Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
[emoji23][emoji23][emoji23] tusubiri mda ndio utatoa majibu... Mengi yanayozungumzwa hivi sasa ni mitizamo tu so uhalisia.Kwa Hio mkuu nchi inayoitwa Ukraine officially itakua imefutika kwny uso wa dunia?Maana huku naona imemegwa na Russia na upande mwingine itamegwa na Poland.
Kuna anayetia kinyaa zaidi ako...? Kijana kama unapumuliwa kisogoni ukaweza ona kile kilichoko Ukraine ni Uvamizi wasubir wenzio wenye mindset ka yako mjadiliane....Unatia kinyaa
View attachment 2209465
Hivi huyu ni men au demu?akili zake ni ndogo sana!!....aisee!Mjinga sana huyu. Akili ndogo sana
Dogo tulia sana Una hamu sana inaonekana kila kitu ambacho ujui unakimbilia Ku comment usiyoyajua eti sisi Ulaya tunaijua we na nani kwani mko wangapi mnao run hiyo user name ???We wadanganye machoko wenzako hiyo ulaya sisi tunaijua almost yote!!..
Huwezi pata Umaarufu pitia mimi dogo na hutaweza ! Hahaha hahaha neverHivi huyu ni men au demu?akili zake ni ndogo sana!!....aisee!
Mnao jua siasa jamani nataka
Mnieleweshe kuhusiana Na hii vita ya urusi Na Ukraine
Maana Na sikia leo hii urusi anataka kuanza kutumia nuclia Sasa ndo Na jiuliza hivi akitumia nuclia si dunia mzima tutakufa Kweli au
Kama Kweli wachawi jamani fanyeni yenu kwa Huyu Jamaa putin angalau tukasongee kidogo miaka mingine 100 mbeleni uko
Yes. Nimekupa. Na mimi nilikuwa naongelea gas. Lakini hata hivyo issue ya energy resources ni moja ya mgogoro huu. Hata ukiangalia issue ya Syria ni issue hiyo hiyo. Maana Europe walikuwa wanataka kujenge bomba la gas fron Qatar.
Haya mambo ni very complex kuyaelewa
Kwa Africa kuna Algeria, Nigeria na Mozambique. Ngoja tuone wanatakaje. Watakuja kunyang'anya ua itakuwaje. Maana tayari huko Mozambique chokochoko za ugaidi zinaendelea.Syria pale walifeli Sahv wanataka kuja Africa ila bado watafeli watarud Russia tu coz ni cheapest
Ofcourse siwezi endelea jadiliana na wewe maana majibu yako yapo wazi, yatahusu ushoga.Kuna anayetia kinyaa zaidi ako...? Kijana kama unapumuliwa kisogoni ukaweza ona kile kilichoko Ukraine ni Uvamizi wasubir wenzio wenye mindset ka yako mjadiliane....
Achana na mie kabisa.
Umesahau kuwa RT imefungiwa station yake kule UK?Uk wanapata wap uwezo wa kufungia vyombo vya Urusi ? wkt mnasema Uk hamna maajabu
Ndo maana wanachochea moto[emoji23] Hiyo kumegwa itamegwa tu, na niliona wanazuia Raia kupiga picha shughul zao za kijeshi maeneo hayo... Annexation inaeza fanyika ni swala la mda tu.
Ingawa kwasabab ya Oil inanipa kigugumizi kukubali, bt as far as I know ni kua Polish wanahitaji kurudisha mipaka ya zaman kwa kuitwaa Western Ukraine...
Watu wa Dunia nzima wanajua kua Ukraine inapigwa vibaya sana licha ya kusaidiwa Silaha na NATO.Ni kampeni na propaganda ya West kwa ujumla na hasa NATO, EU na USA...yaani Ukraine imebaki magofu kwa sehemu kubwa...halafu more than 6 milions Ukrainians wamekimbia makazi yao na kuwa refugees...halafu miundo mbinu yao inaharibiwa Kila kukicha...military command posts zinabomolewa Kila wakati..Askari wa Ukraine wanakufa kwa maelfu...lakini utasikia Russia imepoteza Askari 23000 ila husikii wa Ukraine wamekufa wangapi....Russia ina huruma Sana kwani ingetaka ingeifanya Kidv kuwa magofu...Russia has spared Kiev at least for the time being but for sure they will come for it...dah...propaganda mbaya Sana yaani watu eti wanasadiki kuwa katika Vita hii Russia ndiyo inayopigwa...duh..
Hahaha sawa mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23] tusubiri mda ndio utatoa majibu... Mengi yanayozungumzwa hivi sasa ni mitizamo tu so uhalisia.
Kuna damu zetu pale Ukraine , ndio tumekwenda kuzilindakwan Ukraine ndio kambi ya wanajeshi wa Urusi ?
Hio no. 5 imenichekesha sana.[emoji1][emoji1][emoji1]Huyu Mzee Medvedev huwa ana kauli tata balaa [emoji23]... View attachment 2209492
Medvedev[emoji95] Zelensky does not need any peace treaty. For him, the world is the END.
Or a quick one - from the Nazis, who will hang him "on a gillyaku" for conspiring with Muscovites.
Or a slower one - from competitors who will achieve his removal as a president who lost the war.
This is confirmed by various mongrels around him, who yelp that there will be no peace treaty.
Therefore, Zelensky will continue:
1. Begging for money and weapons from the West, proving that he is in the game, that he is the hope of the liberal world, that he is the last bastion of European democracy, which the bear in the padded jacket wants to tear to pieces.
2. Simulate concern for the Ukrainians, periodically exposing them as a human shield in front of Bandera.
3. Send assassins to Russian journalists, posing as a cool liquidator.
4. Produce criminal fakes about the Russian military operation, using unfortunate citizens as consumables.
5. To act unshaven on camera and carry nonsense with eyes burning from stimulants.
Zelensky has no other way to stay in office. If, of course, the position itself remains....
Hawawezi kuwawekea kwani Poland anatumika tuu. Wameona maeneo yote yenye rasilimali Russia anajimegea tuu,sasa wao gharama zao watazipata wapi? Bora nao wajimegee kupitia PolandJe, EU na US watabariki kwa mikono miwili hii annexation wanayotaka kufanya Polish...? Au wataiwekea vikwazo Poland..?