Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

.
Screenshot_20220501-181534.jpg
 
Russia hawezi kupiga Kyiv yote na hawezi kushinda vita vya Ukraine kirahisi(kama atashinda) kwa sababu.

1.Hana makombora ya kutosha yasiyo ya nyuklia kufanya hivyo.
Nyuklia tu ndizo zinaweza kupiga Kyiv yote. Anavyozidi kutumia makombora yake kiholela ndivyo stock yake inazidi kwenda chini na kwa sasa hawezi kutengeneza kwa kasi kwa sababu ya vikwazo vingi alivyowekewa.

2.Jeshi la Russia ardhini la Urusu haliwezi kupigana vita vya mbali na nchini mwao.
Sababu kubwa ni miondombinu yake mikubwa linalotegemea ni ya reli na treni ndio maana ule msururu wao wa mrefuuu wa vifaru na magari haukuwa na faida yoyote kwao ikabidi wa retreat tu

3.Urusi imeshhindwa kulitwaa na kulitawala anga la Ukraine.
Kwenye vita vya kisasa unaweza kufanya mashambulizi makubwa ya kudhohofisha vifaa na kambi za kijeshi kama unaweza kutawala anga la adui yako. Urusi imeshindwa kutawala anga la Ukraine tangu vita imeanza. Haiwezi kurusha ndege na helicopters zake kufanya mashambuli kwenye ngome za adui zake, wanachotegeme zaidi ni makombora ya ardhini kutoka nchini mwao na kwa kibaraka wake Belarus. Makombora yao sio "precison guided"

5.Uwezo wa wanajeshi wa Ukraine, morali,nidhamu na imani yao kwamba watashinda hii vita.
Wanajeshi wa Ukraine wako vizuri zaidi kwa kila kitu ambacho mwanajeshi anapaswa kuwa, wanachozidiwa na wenzao wa Russia ni silaha tu. Unapopigana na watu wa aina hii vita haiwezi kuwa rahisi hata kidogo na sasa wanapozidi kupatiwa silaha wanazohitaji mambo yatakuwa magumu zaidi kwa Russia.

6.Intelegensia mbovu na mtazamo potofu wa Putin kuihusu Ukraine.
Russia wakati anaivamia Ukraine alikuwa ana bet raia na jeshi la Ukraine litamgeuka Zelenskyy na kwamba wao watapokelwa kama wakombozi mashujaa kwa sababu raia wengi wa nchi hiyo hawamkubali Zelenskyy na mtazamo wake wa kimagharibi zaidi, hali haikuwa hivyo. Matokeo yake ni kwamba majeshi ya Russia walionekana wavamazi na raia wengi wakashirikiana vizuri sana na jeshi lao kutoa taarifa na kupambana.
@Yoda

Umenifanya nicheke tu, una andika as if wewe ndo mkuu wa majeshi wa Russia. Jamani tuwe realistic na mambo sensitive bila empirical data source. Tuombe vita iishe tu maana raia wasio na hatia ndo wanakufa na wengine kuteseka huko.
 
Na jomba kwenye point yako ya tano niongezee kidogo...

US foreign policy is either interventionist or isolationist when it has nothing to gain... Ukiangalia kwa Russia, US na kundi lake hawawez kuingia kivita directly kwasabab wanajua watakayepigana nae yukoje...

Hawatoambulia kitu ka walivyofanya kwenye mataifa dhaifu mengineyo waliyowah kuinterven huko nyuma. Kwa Russia watakachoambulia ni kujiharibu wao wenyewe zaidi ya hivi wanavojiharibu sasa...

Itaishia kua hivi hivi kwa kauli mbiu kubwa ya No Action Talk Only... ni kutuma silaha zinaharibiwa. Wanayehisi wanamdhoofisha anazidi ushawishi na support zaidi kupitia madudu wanayoyafanya...

Zile enzi za flan chagua upande [emoji23] zimeishaaaaaaa..
Hakika kabisa Mkuu.
Urusi imewaweka uchi.
Wee nchi kama UK imeahidiwa kufutwa kwenye ramani ya Dunia unaghani wataingia jeshi kamili?
Aaah wapi.!
 
Mtupatie UPDATES za nani amefanya nini na wapi. Hizi za huyu ana hela mara huyu sio sio mambo ya vita.

Marioupol wameondoka raia? Au bado na je nani ana screen kuwa huyu ni raia?. Urusi wataingizwa cha kike mercenaries wataondolewa na evidence nyingi.

Wangetoka watoto, wazee na wanawake tu
Point
 
🇷🇺🇷🇺🇷🇺Jamaa ana hamu nao


BREAKING: Russian military plane violated Swedish airspace, defense ministry says

A Russian AN-30 propeller plane violated Swedish airspace on Friday evening,” the Swedish defense ministry said in a statement

Swedish Defense Minister Peter Hultqvist condemned Friday’s incident. We will, of course, act diplomatically against this,” Hultqvist said,.

“This action is unprofessional and given the overall security situation, extremely inappropriate. Swedish sovereignty must always be respected.” he added.
 
@Yoda

Umenifanya nicheke tu, una andika as if wewe ndo mkuu wa majeshi wa Russia. Jamani tuwe realistic na mambo sensitive bila empirical data source. Tuombe vita iishe tu maana raia wasio na hatia ndo wanakufa na wengine kuteseka huko.
Hoja ya busara sana hii.
Ila Hawa wafuasi wa NATO wanafanya ushabiki maandazi
 
Germany is reducing its energy dependence on Russia rapidly:
Imports of Russian oil down from around 35% to 12%.
Imports of Russian gas down from 55% to around 35%.
Imports of Russian coal down from 50% to about 8%.

German is One of Russia biggest buyer of Russian fossils fuels, but within 2 months imeshusha matumizi by half, sisi wataalam wa Namba tunasema hadi mwezi wa 7, Russia bado atakuwa anapigana kuiteka Donbas
 
Germany is reducing its energy dependence on Russia rapidly:
Imports of Russian oil down from around 35% to 12%.
Imports of Russian gas down from 55% to around 35%.
Imports of Russian coal down from 50% to about 8%.

German is One of biggest buyer of Russian fossils fuels, but within 2 months imeshusha matumizi by half, sisi wataalam wa Namba tunasema hadi mwezi wa 7, Russia bado atakuwa anapigana kuiteka Donbas
 
Back
Top Bottom