Ha ha haa.Tupe listi zaidi ya njemba zilizokamatwa shimoni
M@*ae hawa watu wahuni dah...
Hii Ni kweli mkuu?Canadian General Trevor Kadier was arrested while trying to escape from Azovstal and taken to Moscow to stand trial. He was in charge of Biolab No. 1, where 18 people worked with deadly viruses.
1. According to the spokesman for the Donetsk People's Militia, the UN is trying to save the general. I am getting this from a German paper. I guess they were not able to save him. thread
Ni kampeni na propaganda ya West kwa ujumla na hasa NATO, EU na USA...yaani Ukraine imebaki magofu kwa sehemu kubwa...halafu more than 6 milions Ukrainians wamekimbia makazi yao na kuwa refugees...halafu miundo mbinu yao inaharibiwa Kila kukicha...military command posts zinabomolewa Kila wakati..Askari wa Ukraine wanakufa kwa maelfu...lakini utasikia Russia imepoteza Askari 23000 ila husikii wa Ukraine wamekufa wangapi....Russia ina huruma Sana kwani ingetaka ingeifanya Kidv kuwa magofu...Russia has spared Kiev at least for the time being but for sure they will come for it...dah...propaganda mbaya Sana yaani watu eti wanasadiki kuwa katika Vita hii Russia ndiyo inayopigwa...duh..[emoji2][emoji2][emoji2] Huwa nafurahi mno nikiona mtu anachangia mada hii kishabiki kama wa mpira. Kwa jinsi ulivyo mjinga sasa, unaokota habari za mipasho kutwa nzima.
Hii vita inajulikana wazi kuwa UKRAINE amepigwa vibaya, sijui hizi nguvu za kusema Urusi anapigwa huwa mnatoa au zinakusaidieni nini.
Sisi siyo west. Tunaleta news za uhakika. Hii ni true. Wewe mpaka Secretary wa UN anaenda kwa Putin unadhani ndani ya kiwanda walikuwemo nani!? Wamo wazito wazito. Tutasikia mengi.Hii Ni kweli mkuu?
ww unafanya nn humu? kama inshu ni kumuwaza mama akoWeee jamaa ni kiazii aisee are you a jobless waza taifa lako hasa mama yako uku ambaye anazunguka duniani kufanya royal tour
Sisi siyo west. Tunaleta news za uhakika. Hii ni true. Wewe mpaka Secretary wa UN anaenda kwa Putin unadhani ndani ya kiwanda walikuwemo nani!? Wamo wazito wazito. Tutasikia mengi.
kwan Ukraine ndio kambi ya wanajeshi wa Urusi ?Zelensky ndio msemaji wa Urusi?
Uk wanapata wap uwezo wa kufungia vyombo vya Urusi ? wkt mnasema Uk hamna maajabuRussia hawezi kujibu kila propaganda, kuna mambo mengi ya kufanya ya msingi kuliko propaganda za BBC na CNN, yaan hao UK wafungie vyombo vya habari vya Urusi halafu eti Warusi wakiamini chombo cha UK (BBC) ?hii dunia ina vituko sana
mwandiko wa ZinjanthropusWewe jamaa unalazimisha sana kuwa unaufahamu huo mgogoro lakini kiukweli hujui chochote.Subiria vita iishe ndio utajua Urusi alikuwa anataka nini na kwa nini anapiga kiev na kuondoka.unatumalizia bando tu.
Putin kila siku anahutubia ila husikii tuBritanica,hivi ni kwanini rais wa Ukraine ni yeye tu Kila siku anaongea,na Kila akiongea haijulikani anasimamia kwenye Nini? Mbona Putin yupo kimya Sana au hakuna wakumsemea? BBC,CNN naona wote wanalipoti upande mmoja tu kuwa Russia anakiona Cha moto.
Ilhali raisi wa Ukraine ukimuangalia usoni unaona kabisa kile anachokinena mdomoni sicho kilichopo moyoni mwake.
Umesema kwamba Kuna siraha Ukraine amewanyang'anya wa Russia na kawapa wa marekan hii huoni ni kunazidi kuchochea vita kwa kuoneasha wazi wazi vita ni kati ya mmarekani washirika wake vs Russia?