Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Law Makers wanachungulia Porn wakati wa kikao cha maamuzi... [emoji23] Hayo maamuzi yanayotolewa yatakuwa na sura gani [emoji847]View attachment 2206845Ukiangalia matendo ya hawa watu yanafanana kabisa na ya wafuasi wao... Nimemkumbuka yule mpiga nye** mchambuzi konki wa kivita...

Hii kweli mkuu hujakosea hata kidogo mulemule
 
Ukraine president says he met United States’ Pelosi in Kyiv​

Zelenskyy said he has held a meeting with US House of Representatives Speaker Nancy Pelosi in Kyiv and shared a video of her visit on Twitter.

Msafara wa km64 uliteketezwa vibaya
 
Majeshi ya ardhini ndio huwa yanashinda vita na kuchukua miji, uwezo wa jeshi la Urusi kupigana ardhini mbali na nchini kwake unazidiwa na maimami wa DR Congo ndio maana unaona amebaki kurusha makombora kiholela tu kutoka ardhini kwake.
Shida ya akili yako unafananisha vita vyenu vya Majimaji, MAUMAU na Tanzania vs Uganda (vilivyo tumia mapanga, mishale, upinde na magobole) na vita vya ulaya vinavyo tumia advanced military technology kama drones, tanks, fighting jets, ghost helicopter, hypersonic missiles and n.k.

Tatizo akili zenu zipo nyuma ya wakati wa dunia, mambo ya kupigana face to face yalikuwa ya enzi za kina kijengitile ngwale na kina mtwa mkwawa, huku tulipofikia mtu anaweza akawa anagawa dozi Africa halfu yeye yupo chumba cha operation North korea anakunywa chai huku akibofya batani moja hadi nyingine.

Mwisho: kutegemea jeshi la ardhini ndo likupe ushindi against drones, hypersonic missiles, propagated tanks, fighting jets na ghost helicopters ni ujinga na ujuha wa kiwango cha juu na utaishia kuwatoa kafara tu wapiganaji wako.
 
Kherson wanataka kupiga kura yakujitenga na UKRAINE
Sitaki kujua hilo eneo limetekwaje na RUSSIA
Mauriopol ipo chini ya RUSSIA sitaki kujua wameitekaje
Uwanda wapwani ukitoa ODESSA wote upo chini ya RUSSIA sijui wamryatekaje hayo maeneo
Endeleeni kua na subra ila UKRAINE inazidi kunyofolewa na kuungwa na RUSSIA na kuchipuka vitaiva vyengine chungu nzima
UKRAINE hautakua tena kama ile mlivyoidhania
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha watumue silaha ila mwisho wa siku Russia atateka miji yote kisha hizo silaha atazipokea na kuzitumia kuwafumua nazo hao hao akina NATO! RUSSIA sio Zimbabwe 😅
Brother vita ina maajabu yake ndio maana wakubwa wakatunga mpaka sheria zake ( rule of engagement ) . Russia richa ya kuwa na high military odds haimaanishi anaweza kushinda kirahisi kwenye territorial invasion. Marekani kuivamia Iraq alifanya reconnaissance kubwa still alipata casaulities wengi. I feel pity kwa askali wa Russia wanaoshiriki hii operation hata kama watashinda ila watukufa wengi sana maana ukraine nao sio wazembe. Kwa mfano mkiteka mji mkaanza kutesa, kuua na kubaka msitarajie vikosi vyenu vitapata control labda muamue kuingamiza kama yaliyotokea vita ya pili. Raia wanaweza kuwatrick wakawapa chakula chenye sumu au kutoa taarifa za kijasusi kwa vikosi pinzani. Russia in its military superiority msishangae taifa la wakulima kama ukraine limemtoa kamisi , operation ndani ya nchi ya watu ina risk kubwa unaweza usifikie lengo
 
Vita halisi ni tofauti sana na unachoona kwenye movies za 'kubonyeza tu button' watu wanakufa katika uwanja wa vita.

Halafu Putin tayari amekwishawatoa kafara wanajeshi wake 20,000 waliovamia kichwa kichwa huko Ukraine. Kafara gani zaidi wewe unayozungumzia??
Shida ya akili yako unafananisha vita vyenu vya Majimaji, MAUMAU na Tanzania vs Uganda (vilivyo tumia mapanga, mishale, upinde na magobole) na vita vya ulaya vinavyo tumia advanced military technology kama drones, tanks, fighting jets, ghost helicopter, hypersonic missiles and n.k.

Tatizo akili zenu zipo nyuma ya wakati wa dunia, mambo ya kupigana face to face yalikuwa ya enzi za kina kijengitile ngwale na kina mtwa mkwawa, huku tulipofikia mtu anaweza akawa anagawa dozi Africa halfu yeye yupo chumba cha operation North korea anakunywa chai huku akibofya batani moja hadi nyingine.

Mwisho: kutegemea jeshi la ardhini ndo likupe ushindi against drones, hypersonic missiles, propagated tanks, fighting jets na ghost helicopters ni ujinga na ujuha wa kiwango cha juu na utaishia kuwatoa kafara tu wapiganaji wako.
 
Makamanda wa Chechen wanaosaidia Urusi wanadondoshwa na UKRAINE kama kukubwa mdondo🤔
lieutenant colonel, battalion commander 11 btro 2 AK ROA
Mikhail Kishchik, "Chechen"
Alchevsk
died

S Screenshot_20220501-103057.png
Screenshot_20220501-103057.png
ubscribe | Bot to find your | Backup channel
 
Zipo sheria za kimataifa na uungwaji mkono wa mataifa mengi yanayofanya eneo litambulike kama nchi au ni eneo lako.Hivyo ndivyo Sudan Kusini ilivyokuwa nchi. Mpaka leo na kesho Luhansk, Donetsk na Crimea yanatambulika kama maeneo ya Ukraine.
"Global order" kati ya mataifa inaendeshwa kwa utaratibu maalum, sio huo wa Putin wa kuvamia nchi nyingine kisha kuandaa, kushurutisha na kusimamia kura za kujitenga
Kherson wanataka kupiga kura yakujitenga na UKRAINE
Sitaki kujua hilo eneo limetekwaje na RUSSIA
Mauriopol ipo chini ya RUSSIA sitaki kujua wameitekaje
Uwanda wapwani ukitoa ODESSA wote upo chini ya RUSSIA sijui wamryatekaje hayo maeneo
Endeleeni kua na subra ila UKRAINE inazidi kunyofolewa na kuungwa na RUSSIA na kuchipuka vitaiva vyengine chungu nzima
UKRAINE hautakua tena kama ile mlivyoidhania
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kherson wanataka kupiga kura yakujitenga na UKRAINE
Sitaki kujua hilo eneo limetekwaje na RUSSIA
Mauriopol ipo chini ya RUSSIA sitaki kujua wameitekaje
Uwanda wapwani ukitoa ODESSA wote upo chini ya RUSSIA sijui wamryatekaje hayo maeneo
Endeleeni kua na subra ila UKRAINE inazidi kunyofolewa na kuungwa na RUSSIA na kuchipuka vitaiva vyengine chungu nzima
UKRAINE hautakua tena kama ile mlivyoidhania
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameanza kutumia ruble kama hela yao pia kuongezea tu hapo
 
Kwenye siasa mambo yanabadilika sana, huyu ni Arestovich ambae hivi sasa ni mshauri wa Raisi, huyu Zelensky... Hii ilikuwa 2019 wakati analisema hili
View attachment 2206883
Kua "Only an idiot could have voted Zelensky in. 🤷‍♀️ Weak, with an easily manipulated ego" na sio kauli hizi tu zipo nyingi zaidi ya hivi ila kinachonishangaza hadi leo hii ni kitu kimoja.

ikawaje baada ya uchaguzi jamaa mdio akawa mshauri wa Raisi?

Kwa kauli yake hiyo naweza sema "Idiots vote for an Idiot advised by another Idiot"

Vile vile kuna hii video nyingine akidai kua "the national idea of Ukraine, one of the central idea is to lie as much as possible to ourselves and others, because if we tell truth, it will collapse and we would have to create something new... That's our unbalanced, contradictory foundation."
View attachment 2206893
Sasa kama hii ndio Mindset ya mshauri mkuu wa Comedian... Think Tank ya Shujaa mtu mbad kiboko ya Putin 🤗... Tutegemee nn?

Ase inahitaji upofu wa haja, na kujitoa akili kisawa sawa kuweza kunyanyua lips mbili za mdomo kutoa neno "Slava Ukraine"...
Political game is accompanying with lots of illusions. Take experience from our spiritual home kuna kiongozi flani aliimbwa Sana kama ni kubwa la mafisadi lakini kuna muda ulifika akasifiwa na kuimbwa kila kona kuwa ni mtu mzuri na msafi. Nivema ukitaka kujenga hoja weka hisia pembeni ili kuwa objective na wenzako wa enjoy mawazo yako. Aggressive character sio kitu cha kushabikia iwe kwa russia au mabeberu maana victim wakubwa ni grass root people. Brother, ungekuwa umeshasikia mlio hata wa RPG usingeona kwa kwamba ukraine anapaswa kupigwa
 
Shida ya akili yako unafananisha vita vyenu vya Majimaji, MAUMAU na Tanzania vs Uganda (vilivyo tumia mapanga, mishale, upinde na magobole) na vita vya ulaya vinavyo tumia advanced military technology kama drones, tanks, fighting jets, ghost helicopter, hypersonic missiles and n.k.

Tatizo akili zenu zipo nyuma ya wakati wa dunia, mambo ya kupigana face to face yalikuwa ya enzi za kina kijengitile ngwale na kina mtwa mkwawa, huku tulipofikia mtu anaweza akawa anagawa dozi Africa halfu yeye yupo chumba cha operation North korea anakunywa chai huku akibofya batani moja hadi nyingine.

Mwisho: kutegemea jeshi la ardhini ndo likupe ushindi against drones, hypersonic missiles, propagated tanks, fighting jets na ghost helicopters ni ujinga na ujuha wa kiwango cha juu na utaishia kuwatoa kafara tu wapiganaji wako.
warusi wa buza mna akili zaidi ya jeshi la Ukraine iliyokuwa kwenye field
 
Na alafu unatakiwa ujue kuwa kampuni kushirikiana na kampuni nyingine na jambo la kawaida katika biashara.hata KAMAZ truck sio sote ni made from Russia kwa 100%.zipo ambazo wamefunga engine kutoka kampuni zingine za nnje.ila gari zao karibu asilimia 90 kila spare ni made from russia.

Kamaz ni kampuni kubwa sana ya magari kwa ulaya.inauza magari ulaya na Asia.kwa mwaka inatengeneza Mabasi na Malori elfu 43. Achana na maneno ya kusikia ndugu.Urusi sio nchi ndogo

Kwani ya mashindano sio Kamaz?
images%20(22).jpeg
images%20(21).jpeg
images%20(25).jpeg
images%20(28).jpeg
images%20(26).jpeg
images%20(23).jpeg
 
Russia should mirror the confiscation of property and the freezing of its reserves abroad, says State Duma speaker Vyacheslav Volodin.

It is necessary to confiscate the assets of businessmen working in the Russian Federation from unfriendly countries. And the funds should be directed to the development of the country, he wrote in his telegram channel.
 
Kuna watu hadi Leo hawajawahi kujua kwa nini Russia ni threat 80% kwa USA kuliko China katika U super power hadi Leo.
Kwanza,Russia yupo vizuri kijeshi zaidi ya China kwa 95%,usipo kuwa na nguvu za kijeshi sio rahisi uwe super power wa dunia-unaweza ukaupata lakini unaweza ukatoweka muda wowote.Hivyo kwa USA Urusi ni hatari kwake kuliko China ndio maana anatumia njia zote za kijeshi kukabiliana naye kumzunguka na huwezi kuona anatumia hizo njia dhidi ya China maana anajua China sio chochote.

Pili,ni Rasilimali zinazoendesha Dunia-zaidi ya mataifa yote ulaya ambayo ndio mataifa tajiri zaidi Ulimwenguni yote yanamtegemea Urusi katika kuendesha Uchumi wa Nchi zao.Hivyo,ikitokea chochote ni rahisi Russia kuya control mataifa hayo Politically-ndio maana USA anafanya kila namna Russia asiwe na mahusiano mazuri ya kisiasa na hizo Nchi kwa kuwatishia kuhusu mambo ya Usalama. USA anajua fika ikiwa EU itakuwa na mahusiano mazuri ya kisiasa na Russia basi ni mwisho wa U super power wake maana wanaweza waka dictate chochote na kumuweka USA nje.

Tatu,Ukiachana na hayo mataifa ya Ulaya ambayo yapo chini ya Russia kiuchumi-Mataifa ambayo ni Makubwa kama India,China,Brazil na yale yanayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta Duniani yote yana mahusiano mazuri na Urusi.

Ukiangalia matukio haya utaona ni kwa jinsi gani USA atatakiwa kuzicheza karata zake,lasivyo inaweza kuwa mwisho wa Utawala wake.
Yap!
 
Back
Top Bottom