Kwakweli Russia mi nawakubali sana. Kama wameweza kuimaliza korona na hata zile aina mpya za virusi wa korona tuliokuwa tukitangaziwa kila siku nao wametoweka[emoji28]The Russian Defense Ministry showed footage of the combat operation of Iskander-M missile systems during a special military operation in Ukraine
View attachment 2208188
Hilo tu la wewe kuandika kuwa Romania ilikuwa kwenye Soviet Union ni wazi hujui kabisa kuhusu Russia Wala Ukraine Wala geo-politics...hujui kitu Ndugu yangu....ni heri unyamaze tu...uwe unapita kimya kimya kwenye uzi huu kwani unaweza kujiaibisha tu...Nitajie ni lini Ukraine imetishia raia wa Urusi?..
Ukraine anataka uhuru wa kuchagua rafiki bila kupangiwa na mtu,maana ni nchi huru,labda useme hapa Ukraine sio nchi huru na utoe vigezo.
Marekani sio tu anaowapigia Russia kelele dunia yote inamuona mrusi ana sababu za hovyo kutaka kuivamia Ukraine,,strategic area zote kama eastern Ukraine na Crimea ambapo ni door to black sea fleet na baltics Russia ndio anazitawala,leo anataka ku bomb Kyev aue raia wasio na hatia in what grounds??
Kingine shida ni kujiunga NATO sio?,,Ronania,Lithuania,Wazirstan wote hawa walikuwa Soviet members na wamejiunga na NATO,mbona Russia hakuwavamia kwa kigezo hicho hico unachokiita kuhatarisha raia wake?...Tuache kushabikia mauaji kishabiki shabiki
Tayar huko.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ni generali wa russia ya Nyamirenda.Pro RUssia mmesikia kuwa kuna generali alienda kwenye ukaguzi wa kijeshi msafara wake ukashambuliwa na Ukraine?
Intelejensia ya Ukraine ina taarifa nyingi sana, pengine kuna watu ndani ya jeshi la Russia wanavujisha taarifa muhimu
Hakika, Putin ni mtu muovu anayepaswa kudhibitiwa na dunia iliyostaarabika.
Sisi Tuna akili hatutaki vita na RussiaKwani mkuu ulitaka tuwe na silaha za kupambana na Russia?
Sisi sio wapumbavu kama Ukraine, tugeuze vimiji vyetu kuwa magofu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Ndio Mana Kuna Mshindo wa kilio kikubwaHere’s why the Azov Neo-Nazis in Azovstal will absolutely not surrender and demand they be allowed a safe exit with weaponry and without any contact with the Russian military.
There are roughly 400 foreign ‘instructors’ cum mercenaries from NATO,huddling in the bowels of the Azovstal steelworks in Mariupol, with no way out.
In other words, if the fake mercs surrender, NATO will be caught in the act of waging war against Russia, even though NATO leadership often repeats it will not enter the Ukraine theater of war.
Kwakweli Russia mi nawakubali sana. Kama wameweza kuimaliza korona na hata zile aina mpya za virusi wa korona tuliokuwa tukitangaziwa kila siku nao wametoweka[emoji28]
Mimi nani nisiamini uwezo wa Russia
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Huyu mwamba aliingia ukraine kwa sifa akakutana na wachenchen wakamfurahishaView attachment 2208299View attachment 2208300