triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
Taarifa imetoka kwa Viktor kovalenko afu wewe unakuja kuipamba intelijensia ya Ukraine hapa. Intelijensia ipi!? Kabla tu ya vita Ukraine hawakuwa na intelijensia yenye nguvu ndio waje wawe nayo sasa hivi washapigwa wakachakaa!?Pro RUssia mmesikia kuwa kuna generali alienda kwenye ukaguzi wa kijeshi msafara wake ukashambuliwa na Ukraine?
Intelejensia ya Ukraine ina taarifa nyingi sana, pengine kuna watu ndani ya jeshi la Russia wanavujisha taarifa muhimu
Tumieni akili enyi wamagharibi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app