwa NATO.Na Ukraine haitaendelea kuwepo.
 
🇷🇺🇨🇳The export of Russian gas to China through the Power of Siberia gas pipeline has increased by almost 60% in January-April compared to the same period last year, Gazprom says.
Iwapo taifa dogo kama Iran na Marekani ameshindwa ujanja kulizuia lisiuze mafuta yake itakuwaje kwa Urusi. Wale wamepeleka mafuta Venezuela kwa meli na wamefanikiwa itakuwa gesi ya Urusi ambayo iko kwenye mabomba kupitia nchi mbali mbali.Hadi utumia satelite ndio ujuwe kuwa yanatiririka au yamesimama.
 
Ghanima
IMG_20220501_141538.jpg
 
Uwezi kuwapa watu uhuru kwa operation mbuzi sheria za kimataifa zipo.Nikama wewe uchukue shmba langu kwa nguvu au amini alivyotaka Mtukula na kuivamia Tz .Haijawahi kufanikiwa duniani

Sheria za kimataifa zinawork kwa nchi maskini kwa nchi yenye nguvu hazina nguvu. Ni marangapi US amevunja sheria?? ni hatua zipi zilichukuliwa??. Huo ukanda wote utabebwa na hakuna watakachofanya kwanza wameanza kupiga kura kujitoa na Ukraine una hio habari dada
 
🇬🇧🇺🇦 Briefing of the Russian Ministry of Defense (01.05.2022)

▫️ The Armed Forces of the Russian Federation continue a special military operation in Ukraine.

💥 Onyx high-precision missiles near Odessa at a military airfield destroyed a hangar with weapons and ammunition received from the United States and European countries, and also destroyed the runway.

💥 High-precision air-based missiles of the Russian Aerospace Forces hit seven military facilities in Ukraine. Among them: four areas of concentration of manpower and military equipment, as well as three depots of rocket and artillery weapons and ammunition in the areas of the settlements of Berezovoe of the Donetsk People's Republic, Slatino and Barvenkovo, Kharkiv region.
💥 Operational-tactical and army aviation of the Russian Aerospace Forces destroyed two Ukrainian S-300 anti-aircraft missile systems in the areas of the settlements of Zaporozhye and Artemovsk. Two depots of ammunition and fuel were hit in the areas of the settlements of Privolnoe and Shevchenko in the Zaporozhye region, as well as fifteen strongholds and areas of concentration of manpower and equipment. As a result of the strikes, up to 140 personnel and 19 armored vehicles of the Armed Forces of Ukraine were destroyed.

💥 During the day, missile forces and artillery hit 786 areas of concentration of manpower and military equipment of the Armed Forces of Ukraine, 24 command posts and three depots of rocket and artillery weapons and ammunition in the Grushevakha area. Up to 200 personnel, a battery of multiple rocket launchers and up to 20 units of military equipment were destroyed.
💥 Russian air defense systems shot down two Su-24M bombers of the Ukrainian Air Force in the Petrivske area of the Kharkiv region. Also during the night, 12 Ukrainian unmanned aerial vehicles were destroyed in the areas of the settlements of Mezhevaya, Novobogdanivka, Mirograd, Shirokaya Balka, Priyutnoye, Torskoye, Staromikhaylovskaya, Balakleya and Khartsizsk. Two Ukrainian Tochka-U ballistic missiles were shot down over the settlement of Tokmak, Zaporozhye region. Also, two Ukrainian rockets of the Smerch multiple launch rocket system were destroyed over the settlement of Semyonovka, Kharkiv region.

📊 In total, since the beginning of the special military operation, the following have been destroyed: 145 aircraft, 112 helicopters, 672 unmanned aerial vehicles, 281 anti-aircraft missile systems, 2703 tanks and other armored combat vehicles, 312 multiple rocket launchers, 1203 field artillery guns and mortars, as well as 2514 units of special military vehicles.

#Ministry of Defense #Russia #Ukraine @mod_russia
Hiyo ni safi sana.Yaani silaha nzito wanazozisifia Marekani na UK ambazo ni kodi za walalahoi wao zinaishia kuwa majivu kabla hazijafika mikononi mwa Ukraine.Uwanja wa Donetsk haufai tena.
 
[emoji635][emoji631][emoji298]Volodin stated that up to $500 billion worth of Western assets were blocked on the territory of the Russian Federation, which counterbalances the $300 billion of Russian reserves blocked in the West.

In the event of the confiscation of the property of Russian oligarchs in the West, Russia will begin to confiscate the property of Western businesses in Russia.
Hii Post ya kushushia maji kabisa [emoji23]
08629d97280f61e85a41bd809673a5c2.jpg
 
Unawachanganya wenzako wanaosema Russia imeivamia Ukraine kwa sababu ilikuwa na mpango wa kujiunga na NATO na hivyo ingehatarisha usalama wake.
Kama vita unaweza kupigana kwa kufyatua vitufe tu basi NATO inaweza kufyatua makombora kutoka Poland, Ujerumani, Lithunia na Alaska.
Huelewei kuhusu vita dogo, unafikiri ni kama movies ulizozoea.
Kwa akili yako ndogo juu ya mambo ya kivita ndo unaona kama haiwezekani NATO kurusha makombora kutoka poland hadi Russia au Russia kurusha makombora hadi UK. Ila wenye uelewa na mambo ya vita hasa kwa ulimwengu wasasa haoni kama haiwezekani Russia kurusha kombora hadi UK na kinyume chake.

Halafu hiki kinachoendelea Ukraine ukiita ni vita nikuendelea kuonesha jinsi gani ulivyo mweupe juu ya mambo ya haya, hakuna vita inayopigwana kilele mama vile kwa kutoa msaada wa chakula na dawa kwa adui unayepigana nae.

Hii ni operation tu, full scale war ya kisasa hasa kwa nchi za ulaya siyo hata ya kuombea itokee maana madhara yake yatakukuta hadi huko kwenu Uvinza kigoma.
JamiiForums1182871545.jpg
 
Wewe jamaa vikosi vya russia vilizidiwa ndio maana vikarudi nyuma. Propaganda ndani ya uwanja wa medani ni lazima ziwepo ili kuframe ukweli unaoweza kuvunja morale ya askari walio ndani na nje ya uwanja wa vita. Kivy ndio main target ya Russia hilo liko wazi ndio maana sasa hivi inawekewa ulinzi mkubwa ili Russia akipiga changa la macho ashindwe kuadvance. Jiulize tu swali dogo tu, Russia with its military superioy anawezaje kupoteza askari miatano, kwa technology yake ameshindwa ku shut down mifumo ya ulinzi kisha kuteka miji bila upinzani wowote, ukiambiwa kuwa Russia inasonga mbele taratibu usikasilike maana Ukraine pia niwanaume wameamua kupambana sio kudharauliwa na Russia. Ukweli mchungu , Russia amecheza chini ya kiwango ameshindwa kumaliza mechi mapema
Alishindwa taarifa umezipata wapi!!?
Kumaliza OP ndani ya muda mfupi huo muda mfupi upoje !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako ndogo juu ya mambo ya kivita ndo unaona kama haiwezekani NATO kurusha makombora kutoka poland hadi Russia au Russia kurusha makombora hadi UK. Ila wenye uelewa na mambo ya vita hasa kwa ulimwengu wasasa haoni kama haiwezekani Russia kurusha kombora hadi UK na kinyume chake.

Halafu hiki kinachoendelea Ukraine ukiita ni vita nikuendelea kuonesha jinsi gani ulivyo mweupe juu ya mambo ya haya, hakuna vita inayopigwana kilele mama vile kwa kutoa msaada wa chakula na dawa kwa adui unayepigana nae.

Hii ni operation tu, full scale war ya kisasa hasa kwa nchi za ulaya siyo hata ya kuombea itokee maana madhara yake yatakukuta hadi huko kwenu Uvinza kigoma. View attachment 2207341
Hapo uvinza kigoma wasipapige makombora nina demu wangu mmoja hapo ana viuno hatari
 
[emoji635][emoji631][emoji298]Volodin stated that up to $500 billion worth of Western assets were blocked on the territory of the Russian Federation, which counterbalances the $300 billion of Russian reserves blocked in the West.

In the event of the confiscation of the property of Russian oligarchs in the West, Russia will begin to confiscate the property of Western businesses in Russia.
Duuuh
Safi sana hii[emoji4][emoji4][emoji4]

Hapa ndo unakuja kujua Russia ilivyo na vichwa smart, yani wazungu wameshikwa pabaya mno na Russia kuliko walivyoishika wao.

Hapo anasubiri tu watikise makalio wazipige mnada reserves zake nayeye azipige mnada reserves zao.

EU bila USA anaiogopa mno Urusi na USA bila NATO anaigopa mno Urusi.

Urusi imekuja kutufunulia mambo mengi sana sisi wamakonde wa nchi za dunia ya tatu hadi leo tumejua kuwa zaidi ya 60% ya uchumi wa nchi za EU upo mikononi mwa Mrusi.

Hakika Urusi siyo Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom